CHADEMA Mkoa wa Arusha waanzisha rasmi tovuti yao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA Mkoa wa Arusha waanzisha rasmi tovuti yao

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by fredmlay, May 19, 2011.

 1. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,849
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wana jamvi habari ndiyo hiyo tuwaunge mkono kwa kuitembelea na kutoa maoni yetu:

  "Waheshimiwa viongozi na wapenzi wa CHADEMA,
  Napenda kuwajulisha kuwa UONGOZI wa CHADEMA Mkoa wa ARUSHA umeanzisha rasmi tovuti ya CHAMA ya mkoa wa Arusha, CHADEMA ARUSHA - Mwanzo

  Lengo la msingi ni kuwawezesha wana chadema, wapenzi na wakazi wa mkoa Arusha kuweza kupata habari mbalimbali za CHAMA chao wanachokipenda zikiwa fresh na kama zilivyokusudiwa kuwafikia. Tovuti hii itawaunganisha watumiaji wa mtandao ambao ni wakazi wa Arusha/wanachadema na wenzao walio duniani kote ili kwa pamoja (synergy) kushiriki katika SIASA za MKOA wao wa Arusha na Tanzania kwa ujumla na pia kuchangia MAENDELEO katika kuijenga Arusha na Tanzania wanayoitaka.

  Mambo maalumu katika tovuti hii/Special features;

  1. Tumeanzisha Online TV (chademaarusha.TV) ambayo itarusha video za matukio mbalimbali ya CHAMA/Ziara za viongozi/wabunge na madiwani wa chama, hotuba za viongozi na mambo mengine mengi.

  2. Kutakuwa na "Exclusive interviews"/Mahojiano maalumu na watu maalumu ambayo kimsingi hayatapatikana pengine isipokuwa "Only on chademaarusha.TV".

  3. Tovuti hii itakuwa ni "Mahali Rasmi" pa kuonyesha kwa jamii utendaji kazi wa wabunge wa Arusha na madiwani kwa kuonyesha na kuelezea shughuli wanazozifanya katika kutekeleza ahadi zao kwa wananchi.

  4. Tovuti itakuwa na link ya moja kwa moja kwenye Facebook na Twitter (Mitandao ya kijamii). Kwa njia hii tutaweza kuifanya tovuti iwe interactive. Hii feature itaruhusu kumtumia kila member wa facebook na Twitter (Chadema Arusha) alert kila mara tunatuma habari mpya kwenye TV hasa exclusive interviews.

  5. Ni nia ya chama kuifanya Tovuti iwe information centre kwenye mambo ya msingi: Kama Demokrasia, Maendeleo, siasa, utawala bora (good governance), haki, Jamii, Uchumi, Utalii wa katika Nothern circuit/Arusha, uwekezaji Arusha na mengine mengi.

  Nitashukuru kwa maoni yenu ili kuboresha tovuti yetu.


  I Thank you!

  Amani SG"
  KATIBU WA MKOA wa Arusha - CHADEMA.
   
 2. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 9,704
  Likes Received: 2,557
  Trophy Points: 280
  Bravo...
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  This could be a very appreciable step!
  Dunia ya leo ni e-world, na watu wanahitaji mawasiliano ya harakaharaka ili kuchukua hatua za mara moja kwaajili ya manufaa wa nchi!

  Hongera sana kwa pioneers!....((Nitapata part time huko?)
   
 4. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Safi sana:
   
 5. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  safi sana...chadema inaongoza, wengine wanajikokota! Very good step!
   
 6. F

  FJM JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,090
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Red colour imekuwa too much inaumiza macho. wahusika angalieni hili. Mnaweza kutumia zaidi light-blue na red ikapunguwa. ni maoni tu.
   
 7. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,358
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Aibu kubwa sana kwa makao makuu,..
  kila siku wana pigiwa kelele lakini wapi,though iko too local ila
  ni nzuri kwa kuonesha nia ya kujenga!

  Bravoo
   
 8. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,995
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kumekucha! Twanga Kotekoteeeeeeee!!
   
 9. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #9
  May 19, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 8,709
  Likes Received: 6,677
  Trophy Points: 280
  Hongera sana Chadema-Arusha na Chadema kwa ujumla tuko pamoja kwenye mapambano.
   
 10. The dirt paka

  The dirt paka JF-Expert Member

  #10
  May 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  One step to the White house
   
 11. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #11
  May 19, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,680
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Bwn Fred hayo ni mawazo na mipango mizuri, lakini hiyo tovuti iwe easly accessible kwa watu wa kutoa maoni. Registration iwe easy kama JF. Hiyo itafanya iwe popular kwa wanachama na wadau ili kuweza kutoa chachu kwenye maendeleo ya Mkoa wetu na nchi yetu ya Tanzania tuipendayo.
   
 12. P

  PapoKwaPapo JF-Expert Member

  #12
  May 19, 2011
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hongereni sana chadema arusha.....
  nadhani makao makuu wamelala sana, waamsheni hao.......
  mwanzo mzuri
   
 13. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #13
  May 19, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,680
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Wewe sulphadoxine angalia hicho kisu, utakata hiyo ndude chunga baba!!!!!!!!
   
 14. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #14
  May 19, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,166
  Likes Received: 3,280
  Trophy Points: 280
  Mwanzo mzuri

   
 15. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #15
  May 19, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,166
  Likes Received: 3,280
  Trophy Points: 280

  Mie mwenyewe nimeogopa nikakimbilia kumnyang'anya kumbe picha
   
 16. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #16
  May 19, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hongera ila tunahitaji baadaye mfanye coverage nchi nzima kwani cdm sasa kina sura ya kitaifa, makao makuu ya TV hiyo yanaweza kuwa Arusha kuenzi jiji letu la kitalii ila mpanue coverage as soon as possible people are hungry for party news
   
 17. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #17
  May 19, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 965
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 60
  Tunawashukuru wote,wanaotupongeza,kutushauri,Maoni na ushauri yatazingatiwa,
  Nanyaro
  Mwenyekiti Bavicha mkoa
   
 18. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #18
  May 19, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  bravo, mikoa mingine iige uvumbuzi huo na kufanya maramoja. CDM taifa ihuishe website yake kutoa matukio yote ya kitaifa na maendeleo ya CDM
   
 19. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #19
  May 19, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hiyo imekaa vizuri.
  Jaribuni kuangalia uwezekano wa ku-link na tovuti ya cdm makao makuu.
   
 20. Glucky

  Glucky Senior Member

  #20
  May 19, 2011
  Joined: Dec 16, 2009
  Messages: 121
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  big up thats good. ndhani iwe kama forums ili watu tutoe hoja zetu. pia na hao viongozi wawe wanazijibu
   
Loading...