CHADEMA: Mkipitisha bajeti hizi hamfai kupewa nchi 2015

Ukitaka kujua Hawako makini,wakati wenzao Wanaanza kamati bajeti za wizara wenyewe wanakimbilia lindi na mtwaraaaa! Walikuwa wapi kabla ya hapo? Hive tatawaelewa kweli kweli? Hata Hao mawaziri vivuli wtazungumza nini bungeni?this is nonsense,labda wata walk out Kama desturi Yao.
Wanaikimbia bajeti hatua za muhimu hawa mtawapa nchi kweli?
Hapana walk out speaks louder than,labda cjajua Mawaziri vivuli CHADEMA kama kweli wako serious??
 
Fikra zenu ninyi Wafuasi wa Magamba zmeganda CDM kmepata ngv kwa myaka 5 lakn mabadiliko 2nayaona.Nyie mnaoyabeza mmenunuliwa sasa mtaolewa kwa uvivu wa kufikiri Sh*n*i.
sio kila anaekosoa CDM ni gamba,am gwandalized!
 
sauti za wanaosema NDIYOOOO! ni nyingi mno Bungeni kuliko zile zinasema SIYOOO: na wanaounga mkono HOJA mia kwa mia ni wengi kuliko wanaokataa kuunga mko HOJA
By Statistics
NDIYOOO = 90% CCM+CUF+ UDP+ NCCR
SIYOOOO = 10% CHADEMA
Kwa takwimu hii unategemea nini mbele ya Bi-Kiroboto?????
 
Kumbe wakiondoa huo ushuru watanzannia wote tutaweza kununua magari! Stupid thinking.

We ndo myopic na dumb!gari linaagizwa Japan na kulifkisha Dar kwa 4mil bado ushuru ni 4 mil au zaidi unategemea nn sasa.Ndio maana Mseveni alisema akipewa bandari ya Dar hakuna mganda angekuwa maskini.shauri yenu bongolala
 
sauti za wanaosema NDIYOOOO! ni nyingi mno Bungeni kuliko zile zinasema SIYOOO: na wanaounga mkono HOJA mia kwa mia ni wengi kuliko wanaokataa kuunga mko HOJA
By Statistics
NDIYOOO = 90% CCM+CUF+ UDP+ NCCR
SIYOOOO = 10% CHADEMA
Kwa takwimu hii unategemea nini mbele ya Bi-Kiroboto?????
ni kweli sasa nn kifanyike mwezi wa sita huo
 
Mimi nawe hatukuchagua wabunge wengi wa cdm utawezaje mtu mmoja kushindana na mngurumo wa Jet aircraft
 
Dah!! Discusion nyingine za hovyo kweli kweli!
Msingi wa hoja yako ni nini?

Watu wanahitaji makazi bora sio magari chakavu!
 
Haya uliyoyaongea hapa ni ya msingi sana!! Yabidi kuyapinga kwa nguvu zote!! Ila napingana na wewe kwenye kichwa cha habari, naomba u-edit na uandike hivi "CHADEMA anzeni kupinga bajeti hizi kabla ya kukabidhiwa nchi 2015."

Bajeti ulizozitoa hapo juu pekee hazitoshi kuinyima CDM sifa ya kuongoza nchi!! Alafu mkuu Halfcaste, naomba niweke wazi, unamaana kwamba wakizipitisha basi ccm waendelee kututawala milele!!? Je endapo watazikataa bajeti hizi lakini zikapitishwa na ccm kwa mtindo wa "NDIYOOO" itakuwaje maana mafisadi ni mengi mjengoni!?
Tuendelee...
 
Ukitaka kujua Hawako makini,wakati wenzao Wanaanza kamati bajeti za wizara wenyewe wanakimbilia lindi na mtwaraaaa! Walikuwa wapi kabla ya hapo? Hive tatawaelewa kweli kweli? Hata Hao mawaziri vivuli wtazungumza nini bungeni?this is nonsense,labda wata walk out Kama desturi Yao.
Wanaikimbia bajeti hatua za muhimu hawa mtawapa nchi kweli?

unapokuwa mtetezi wa wananchi hutakiwa kufanya kitu kimoja at a time. Kwani umewahi kuambiwa hawahudhurii vikao vya kamati? Usikurupuke.
 
Endeleeni na ccm yenu mpaka muwe mnaokotwa barabarani mmekufa kama mizoga ya wanyama mwitu kwa kukosa huduma huku wao wakitibiwa ulaya na familia zao ndipo mtashituka kuwa hiki si chama cha kuwaletea maendeleo bali ni GENGE LA WEZI WA RASILIMALI ZENU. Amkeni mpaze sauti watanzania chi inaendelea kuuzwa hii.
 
Ukitaka kujua Hawako makini,wakati wenzao Wanaanza kamati bajeti za wizara wenyewe wanakimbilia lindi na mtwaraaaa! Walikuwa wapi kabla ya hapo? Hive tatawaelewa kweli kweli? Hata Hao mawaziri vivuli wtazungumza nini bungeni?this is nonsense,labda wata walk out Kama desturi Yao.
Wanaikimbia bajeti hatua za muhimu hawa mtawapa nchi kweli?

Yani inaonyesha jinsi ulivyo na chuki na chadema sasa hata tukiwepo kwan ss ndo tuko na serikali? Acha ushamba tupeni nchi muone mambo tutakayofanya siyo kuona mnaelemewa saizi mnakuwa mstari wa mbele kutoa maneno ya kijinga kwan mtwara na lindi umesikia wataenda wote? Kwan chadema unajua ina wabunge wangapi? mpaka tushindwe kukaa kwenye vikao, chadema itatutuma tutaenda mtwara na lindi kupiga neno la kuikomboa nchi na wengine watabaki na kufanya mambo ya msingi kwenye kamati husika na kuandaa bajeti
 
Kinachotakiwa ni kuisupport chadema kwa kuchagua wabunge wengi watakao ingia bungeni,halafu utaona utamu wa chadema,hawatapitisha madudu kama ya mafisadi,tatizo watu wabadilike,sio mnalalamika,chagua chadema kwa maendeleo ya nchi.
 
Ukitaka kujua Hawako
makini,wakati wenzao Wanaanza kamati bajeti za wizara wenyewe
wanakimbilia lindi na mtwaraaaa! Walikuwa wapi kabla ya hapo? Hive
tatawaelewa kweli kweli? Hata Hao mawaziri vivuli wtazungumza nini
bungeni?this is nonsense,labda wata walk out Kama desturi Yao.
Wanaikimbia bajeti hatua za muhimu hawa mtawapa nchi kweli?

una mapepo wewe!
lindi na mtwara siyo tanzania? yaani bajeti wapitishe magamba mkwara uwe kwa Cdm! Kwa hiyo ccm waendelee tu kutobanga na kupewa kura kisa cdm hawazuii bajeti!
 
Back
Top Bottom