assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,904
- 4,050
Niliwahi kushauri viongozi wa chadema na si mm hata viongozi wa juu ndani ya chadema mfano ni PROF BAREGU alitoa ushauri mzuri kwa viongozi wa juu pamoja na kamati kuu chadema kwamba suala la migogoro ni vema ingesuluhishwa mapema ili kuepusha vurugu ndani ya chama kwani kuna uchaguzi wa ndani ya chama, vilevile 2014 kuna uchaguzi wa serikali za mitaa, kisha 2015 uchaguzi mkuu.
Kuingia kwenye uchaguzi huku kuna migogoro bila shaka watu wanajua vita vya panzi ni neema kwa kunguru. unapokuwa mwanasiasa unatakiwa kufanya political calculations.
sasa hembu angalia.
sipendi kuingilia uhuru wa mahakama lakini kimsingi suala likishafika mahakamani hushukua mda mrefu kutatua mfano mzuri ni suala la mh KAFULILA NA MH AHMAD RASHID. hili bila shaka yoyote mpk 2015 litaleta damage kubwa ndani ya chama when u like or not but reality it is.
NAONA CHADEMA kama ni mchezo wa karata watakua wamelamba mavi.
Nawasilisha,