CHADEMA Mbeya Mjini wasimamisha uongozi wote: Hapa kazi tu

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575
CAHDEMA juzi usiku kikao cha chama kimeuondosha uongozi wote wa mbeya mjini na kupisha uchunguzi;

Zoezi hilo lilisimamiwa na katibu wa CHADEMA Zanzibar

Ambaye amekuli kunamtafaruku mkubwa na kuwaondoa viongozi wote na chama kuwa chini ya uangalizi wa madiwani.
 
Ni vizuri sana kuimarisha chama, kupata ushindi wa kishindo haimaanishi hakukuwa na dosari za viongozi, Sugu na wajumbe wafanye kazi bila woga.
 
CAHDEMA juzi usiku kikao cha chama kimeuondosha uongozi wote wa mbeya mjini na kupisha uchunguzi;

Zoezi hilo lilisimamiwa na katibu wa CHADEMA Zanzibar

Ambaye amekuli kunamtafaruku mkubwa na kuwaondoa viongozi wote na chama kuwa chini ya uangalizi wa madiwani.
Mmeanza kuiga mbinu za Magufuli? Naomba mmfukuze na fisadi Lowasa...
 
CAHDEMA juzi usiku kikao cha chama kimeuondosha uongozi wote wa mbeya mjini na kupisha uchunguzi;

Zoezi hilo lilisimamiwa na katibu wa CHADEMA Zanzibar

Ambaye amekuli kunamtafaruku mkubwa na kuwaondoa viongozi wote na chama kuwa chini ya uangalizi wa madiwani.
Si mlisema kutumbua majipu ni kukupurupuka.
 
Ukiona hivyo Chama kimekua sasa. Chadema hawana masihara nakumbuka 2011 Arusha madiwani walivyofukuzwa na Chama kinaendelea kukua zaidi.
 
Chadema tatizo ni mbowe na mtei.
Huyo CCM hawawezi kumhonga ataendelea kujenga chama. Mlijaribu kuua CUF ila sasa iko ndani ya CHADEMA mtalia 2020 na nawashauri imarisheni zana zenu za vita maana mnafahamika kwa uwizi wa kura na kutumia dola---- Shein
 
Back
Top Bottom