CHADEMA mlikosea kujiunga UKAWA

Kisendi

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
700
225
Ukawa karibuni kufa mara baaada ya kafulila kujaribu kutaja jina la atakayesimama kama rais!! CUF walikuja juu...hii inaonesha kwamba umoja huo ni mtego kwao. Kwa nini nasema hivyo chadema wananguvu na wamejitengenezea jina tayari. Kama cuf watataka prof asimame kama rais ambaye alizidiwa mbali na dr slaa 2010. Je nani atakubali....mimi kama mtanzania wakawaida kabisa na mimi sio mwanasiasa ila napenda kufutilia siasa naona kama ccm wamewapa ushindi. Me niwaombe tu kila chama wajitegemee.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom