Chadema mjipange kwa kusimamia maendeleo kwenye majimbo


K

Kisendi

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
700
Likes
53
Points
45
K

Kisendi

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
700 53 45
tumeona GUINEA MPINZANIA KAPITA BAADA YA WATU KUUMIA SANA KWA HIYO HATA SISI KAMA TUME HAITABADILIKA 2015 ITAKUWA NI NOMA. SASA TUNAKATA MAENDELEO NAOMBA CHADEMA WAFANYE VIZURI KWENYE HII MIJI ILI IWE RAIS KWA MIKOA AMBAYO BADO KICHWANI KUNA KUTU. NA ELIMU IANZE KUTOLEWA KWA WATZ KUJUA HAKI ZAO ZA MSINGI KWA CHADEMA KUAANDAA MAJARIDA, KUFUNGUA GAZETI LA BEI NDOGO KABISA ILI WANANCHI WAELIMISHWE KUHUSU HAKI ZAO KAMA KULIPA KODI LAKINI MAJI HAMNA, UMEME HAMNA, BARABARA MVUA IKINYESHA UNATAMANI ISINYESHE HATA HAPA DSM KUNA MAENEO INAKUWA BALAA, TATU KUANZISHA BLOG KWA AJILI YA KUFICHUA UFISADI NA USHAHIDI WAKE, KUANZISHA MAKONGOMANO KWENYE VYUO VYOTE NCHINI NA VJIJINI KOTE. KUPANDISHIWA VITU BEI KILA MARA MFANO MAFUTA, SUKARI, UNGA, NAULI N.K
 

Forum statistics

Threads 1,237,453
Members 475,533
Posts 29,289,121