CHADEMA Mkoa wa Arusha waanzisha rasmi tovuti yao

Impressive!!!!
Hongereni sana CHADEMA kwa harakati zenu zisizokoma za kupigania Ukombozi wa Mtanzania...
 
Yaani hapo mmenipa raha, jamani hongereni sana sana sana mnoooo!

Nimefurahishwa sana na ubunifu, uthubutu na uwezo wako Fred na CHADEMA Arusha kwa hatua hivyo, ngoja furaha ikitulia nitarudi na mchango wa mawazo na bila shaka wa mali.
 
Safi sana, nadhani na majimbo,mikoa mingine wataamka!!

Angalizo: Isijekuwa nguvu ya soda halafu ikawa inakaa haina update kwa miezi kadhaa.
 
One step ahead.
Lets move we got no time to west.
Ila kwa nini jamani hijyo TV na website isingekua general, ukisema ya mkoa wa arusha kidogo
unakua kama unaexclude wengine.
Au tfanye basi kua tu i advance hii idea.kila mkoa uanzishe website yake.
maonitu jamaa.
 
Back
Top Bottom