CHADEMA MJITAHIDI KUJIZUIA KUWASEMA VIBAYA WANAOKIHAMA CHAMA CHENU

NO EXCUSE

JF-Expert Member
Sep 10, 2012
418
213
Kwa sababu
kuna faida nyingi kuwa na subira kuheshimu maamuzi binafsi ya watu.
Hiki ndicho kupindi kugumu kabisa kuwahi kutokea kwa opposition na si watu wote wana ngozi ngumu sawa na wengine kuhimili masaibu hayo. Wengine wanafuta easy way ya usalama binafsi, familia zao na mali zao.
Ni hayo tu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana nawe mkuu kuna mambo makubwa waliyafanya wakiwa viongozi Makaburi yanafukuliwa, Ndugu zao wako jela, Pensheni zao zinatishiwa wafanyeje? Ni lazima warudi CCM wakatete hayo mambo.Rostam Aziz tumemwona wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vema,huo uamuzi ni wake na ntaheshimu.japo nadhani kuna ushawishi mkubwa sana nyuma ya pazia.huyo rostam atakua amehusika sana kumvuta Mzee.anyway ndo siasa hizo.kila la kheri na mkwewe kutoka ni muda utasema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom