CHADEMA: Mbowe atafuta wa kumrithi uenyekiti

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
Mwenyekiti machahari wa chama machachari na makini cha upinzani nchini kamanda wa anga bw. Freeman mbowe amesema hana tena mpango wa kuendelea kuwa mwenyekiti wa chama hicho kikuu cha upinzani nchini na badala yake anaumiza kichwa nani awe mrithi wake huku akifurahia mafanikio aliyokifikishia chama hicho..

Kamanda mbowe ameyasema hayo jana baada ya kumaliza kuhutubia mkutano mkubwa wa kumnadi mgombea udiwani..

Nikimnukuu Mbowe alisema ''nawashukuru sana makamanda kwa moyo mnaotuonyesha, hakika nafarijika sana na ndio maana nimeamua kutoendelea tena kuwa mwenyekiti ili tuwanyamazishe wabaya wetu wanosema sisi ni chama cha wachaga na wakaskazini wakati ukweli ni kwamba watu wa kaskazini ni mimi na slaa tu"..

Naomba tumtakie kila la heri kamanda wetu huyu..

Nawasilisha.
 
Amesoma ishara za nyakati na kuona hawezi mziki wa Nape. Tunamtakia maisha marefu ya kustaafu ila najua lazima atamuweka mchaga mwenzake.
 
We need Dk Willbroad Peter Slaa to be Our next CDM Chairman nationally.

no that will be a wrong move, dr slaa ni bora awe katibu mkuu maana ndiye mtendaji mkuu, hakuna wa kuziba hiyo nafasi kwa sasa kama hatatoka hapo dr slaa nina maana anaushawishi mkubwa kwa wapiga kura atumike hapo kwanza
 
Amesoma ishara za nyakati na kuona hawezi mziki wa Nape. Tunamtakia maisha marefu ya kustaafu ila najua lazima atamuweka mchaga mwenzake.

Nape ndiye mwenyekiti wa CCM
ina maana leo magamba katika CHADEMA mnaona MBOWE tu,
pili umekiri kwamba KIKWETE boya nape ni makini kuliko kikwete na mukama
 
Zitto ni mtu wa maana kuliko huyo dingi, halafu umesahau na yeye huyo dingi ana maradhi yanamsumbua sana, hata yeye hana siku. Akiishi miaka miwili mbele itakuwa ni ajabu kubwa.

ina maana magamba mmesha mmaliza DR
kuna siku roho za watu zitawalilia, tunajua kuna sumu zinaweza kumaliza mtu pole pole
kama hii imeshafanyika mtakuwa memwaga upupu kwenye nguo zenu za ndani
 
Huo ndio uzalendo na uongozi makini.Viongozi wenye maono ni dhahiri kuwatambua kwani hutembea juu maneno yao.
 
Namtakia kila la kheri kamanda Mbowe.
Kwanina aumize kichwa, kwani anamchagua yeye mwenyewe?.
 
Hongera sana Mbowe, lakini sijui nani wa kumuachie yule jamaa wa BAVICHA, sijui kama hataweza yeye kila kitu kufoka tu na kuvaa Magwanda
 
Amesoma ishara za nyakati na kuona hawezi mziki wa Nape. Tunamtakia maisha marefu ya kustaafu ila najua lazima atamuweka mchaga mwenzake.
Unawapenda wachaga ee! inaonekana your next husband will be from chagga tribe.
 
Chadema leo hii ni Taasisi imara ambayo hata angeachiwa dogo wa mbozi bado itatesa tu!
 
Amesoma ishara za nyakati na kuona hawezi mziki wa Nape. Tunamtakia maisha marefu ya kustaafu ila najua lazima atamuweka mchaga mwenzake.

lazima umtaje boss wako vinginevyo atakapopita kwenye forum usiku wa manane na asione mahali ulipotaja jina lake posho inaweza kupungua.

Hivi kumbe nape naye ntu wa kufikiriwa? Kama ndani ya magamba kwenyewe anaonekana ni virus sasa atakuwa tishio kwa nani?labda new ccj!
 
Tunamtaka LEMA awe mwenyekiti baada ya mbowe kustaafu.Wengine wachumba tu hawawezi kuthubutu na hawajisimamii.
 
Hongera sana Mbowe, lakini sijui nani wa kumuachie yule jamaa wa BAVICHA, sijui kama hataweza yeye kila kitu kufoka tu na kuvaa Magwanda

Ha ha haaa, Heche ndiye kiboko yako unafyata mkia kama mbwa koko aliyekurupushwa. Magamba bila kuwafokea hawaelewi kabisa.
 
Dalili a nini mbona M.kwere kila mwezi anaenda kuwekewa damu nje hatuongei??....
Dr salim sio mjinga kam mnavyofikiria mlimchafua mwaka 2005 wakati ilkuwa stahiki yake leo hii mnamuona anafaa ama kweli CCM uwezo wenu wa kufikiri umesha expire...

dalili ziko wazi kabisa wala hai hitaji kupakaziwa. Kaa ukijua Salim A salim ndio Rais mtegemewa.
 
Back
Top Bottom