VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,136
- 17,871
Watani zangu CHADEMA, vipi? Mko kimya sana kuhusu nani amekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA baada ya kujiondoa kwa Dr. Wilbrod Slaa. Harakisheni kumteua kwakuwa Katibu Mkuu ndiye moyo wa chama. Katibu Mkuu ni mjenzi, mlinzi na sauti ya chama.
Kama mmeishiwa wa kumpa, sisi CCM tupo tayari kuwakopesha kada wetu mwandamizi yeyote ili aje kuwa Katibu Mkuu wenu. Kama vipi litumieni dirisha dogo la usajili la Januari kusajili kama mmepungukiwa. Ukimya wenu unawatisha hata wanachama wenu.
Lakini, msimuweke tena Katibu Mkuu 'mwiba mkali' kama yule-hasa enzi zake!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam