CHADEMA Mbeya muangalieni kwa jicho la 3 RPC Ulrich Matei

Wewe hicho kitengo cha character assassination kimekushinda
Umemshindwa Karujumuli sasa umeruka kwa Matei,naomba ukutane na Gilles Moroto alibinue binue sura lako litazame kamera kinguvu huku anakusimanga
Ukifa hautaoza
 
Dah jama wewe ni liongo natamani ungekuwa karibu ningekutwanga makofi. Diwani wa hicho chama chenu kilichokufa na kubaki mifupa aliuawa na visasi. Yeye alishirikiana na wenzake kutekeleza mauaji ya kijana mmoja (wa familia ambayo walikuwa wanagombania mashamba). Yaani yule kijana alitokea familia ambayo kuna watu walipewa kama hisani kwa muda wawe wanalima lima shamba fulani, then mzee wa watu baadaye akaona awaambie sasa wasilime kwa sababu ana matumizi nalo, wale watu wakagoma, wakaenda mahakamani, kesi yule mzee akashinda, kwa sababu kijana alikuwa anamuelekeza mambo ya sheria, yule diwani akajitamkia kabisa eti yule kijana ataona, basi siku moja kijana yupo huko katoka zake dar alikatwa katwa mapanga akawa ameuawa, na kwa sababu diwani huyo gaidi wa kikundi cha magaidi akina mbow alikuwa ametoa kauli kabla, ni yeye akahusishwa na jamii, na ndipo na yeye akacharangwa mapanga mpaka kufa, na ndivyo ilivyo, na ndiyo maana RPC Morogoro alitoa kauli hiyo, na ndiyo ukweli. Sasa ninyi wenye akili za vichaa mnadaka kila kitu na kuamini ni kweli, yaani mnakera kwelikweli
Nyambafu
 
Huyu ametokea Mkoa wa Morogoro , Mkoa ambao kwa miaka mingi umeongoza kwa unyama dhidi ya viongozi wa Chadema , Matei hata kabla ya uchunguzi alijiropokea mbele ya waandishi wa habari kwamba Diwani wa Chadema aliuawa kwa sababu ya visasi , mpaka leo bado hajathibitisha uongo wake.

Huyu ndiye amesimamia mateso ya viongozi na wabunge wa Chadema Mkoani Morogoro akiwemo Mbunge wa Kilombero Mh Peter Lijuakali , ni askari asiyeaminika linapokuja suala la kulinda ccm , aangaliwe kwa jicho la Tai .

Nakala iwafikie wafuatao :
Mh Msigwa
Mh Sugu
Mh Masonga
Mh Mwambigija
Mh Kasyupa Alipipi
Mh Mwanyamaki
Waanze kuvaa miwani
 
Sasa nakala hiyo ikiwafikia ndio watafanyaje? Wapige mikelele tu bungeni..

Hayo yote umeandika ni kwamba mmekosa hoja sasa mnatafuta ya kuongelea kupitia Rais wenu mpendwa eeeeeh

Umeandika kituko cha mwaka.. unamtuhumu kwanini haujamshitaki

Eeeewh kweli mpo ndani ya futi 6 na mnaanza kupoteza pumzi.. ona mlivyo eeeeeh kitukooooooo

Si muwaambie viongozi wenu wasepe mchukue vyeo nyie.. ona hata ushauri wa sabasaba haukuwa nao bali kulalamikaaaa huku hujui na haukuuliza lolote.. pia na mengineyo

Duh hii kichwa ipo??
 
Ikifika zamu yake na yeye atakaa benchi,ajifunze kwa kina Nape Nnauye na Mwigulu Nchemba.
OMARI MAHITA , IGP AMBAYE REKODI YAKE YA KEJELI NA UKATILI DHIDI YA WAPINZANI BADO HAIJAVUNJWA , ALIPOSTAAFU TU ALIBURUZWA MAHAKAMANI KWA KESI YA AIBU YA KUMTIA MIMBA HOUSE GIRL WAKE MWENYEWE NA KURUKA MATUNZO YA MTOTO , MPAKA SASA HAIKUFAHAMIKA KAMA ALIMBAKA KWA KUMTISHA NA MAVYEO YAKE YA UPOLISI AMA WALIKUBALIANA
 
Ametoa sababu za kijinga sana za kumkamata Mh Mwaipalu saa 10 usiku , nimeshangaa sana kwa mtu kama huyu kuwa kiongozi wa polisi .

Kamanda Matei weka wazi lengo lenu la kumkamata Mwaipalu usiku wa manane , imevuja kila mahali , hakuna siri tena !
 
Back
Top Bottom