ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,010
Dakika kumi zilizopita nimetoka kumaliza kusoma kitabu cha the greatest missions of Israel secret service(Mossad) na kupata madini joto ya agents wa Mossad wanaivyoipigania nchi yao kwa hali na mali,lakini kabla ya hapo last week nilimaliza kusoma pia kitabu kuhusu wapiga deal wasio na huruma,wazee wa lobbying kinaitwa The Iron triangle,Inside the secret world of the Carlyle group.watu hatari kabisa hawa huko unamkuta hadi yule mwanaume wa Barrick aliyetutembelea juzi maana kabla ya kwenda Barrick alishawahi kuwa chairman wa Goldman sachs na njemba moja iliyoratibu mauaji ya patrice lumumba na kumsimika Mobutu kisha kuishia kui loot nchi ya Congo hadi leo iitwayo Frank Carlucci (Spooky Frank)Ex CIA.
Anyway back to the topic ,sasa kitabu kuhusu Mossad na ki relate na chama cha mapinduzi chini ya ma comrade wake wazalendo wakati hicho cha Carlyle group kinahusiana kabisa na chadema
Embu fikiria in 1994 bila ruhusa ya Rais,waziri wa nishati aitwaye Edwin Mtei alisaini mkataba wa kuuza migodi
Kuna mwanasheria mkuu pia mwana chadema aitwaye Bob Makani alishiriki karibu mikataba yote hiyo mibovu
Baadaye mawaziri wengine na wanasheria hao kutoka chadema kwa majina yafuatayo kwa nyakati tofauti waliingia mikataba hiyo ya kibashite,nao ni Freeman Mbowe,Peter Kibatala,Chacha wangwe.
Ndugu zangu watanzania inauma sana hata kuendelea kuelezea jinsi Chadema walivyoibaka nchi kupitia hii mikataba na mbaya zaidi hawa jamaa waliingia mikataba bila kushauriana na baraza la mawaziri wala Marais waliokuwa madarakani
Inauma sana jamani,leo chama cha mapinduzi kinatetea wananchi dhidi ya hii mikataba mibovu halafu wana chadema wanatetea wezi hao wa Accasia ambao hata kampuni yao haijasajiliwa
Inauma sana,Hivi Watanzania nani katuloga lakini??