CHADEMA, Mgogoro wa Ruzuku mikoani ni bomu la kulipuka

Mchanganuo wa Matumizi ya Bilioni Kumi za Ruzuku kwa CCM kila Mwezi:
1. Mapato yatokanayo na ruzuku kwa mwezi..................................................................10,000,000,000.00
2. Mgawo kwa Makada wa CCM...................................................................................(3,000,000,000.00)
3. Posho ya kujikumu kwa M/Kiti, Makamu/Mkiti, Katibu na manaibu wake........................(3,000,000,000.00)
4. Malipo ya Posho na usafiri kwa wanaohudhuria mikutano ya CCM kwa mwezi................(1,000,000,000.00)
5. Mgao kwa wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama.....................................................(1,000,000,000.00)
6. Operation tokomeza CHADEMA..................................................................................(1,000,000,000.00)
7. Zana za Kuwindia Tembo, Faru, Twiga, Mamba na Wanyama wengine............................(100,000,000.00)
8. Sare za CCM; Kofia, Khanga na Vitenge.......................................................................(500,000,000.00)
9. Posho kwa Viongozi wa dini........................................................................................(200,000,000.00)
10. Mgawo kwa Wazee Maarufu, vikundi vya uhamasishaji................................................(100,000,000.00)
11. Kamati ya ufundi/Sangoma........................................................................................(100,000,000.00)
Jumla ya Matumizi ya CCM kwa Mwezi.............................................................................(10,000,000,000.00)
 
Ebu tujiulize why CHADEMA kila siku na sio vyama vingine vya Upinzani? MTI WENYE MATUNDA ....................................
 
Mkuu RockSpider,let us be realistic!
 
Last edited by a moderator:
Masalia wana weweseka sana maana chup.i zimewabana mpaka mwamalizia kila kitu humo humo
 
Na ruzuku ya CCM nayo inafanya mambo gani
imetumika kufungua matawi ya chama kwa nchi nzima.Inatumika kuwalipa watumishi na viongozi wa chama,Inatumika kuanzisha miradi mbalimbali ya chama.na kununulia vifaa mbalimbali vya chama ikiwemo magari.
 
Mchanganuo wa Matumizi ya Bilioni Kumi za Ruzuku kwa CCM kila Mwezi:
1. Mapato yatokanayo na ruzuku kwa mwezi..................................................................10,000,000,000.00
2. Mgawo kwa Makada wa CCM...................................................................................(3,000,000,000.00)
3. Posho ya kujikumu kwa M/Kiti, Makamu/Mkiti, Katibu na manaibu wake........................(3,000,000,000.00)
4. Malipo ya Posho na usafiri kwa wanaohudhuria mikutano ya CCM kwa mwezi................(1,000,000,000.00)
5. Mgao kwa wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama.....................................................(1,000,000,000.00)
6. Operation tokomeza CHADEMA..................................................................................(1,000,000,000.00)
7. Zana za Kuwindia Tembo, Faru, Twiga, Mamba na Wanyama wengine............................(100,000,000.00)
8. Sare za CCM; Kofia, Khanga na Vitenge.......................................................................(500,000,000.00)
9. Posho kwa Viongozi wa dini........................................................................................(200,000,000.00)
10. Mgawo kwa Wazee Maarufu, vikundi vya uhamasishaji................................................(100,000,000.00)
11. Kamati ya ufundi/Sangoma........................................................................................(100,000,000.00)
Jumla ya Matumizi ya CCM kwa Mwezi.............................................................................(10,000,000,000.00)
kwa kuwa data ulizoweka hapa zina na takwimu; ni lazima kutakuwa na chanzo cha habari ambacho ni rasmi.hebu tuambie data hizi umepata wapi? usiposema utakuwa na lengo la kuleta fitna na fitna si kitu chema.
 
Nimejua siri nzito wengi wa wanajamvi ni wototo wa vyuo vikuu ambao hulipwa posho ya sh elfu tano kwa siku kuipigia debe chadema kwenye mitandao mbalimbali kama ilivyokuwa katika maandamano ya vijana wa udom.ndio maana hoja nyingi za watoto hawa zikipigia debe chadema hazina uzito bali zimejaa matusi.taarifa hii ni kweli kwani bavicha mmoja alinieleza.hivi ndivyo fedha za ruzuku zinavyofanya kazi

Bila shaka wewe ndiye mtoto, humu tupo watu wazima tena tuna wajukuu;

Tunaipenda JF kwa kuwa tunapata habari mpya ambazo hata kwenye vyombo vya habari hapa nchini.

Hivyo watu wanatoa mawazo yao kwa uhuru.

Huu mtandao kuna members ambao ni Wabunge (Mfano. NAPE, HALIMA MDEE, W. MALECELA, ZITO, MNYIKA, nk) Pia kuna watu wenye nafasi zao nyeti Serikalini, hivyo ukisema kuwa ni wanafunzi wa chuo utakuwa umekosea kwa asilimia kubwa sana, kwani kama kusoma tulisoma toka miaka ya 80's.

Suala la watu kutoa mawazo yao kuhusu CHADEMA ni mawazo ya mtu binafsi, mbona kuna wengine wanaotoa mawazo kuhusu CCM. Ndio maana mtandao huu umeitwa (MTANDAO WA JAMII - JAMII FORUMS)

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!!
 
sijui kwa nini alijengewa slaa ingefaa angejengewa mamayo au vipi
mtwambie za chama cha magamba zinafanya nini?
Kama sio
1)-kumpa jangili kanali kinana uwezo wa kununua silaha na kuendelea kuwapiga tembo na faru wetu kule arusha
2)-kufungua kampuni ya kinana ya kubeba mizigo ikiwemo tembo
3)-kumpeleka hadija koppa kwenye vikao vya nec hili awachezee watu taarab
4)-kumpiga dr ulimboka na kutaka kumuua
5)-kuweka pesa zetu uswisi
6)-kuwa na epa etc
7)-kuwaua wahandishi wa habari
8)-kuwapa wakina mwigulu majina yasiyo yao kwa kuiba vyeti
9)-kufungia gazeti la mwanahalisi
10)-kujenga shule ambazo mwaziita za kata zikiwa hazina walimu wala vifaa
 
kwa kuwa data ulizoweka hapa zina na takwimu; ni lazima kutakuwa na chanzo cha habari ambacho ni rasmi.hebu tuambie data hizi umepata wapi? usiposema utakuwa na lengo la kuleta fitna na fitna si kitu chema.
Rejea Taarifa ya Makabidhiano ya Mwigulu Nchemba kwa Zakia Hamdani Meghji....
 
Na je wanachama na wapenda mageuzi wanajua kinachopatikana kwenye M4C na matumizi yake? Mimi nilitamani kwakuwa pesa za ruzuku kwa vyama vya siasa ni jasho letu lazima hesabu zake zingekuwa accessible na kila mtu ili tujue kodi zetu zinatumikaje kwenye hivi vyama!

Tukumbuke maneno bila Income and expenditure statment ni kama tunadanganyana tu.... ah ila tumeshazoea/
 
Kumekuwa na mjadala hapa Jukwaan kuhusu matumiz ya hela katika chama cha demokrasia na Maendeleo,mie nikiwa mdau wa siasa nikaamua kufanya utafiti mdogo tu kuhusu fedha wanazopewa kama Ruzuku zinatumikaje katika wilaya mbali mbali.

Nimefanya sample ya wilaya zaid ya kumi na naweza nikaja na Majina ya hizo wilaya mtagundua ya kwamba Ruzuku hawapelekewi wilayan kwa ajili ya ujenz wa chama,hizo fedha kama haziendi kujenga chama kwa madai ya kutaka kununulia vyombo vya usafiri{kwa mujibu wa katibu wa wilaya moja) je hzo ofisi zinajiendesha vp?

chama kama CUF wanawatuma kila mwez wilayani kwa ajili ya uenezi wa chama wakati wao Ruzuku yao ni ndogo kulinganisha na CHADEMA,ifike mahali CHADEMA wasitafute mchawi mchawi wa kukua kwa chama ni wao wenyewe wakiamin muda kujua wanatakiwa kufika wilayani wakati wa uchaguzi.
 
kumekuwa na mjadala hapa jukwaan kuhusu matumiz ya hela katika chama cha demokrasia na maendeleo,mie nikiwa mdau wa siasa nikaamua kufanya utafiti mdogo tu kuhusu fedha wanazopewa kama ruzuku zinatumikaje katika wilaya mbali mbali.nimefanya sample ya wilaya zaid ya kumi na naweza nikaja na majina ya hizo wilaya mtagundua ya kwamba ruzuku hawapelekewi wilayan kwa ajili ya ujenz wa chama,hizo fedha kama haziendi kujenga chama kwa madai ya kutaka kununulia vyombo vya usafiri{kwa mujibu wa katibu wa wilaya moja) je hzo ofisi zinajiendesha vp?chama kama cuf wanawatuma kila mwez wilayan kwa ajili ya uenez wa chama wakati wao ruzuku yao ni ndogo kulinganisha na cdm,ifike mahali cdm wasitafute mchawi mchawi wa kukua kwa chama ni wao wenyewe wakiamin muda kujua wanatakiwa kufika wilayan wkt wa uchaguz,
any way wakija watu wanaoongozwa na emotions hapa ujiandae kutukanwa ila kifupi ruzuku ya chadema kwa mwaka jana imetumika kugharamia maandamano na ule mkakati wa kuifanya nchi isitawalike.
 
Back
Top Bottom