CHADEMA mlishindwa kumpoteza Zitto kisiasa sasa atang'aa na nyie mjiandae kisaokolojia

thetallest

JF-Expert Member
Oct 21, 2017
8,256
9,085
Baada ya Zitto kutokabaliana na umangi meza ndani ya CHADEMA, alisulubiwa sana na vijana wa Mwenyekiti Freeman Mbowe.

Zitto Kabwe hakukata tamaa, alipambana sana na sasa mafanikio yake yanaanza kuonekana ndicho chama kinachoenda kuwa chama kikuu cha upinzani.

Si amini katika muunganiko wao Kufanyika kwani CHADEMA bado hawamuamini Zitto.

Muda ni mwalimu utawadia na kutupa majibu
 
Kwenye siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu Bali maslahi ya kudumu, nikikumbuka slaa na ccm
 
ACT ni wanachama CUF Maalim Seif walioamia huko baada ya CUF Lipumba na Maalim kusambaratika
 
Baada ya Zitto kutokabaliana na umangi meza ndani ya CHADEMA, alisulubiwa sana na vijana wa Mwenyekiti Freeman Mbowe.

Zitto Kabwe hakukata tamaa, alipambana sana na sasa mafanikio yake yanaanza kuonekana ndicho chama kinachoenda kuwa chama kikuu cha upinzani.

Si amini katika muunganiko wao Kufanyika kwani CHADEMA bado hawamuamini Zitto.

Muda ni mwalimu utawadia na kutupa majibu
Si iliitwa ccm b kipindi inaanzizhwa mara mpini wa kuua upinzani Tanzania

Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
 
Baada ya Zitto kutokabaliana na umangi meza ndani ya CHADEMA, alisulubiwa sana na vijana wa Mwenyekiti Freeman Mbowe.

Zitto Kabwe hakukata tamaa, alipambana sana na sasa mafanikio yake yanaanza kuonekana ndicho chama kinachoenda kuwa chama kikuu cha upinzani.

Si amini katika muunganiko wao Kufanyika kwani CHADEMA bado hawamuamini Zitto.

Muda ni mwalimu utawadia na kutupa majibu
Wakati huo huo na nyinyi ccm mjiandae kisaikolojia kuwa chama cha upinzani na wenzenu kina Lyatonga
 
Back
Top Bottom