CHADEMA Mbeya muangalieni kwa jicho la 3 RPC Ulrich Matei

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,599
217,991
Huyu ametokea Mkoa wa Morogoro , Mkoa ambao kwa miaka mingi umeongoza kwa unyama dhidi ya viongozi wa Chadema , Matei hata kabla ya uchunguzi alijiropokea mbele ya waandishi wa habari kwamba Diwani wa Chadema aliuawa kwa sababu ya visasi , mpaka leo bado hajathibitisha uongo wake.

Huyu ndiye amesimamia mateso ya viongozi na wabunge wa Chadema Mkoani Morogoro akiwemo Mbunge wa Kilombero Mh Peter Lijuakali , ni askari asiyeaminika linapokuja suala la kulinda ccm , aangaliwe kwa jicho la Tai .

Nakala iwafikie wafuatao :
Mh Msigwa
Mh Sugu
Mh Masonga
Mh Mwambigija
Mh Kasyupa Alipipi
Mh Mwanyamaki
 
Sasa nakala hiyo ikiwafikia ndio watafanyaje? Wapige mikelele tu bungeni..

Hayo yote umeandika ni kwamba mmekosa hoja sasa mnatafuta ya kuongelea kupitia Rais wenu mpendwa eeeeeh

Umeandika kituko cha mwaka.. unamtuhumu kwanini haujamshitaki

Eeeewh kweli mpo ndani ya futi 6 na mnaanza kupoteza pumzi.. ona mlivyo eeeeeh kitukooooooo

Si muwaambie viongozi wenu wasepe mchukue vyeo nyie.. ona hata ushauri wa sabasaba haukuwa nao bali kulalamikaaaa huku hujui na haukuuliza lolote.. pia na mengineyo
 
Relax mkuu,, twende taratibu tu tutafika, naona utetezi wako una jazba sana.
 
Sawa Mkuu kwa sababu mmeshika Mpini mnaweza kuwa chagulia Jina baya mkawaua / mkawafunga na hata kuwatesa kwa mnavyo taka ninyi.Uzuri wa Mfumo wa Maisha hakuna Hali inayo weza kudumu Wakati wote .
Unataka mhalifu apewe jina zuri halafu achekewe?
Ukitaka uishi bila misukosuko ya polisi tenda mema tu...otherwise lazima upate tabu na kipigo cha Mbwa wa jalalani.
 
Huyu ametokea Mkoa wa Morogoro , Mkoa ambao kwa miaka mingi umeongoza kwa unyama dhidi ya viongozi wa Chadema , Matei hata kabla ya uchunguzi alijiropokea mbele ya waandishi wa habari kwamba Diwani wa Chadema aliuawa kwa sababu ya visasi , mpaka leo bado hajathibitisha uongo wake.

Huyu ndiye amesimamia mateso ya viongozi na wabunge wa Chadema Mkoani Morogoro akiwemo Mbunge wa Kilombero Mh Peter Lijuakali , ni askari asiyeaminika linapokuja suala la kulinda ccm , aangaliwe kwa jicho la Tai .

Nakala iwafikie wafuatao :
Mh Msigwa
Mh Sugu
Mh Masonga
Mh Mwambigija
Mh Kasyupa Alipipi
Mh Mwanyamaki
Wewe hicho kitengo cha character assassination kimekushinda
Umemshindwa Karujumuli sasa umeruka kwa Matei,naomba ukutane na Gilles Moroto alibinue binue sura lako litazame kamera kinguvu huku anakusimanga
 
Akijifanya mjuaji sana ataenda makao makuu na yeye kusoma magazeti kama mwenzie

Jiji la mbeya lina historia RPC wote wakizingua huishia kwenda kusoma magazeti makao makuu fuatilia historia itakuonyesha kwaiyo uyu yeye awe mpole mbeya ni sawa sola yani ile ni inchi iliyo ndani ya inchi.
 
Huyu ametokea Mkoa wa Morogoro , Mkoa ambao kwa miaka mingi umeongoza kwa unyama dhidi ya viongozi wa Chadema , Matei hata kabla ya uchunguzi alijiropokea mbele ya waandishi wa habari kwamba Diwani wa Chadema aliuawa kwa sababu ya visasi , mpaka leo bado hajathibitisha uongo wake.

Huyu ndiye amesimamia mateso ya viongozi na wabunge wa Chadema Mkoani Morogoro akiwemo Mbunge wa Kilombero Mh Peter Lijuakali , ni askari asiyeaminika linapokuja suala la kulinda ccm , aangaliwe kwa jicho la Tai .

Nakala iwafikie wafuatao :
Mh Msigwa
Mh Sugu
Mh Masonga
Mh Mwambigija
Mh Kasyupa Alipipi
Mh Mwanyamaki

100% Right.
angalia Jinsi issue ya ccm kushindwa udiwani ilivyochukuliwa mpaka mwenyekiti wa ulinzi na usalama mkoa akasema wataandika barua kuomba radhi. Hapa kuna siasa za ajabu zinapangwa ndani ya Polisi. Ndio sababu hata RPC anaandamwa na kambi ya mkuu wa nyumba
 
Huyu ametokea Mkoa wa Morogoro , Mkoa ambao kwa miaka mingi umeongoza kwa unyama dhidi ya viongozi wa Chadema , Matei hata kabla ya uchunguzi alijiropokea mbele ya waandishi wa habari kwamba Diwani wa Chadema aliuawa kwa sababu ya visasi , mpaka leo bado hajathibitisha uongo wake.

Huyu ndiye amesimamia mateso ya viongozi na wabunge wa Chadema Mkoani Morogoro akiwemo Mbunge wa Kilombero Mh Peter Lijuakali , ni askari asiyeaminika linapokuja suala la kulinda ccm , aangaliwe kwa jicho la Tai .

Nakala iwafikie wafuatao :
Mh Msigwa
Mh Sugu
Mh Masonga
Mh Mwambigija
Mh Kasyupa Alipipi
Mh Mwanyamaki
huyu Matei akileta za kuleta, this time nina uhakika prezidaa Sugu atakosa uvumilivu na hatawazuia tena raia wa nchi ya United Republic of Mbeya kufanya yao!
 
Morogoro waimba singeli walimzidi huyo, kuna vibaka wanasumbua sana wananchi yaani ameshindwa kabisa kulinda raia wake. Mjini hapohapo watu wanakatwa mapanga wanakabwa na kuporwa mali mda wa mapema kabisa..yaani kuanzia saa moja jioni. Huyo bwana bure kabisa...labda anaweza kufanya hayo mengine ya upande wa pili.

Vibaka wamefikia hadi kumwibia mwanajeshi wa JW flat screen yake ambayo anadai alitoka nayo nje ya nchi alikotokea kwa shughuri njema. Yaani hadi unajiuliza hawa vibaka wana ujasiri gani...wameingia kwa mwanajeshi tena akiwa yupo wakamuibia na wakaondoka.....je wananchi wa kawaida watasalimika??...hii imetokea wiki iliyopita.

Hao watu hawapo kuwalinda wananchi wao, wana ajenda zao za siri ambazo sisi inawezekana hatujazitambua aisee
 
hahahaha sasa hao wahuni ulio wapa nakala watafanya nini?
Wambie waache uhalifu
 
Sasa nakala hiyo ikiwafikia ndio watafanyaje? Wapige mikelele tu bungeni..

Hayo yote umeandika ni kwamba mmekosa hoja sasa mnatafuta ya kuongelea kupitia Rais wenu mpendwa eeeeeh

Umeandika kituko cha mwaka.. unamtuhumu kwanini haujamshitaki

Eeeewh kweli mpo ndani ya futi 6 na mnaanza kupoteza pumzi.. ona mlivyo eeeeeh kitukooooooo

Si muwaambie viongozi wenu wasepe mchukue vyeo nyie.. ona hata ushauri wa sabasaba haukuwa nao bali kulalamikaaaa huku hujui na haukuuliza lolote.. pia na mengineyo
Hahahaha
True walahi!
Icu
 
Morogoro waimba singeli walimzidi huyo, kuna vibaka wanasumbua sana wananchi yaani ameshindwa kabisa kulinda raia wake. Mjini hapohapo watu wanakatwa mapanga wanakabwa na kuporwa mali mda wa mapema kabisa..yaani kuanzia saa moja jioni. Huyo bwana bure kabisa...labda anaweza kufanya hayo mengine ya upande wa pili.

Vibaka wamefikia hadi kumwibia mwanajeshi wa JW flat screen yake ambayo anadai alitoka nayo nje ya nchi alikotokea kwa shughuri njema. Yaani hadi unajiuliza hawa vibaka wana ujasiri gani...wameingia kwa mwanajeshi tena akiwa yupo wakamuibia na wakaondoka.....je wananchi wa kawaida watasalimika??...hii imetokea wiki iliyopita.

Hao watu hawapo kuwalinda wananchi wao, wana ajenda zao za siri ambazo sisi inawezekana hatujazitambua aisee
Haya yote ni kwa vile lengo kubwa la jeshi la polisi Morogoro ilikuwa kudhibiti Chadema tu , hayo mengine hayakuwa kipaumbele
 
Back
Top Bottom