Uchaguzi 2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,797
11,959
Uzi huu ni maalum kwa ajili ya matokeo ya kura za maoni Ubunge kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.

SEGEREA
Jumla ya kura 144

Agness lambert 76
John Mrema 56
Masatu Wasira 7
Gango Kidera 3
Andrew 1
Kura zilizoharibika 1


BUNDA MJINI
Esther Bulaya ameshinda kura za maoni Bunda mjini kwa tiketi ya Chadema.

Jumla ya 128

Kura za Hapana 2

Kura za Ndio 126


KIGAMBONI
Lucy Magereli 53

Simon Magese 42


SERENGETI
Catherine Ruge - 304

Simon Maguye - 14

=======

MATOKEO YA KURA ZA MAONI - JIMBO LA HANANG (MANYARA)

Jumla ya Wagombea 2
1.Dr. Derick Magoma Rashid - Kura 118
2. Peter Nyalandu - Kura 100

Jumla ya wapiga kura 222
zilizoharibika 4

MATOKEO YA KURA ZA MAONI - JIMBO LA BABATI VIJIJINI (MANYARA)
1. Gerald Chembe 22 sawa na 12.43%

2. John Mmao kura 20 sawa na 11.30%

3. Mathayo Gekul kura 123 sawa na 69.49%

4. Paulina Narsis kura 12 sawa na 6.78%

Waliojiandikisha 179
Waliopiga kura 178
Kura Halali 177
Kura zilizoharibika 2

JIMBO LA IRAMBA
Jesca Kishoa

1.Jumla Kura 136
2. Kura za Hapana 0
3. Kura za ndio 134
4. Zilizoharibika 2

KURA ZA MAONI KANDA YA KUSINI

JIMBO LA LULINDI


Mgombea alikuwa mmoja Kura za (Ndiyo na Hapana) zimepigwa!

1. Boniface Sijaona Mitole
Kura za ndiyo 97.4%
Kura za hapana 3.6%

JIMBO LA NANYUMBU

Mgombea alikuwa mmoja Kura(Ndiyo na Hapana) zimepigwa!

1. Mansa Alfred Nyuchi
Kura za Ndiyo 87.9%
Kura za hapana 12.1%

Taarifa na.
Steward Kaking, Afisa Habari-Kusini
Julai 13, 2020

MATOKEO KURA YA MAONI JIMBO LA RUNGWE

-UBUNGE VITI MAALUM


1.SOPHIA MWAKAGENDA =57
2.VERONICA KENETH MWANJALA =32
3.TIBANDILAGE KENETH KALINGA=06
4.VICTORIA DONALD SWEBE=04

IDADI YA WAPIGA KURA =97


-UBUNGE JIMBO

1.SOPHIA MWAKAGENDA =140
2.WINSTON MWANSASU=80
3.JOHN DAVID MWABINGIJA=59
4.AHOBOKILE MWAITENDA=30
5.RICHARD MBALASE=05
6.GWAMAKA NSEKELA=04

KURA ILIYOHARIBIKA =01

IDADI YA WAPIGA KURA =317


MSIMAMIZI WA UCHAGUZI

GEORGE TITO

MATOKEO YA KURA ZAMAONI - JIMBO LA KOROGWE VIJIJINI (TANGA)

Walioandikishwa 211
Kura zilizopigwa 209

MATOKEO
1. Aminata Saguti 139=66.50%
2. Oliver Kisaka 69=33.01%
. Iliyoharibika 1= 0.47%

VITI MAALUM KOROGWE VIJIJINI

-Wapiga kura 39

MATOKEO
1. Aminata Saguti kura 39 =100%
2. Hapana = 0

MATOKEO YA KURA ZA MAONI - JIMBO LA MUHEZA (TANGA)

UBUNGE JIMBO:

Mgombea: Yosepher Ferdinand Komba
Walioandikishwa - 138
Waliopiga Kura - 129
Kura zilizoharibika - 1
Kura Halali. - 128
Kura za HAPANA. - 2
Kura za NDIYO. - 126

VITI MAALUMU MUHEZA

Mgombea Josepher Ferdinand Komba

Walioandikishwa Kupiga Kura - 57
Waliopiga Kura - 56
Kura Iliyoharibika - 01
Kura za HAPANA - 00
Kura za NDIYO. - 55

MATOKEO YA KURA ZA MAONI - JIMBO LA KOROGWE MJINI (TANGA)

Walioandikishwa kupiga kura 55
Kura zilizopigwa 51

MATOKEO
Wynjones Mwakolo 51 =100%
Hapana = 0

MATOKEO YA KURA ZA MAONI - JIMBO LA LUSHOTO (TANGA)

Ubunge Jimbo

Germano Walter Mbelwa
Waliondikishwa kupiga kura 83

MATOKEO
1. Germano Walter Mbelwa NDIYO =81
2. HAPANA=02

MATOKEO YA KURA ZA MAONI - JIMBO LA SIHA (KILIMANJARO)

Ubunge Jimbo
Walioandikishwa kupiga kura 130

MATOKEO
1. Elvis Christopher Mosi - 68
2. Anthony Dawson Mallya - 62

MATOKEO YA KURA ZA MAONI - JIMBO LA SAME MAGHARIBI (KILIMANJARO)

Idadi ya wajumbe waliohudhuria 79
Waliopiga kura 72
Kura zilizoharibika 0
Kura Halali 72

Matokeo
1. Gervas Eliawaha Mgonja kura 63 sawa na asilimia 87.5

2. Fredrick Mbwambo kura 9 sawa na asilimia 12.5

MATOKEO JIMBO LA BARIADI

Maendeleo Makoye 252 =90%

Martine Moga 25 =9%

Kura zilizoharibika 01

MATOKEO YA KURA YA MAONI JIMBO LA SINGIDA MJINI

1. Rehema Jemes Kura 99 sawa 59.63%

2. Shmwahibu Mohamed Kura 51 Sawa 30.72%

3. Noela S. Lemoyan Kura 13 Sawa na 9.65

Matokeo Jimbo la Bariadi Viti Maalum

Kwandu seni Mpanduzi 72=67%

Baega steven Masunga 36=33%

MATOKEO YA KURA ZA MAONI - JIMBO LA VUNJO (KILIMANJARO)

Ubunge wa Jimbo


Mgombea;
1)Grace Kiwelu Kura 80 =95.23%
2)Peter Msophe 4

UBUNGE Viti Maalum.
1)Mh Grace Kiwelu kura 25 = 83.33%
2) Aziza Mohammed 05 =16%

MATOKEO YA KURA ZA MAONI - JIMBO LA MWANGA (KILIMANJARO)

Mgombea:
Henry Kilewo
Ndio 127
Hapana 2
Iliyoharibika 0
Jumla 129

MATOKEO YA KURA ZA MAONI - JIMBO LA SIMANJIRO (MANYARA)

JIMBO LA SIMANJIRO


Mgombea. (1)
Jina: Emanuel Landey

Jumla ya wapiga kura 54

Kura za ndio. 53 = 98.14%
Kura za Hapana 0 =0%
Kura zilizoharibika 1 = 1.8%

MATOKEO YA KURA ZA MAONI - JIMBO LA KITETO (MANYARA)

Wapiga kura 93

Wagombea:
1. Advocate Pastory Florence Kong'oke kura 59
2. Honest Amasha Kamota kura 34

MATOKEO YA KURA ZA MAONI YA UBUNGE JIMBO LA ITILIMA.

Idadi ya wapiga kura walikuwa 245,

Kura zilizoharibika 01 sawa na 1%.

Matokeo,

01.Gimbi D.Masaba kura 83 sawa na 34%.

02.Maximillian K. Machimu kura 161 sawa na 65%.

Wapiga kura wa jimbo la Itilima wamempendekeza Ndugu Maximillian Kadutu Machimu kuwa mgombea wao wa ubunge!.

MATOKEO YA KURA YA MAONI JIMBO LA SINGIDA MJINI

1. Rehema Jemes Kura 99 sawa 59.63%

2. Shmwahibu Mohamed Kura 51 Sawa 30.72%

3. Noela S. Lemoyan Kura 13 Sawa na 9.65

VITI MAALUMU

A: Ubunge (Jimbo)
1. NAGHENJWA L. KABOYOKA

NDIYO= 125. = 98.4%
HAPANA =02. = 1.5%

JUMLA = 127

B. Ubunge (VM)
1. NAGHENJWA L. KABOYOKA

NDIYO= 34 = 100%
HAPANA =00

MATOKEO YA KURA ZA MAONI - JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI (ARUSHA)

Waliopiga Kura Ni 227

Elisa Mungure 109
Rebecca Mngodo 118

MATOKEO YA KURA ZA MAONI JIMBO LA MOROGORO MJINI

1.Jimbo.

Idadi ya Wapiga kura 125
Kura zilizoharibika 6

a.DEVOTHA MINJA 83 sawa na 66.4%

b.SHABAN DIMOSO 33 sawa na 26.4%

c.WILFRED NGINDU 2 sawa na 1.6%

c.JUMA TEMBO 1 sawa na 0.8%

VITI MAALUMU
Idadi ya Wapiga Kura 55
Kura zilizoharibika 02

a.DEVOTHA MINJA 38 sawa na 70.3%

b.ESTHER TAWETE 11 sawa na 20%

c.MARIA MIHANJO 4 sawa na 7%
d.DOROTH NAMUNASHI 0 sawa na 0%.

Gwamaka Mbughi.
Msimamizi.


Idadi ya Wapiga kura

MANYONI MAGHARIBI

1.JUMANNE SUNTA 50
2.GASPAR SALAKANI 22

Zilizoharibika 01

KURA YA MAONI KANDA YA KUSINI

Ubunge wa Jimbo Songea Mjini.

1. Aden Bahati Mayala kura 195=99%

2. Stella Gisler Mapunda kura 1=1% (Alijitoa ukumbini akidai kumwachia Mgombea mwenzake)

~~~~~~
Ubunge Vitimaalum
1. Rhoda Walter Komba kura 12=18%

2. Stella Gisler Mapunda Kura 56=82%, Hakuna kura iliyoharibika.

General Reuben Kaduma.
Msimamizi kutoka Kanda,
Julai 15, 2020.

MATOKEO YA UCHAGUZI JIMBO LA MBOZI.

Wagombea...

1.Abraham Msyete 25.
2.Ostern 1.
3.Pascal Haonga 79.
4.Shantiwa 1.

Jumla ya wapiga Kira walikua 106.

Msimamzi wa Uchaguzi
JOEL BITON SILUNGWE.

MATOKEO YA KURA ZA MAONI - JIMBO LA RORYA MKOA WA MARA

Waliopiga Kura Ni 286

Ezekia Dibogo Wenje 189

Pascalia mwita Sanya 29

Stephen Johnson Juma Owawa 62

Kura ziliharibika 03

MATOKEO YA KURA ZA MAONI - JIMBO LA RORYA MKOA WA MARA VITI MAALUM

Waliopiga Kura Ni 83

Judith Victoria Manyala 35

Pascalia mtatiro Sanya 48

MATOKEO YA KURA YA MAONI - JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI (ARUSHA)

1. Ayubu Isangya kura 96 sawa na 46.60%

2. Gibson Meiseyeki kura 93 sawa na 45.15%

3. Musa Kondawa kura 11 sawa na 5.34%

4. Banjamin Laiser kura 4 sawa na 1.94

5. Loota Laiser kura 2 sawa na 0.97%

MATOKEO KURA ZA MAONI JIMBO LA KARATU (ARUSHA)

Walioandikishwa - 145
Waliopiga Kura - 143
Kura Halali. - 143
MATOKEO
1. Pascal Gurti - 1 = 0.7%
2. Qamara Valerian - 5 = 3.5%
3. Samwel Welwel - 58 = 39.2%
4. Cecilia Paresso - 79 = 55.2%

VITI MAALUM
Walioandikishwa - 59
Waliopiga Kura - 57
Kura Halali. - 57

MATOKEO
1. Hosiana Welwel - 7
2. Debora Darabe. - 10
3. Fabiola Maami. - 17
4. Cecilia Paresso - 24

MATOKEO YA KURA ZA MAONI JIMBO LA SOLWA.

Idadi kuu ya wajumbe waliotakiwa kuhudhuria ni 145,

Waliohudhuria ni 112 sawa na 77% ya wajumbe wote halali wa jimbo,

Waliopiga kura ni 112 sawa na 100% ya wajumbe wote waliohudhuria.

Kura halali ni 112 sawa na 100%.

Kura zilizokataliwa ni 00 sawa na 0% ya kura zote,

Kura zilizokubaliwa ni 112 sawa na 100% ya kura zote,

MATOKEO,

01.Ganayi Nkwaji Salamba kura 03 sawa na 3%,

02.Mwinula Washington Kasonzo kura 37 sawa na 33%,

03.Chrispine Simon Myeke kura 72 sawa na 64%.

Wapiga kura wa jimbo la Solwa wamempendekeza Mkt wa zamani wa Baraza la vijana (BAVICHA) mkoa wa Shinyanga (2014-2019) kamanda Chrispine Simon Myeke kuwa mgombea wao wa ubunge!.

Matokeo Karagwe

1. Adorf Peleus 126=87%

2. Jarome mugisha 17=12%

Zilizoharibika 2

MATOKEO YA KURA ZA MAONI - JIMBO LA MOSHI MJINI (KILIMANJARO)

Jumla ya Wagombea 4
1.Antony Ndewawio 6 sawa na 3.6%
2.Collins Mayuta 10 sawa na 6%
3.Michael Kilawila 32 sawa na 19.4%
4.Raymond Mboya 117 sawa na 70.9%

Idadi ya kura halali 165
Waliojiandikisha 187

MATOKEO YA KURA ZA MAONI - JIMBO LA HANANG (MANYARA)

Jumla ya Wagombea 2
1.Dr. Derick Magoma Rashid - Kura 118
2. Peter Nyalandu - Kura 100

Jumla ya wapiga kura 222
zilizoharibika 4

MATOKEO YA KURA ZA MAONI - JIMBO LA BABATI VIJIJINI (MANYARA)

1. Gerald Chembe 22 sawa na 12.43%

2. John Mmao kura 20 sawa na 11.30%

3. Mathayo Gekul kura 123 sawa na 69.49%

4. Paulina Narsis kura 12 sawa na 6.78%

Waliojiandikisha 179
Waliopiga kura 178
Kura Halali 177
Kura zilizoharibika 2

(CHADEMA) Kanda ya Serengeti

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WALIO ONGOZA KURA ZA MAONI UBUNGE, 2020 MKOA WA MARA.

1. JIMBO LA MWIBARA


Idadi kuu ya waiumbe 140, Waliohudhuria ni 135 sawa na 96% ya wajumbe wote, Waliopiga kura 133, Kura halali 133, Kura zilizokataliwa 03 sawa na 296, Kura zilizokubaliwa 130 sawa na 98%.

Matokeo -

1. Deusdedit Matage kura 15 sawa na 12%,
2. Vedastus Mtamwega 115 sawa na 8614.

2. JIMBO LA BUNDA MJINI

Idadi kuu ya wajumbe 161, Waliofika 127 sawa na 78%, Waliopiga kura 127, Kura halali 127, Kura zilizokataliwa 0 sawa na 0% Kura zilizokubaliwa ni 127 sawa na 100%.

Matokeo

1. Esther Bulaya,

Kura za hapana 1 sawa na 0.7%,
Kura za ndiyo 126 sawa na 99.3%.

3. JIMBO LA SERENGETI

Idadi kuu ya wajumbe 350,Waliohudhuria 318 sawa na 91% ya wajumbe wote,Waliopiga kura 318, Kura halali 318, Kura zilizokataliwa 0 sawa na 0%,Kura zilizokubaliwa 318 sawa na 100%

Matokeo

1.Maguye Simon kura 14 sawa na 4%,
2.Catherine Ruge kura 304 sawa na 96%.

4. JIMBO LA BUTIAMA

Idadi kuu ya wajumbe 49, Waliohudhuria 40,Waliopiga kura 40,Kura halali 40,Kura zilizokataliwa 0 sawa na 0%.Kura zilizokubaliwa 40 sawa na 100%.

Matokeo

1.Marwa J.Marato,
Kura za hapana 02 sawa na 5%,
Kura za ndiyo 38 sawa na 95%.

5. JIMBO LA MUSOMA MJINI

Idadi kuu ya wajumbe 180, Waliohudhuria ni 155 sawa na 86% ya wajumbe wote,Waliopiga kura 155, Kura halali 155, Kura zilizokataliwa 0 sawa na 0%, Kura zilizokubaliwa 155 sawa na 100%.

Matokeo

1.Mhere Mwita kura 39 sawa na 25%,
2.1ulius Mwita, kura 116 sawa na 75%.

6. JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI

Waliohudhuria 97,Waliopiga kura 86,Kura halali 86,Kura zilizokataliwa 0 sawa na 0%.Kura zilizokubaliwa 86 sawa na 100%.

Matokeo

1.Deus Khaki kura 15 sawa na 17%,
2.Cleorence Tungaraza kura 71 sawa na 83%


7. JIMBO lA TARIME MJINI

Idadi kuu ya wajumbe 105,Waliohudhuria 82 sawa na 78% ya wajumbe wote. Waliopiga kura 82. Kura halali 82. Kura zilizokataliwa 0 sawa na 0%. Kura zilizokubaliwa 82 sawa na 100%.

Matokeo

1.Esther Matiko,
Kura za hapana 02
sawa na 2%,
Kura za ndiyo 80 sawa na 98%.

8. JIMBO LA TARIME VIJIJINI

Idadi kuu ya wajumbe 301,Waliohudhuria 286 sawa na 95% ya wajumbe wote, Waliopiga kura 270, Kura halali 270, Kura zilizokataliwa 0 sawa na 0%, Kura zilizokubaliwa 270 sawa na 100%.

Matokeo

1. John Heche,
Kura za hapana 02 sawa na 1%,
Kura za ndiyo 268 sawa na 99.%.

9. JIMBO lA RORYA

Idadi kuu ya wajumbe 300, Waliohudhuria 286 sawa na 95% ya wajumbe wote, Waliopiga kura 286, Kura halali 283, Kura zilizokataliwa 3 sawa na 1.4 %, Kura zilizokubaliwa 283 sawa na 98.6%.

Matokeo

1. Pascalia mwita Sanya kura 29 sawa na 10%,
2. Stephen Johnson Juma Owawa kura 62 sawa na 21%,
3. Ezekia Dibogo Wenje kura 189 sawa na 67%.

10. JIMBO lA BUNDA VIJIJINI

Idadi kuu ya wajumbe 89, Waliohudhuria 74 sawa na 83% ya wajumbe wote, Waliopiga kura 74, Kura halali 74, Kura zilizokataliwa 0 sawa na 0 %, Kura zilizokubaliwa 74 sawa na 100%.

Matokeo

1. Samweli Ndalo Kitama kura 12 sawa na 17%,
2. Bernard Megabe Mwita kura 62 sawa na 83%.

Imetolewa leo Jumatano Julai 16, 2020 na;
Chrispin John Mgisha Afisa Habari, Tehama na Mawasiliano, Kanda ya Serengeti.

MATOKEO YA KURA ZA MAONI - JIMBO LA BABATI MJINI (MANYARA)

Waliandikishwa 100
Waliopiga kura 76
Kura halali. 76

MATOKEO
1.Antero Assey. 0. = 0%
2. Salutary Slaa 2. = 2.63%
3. Kibiki Mohamed 14 = 18.42%
4. Tadey Lister Mlemeta 60 = 78.04%

UBUNGE VITI MAALUM
Walioandikishwa 36
Waliopiga Kura - 32
Kura Halali. 32

MATOKEO
1. Neema Abdilahi - 1 = 3.12%
2. Emma Boki. - 3. = 9.38%
3. Fatuma Mpore - 6 = 18.75%
4. Valentina Shayo. - 22 = 68.75%

MATOKEO JIMBO LA BUKENE

Wajumbe waliotakiwa kuhudhuria ni 187 waliofika ni 137 sawa na asilimia 73.26

Kura zilizopigwa jumla ni 137. Hakuna Kura iliyoharibika

Mgombea alikuwa mmoja, wengine wawili walijitoa. Kamanda Lumola Steven Kahumbi alipigiwa Kura za NDIO au HAPANA

KURA ZA NDIO = 136 Sawa na 99.27 %

KURA ZA HAPANA = 1 sawa na 0.73%

Hivyo kwa mamlaka niliyopewa kwa niaba ya Kanda ya Magharibi ninamtangaza Lumola Steven Kahumbi kama mshindi katika hatua hii ya awali.

Divain Paul Mabula
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Bukene 2020-25

16 July 2020.
1594910277539.png
1594910294872.png

CDM.jpg
 
MATOKEO KURA ZA MAONI JIMBO LA NJOMBE MJINI

Wagombea :

1. EMANUEL MASONGA 78 ~67.8%
2. ROSE MAYEMBA 26 ~22.6%
3. LUCIA MLOWE 11 ~9.5%
4 . MARIETH MWALONGO 0 ~0%

Viti Maalumu :

1. SIGRADA MLIGO 28 ~ 82.3%
2. ROSE MAYEMBA 3 ~ 8.8%
3. LUCIA MLOWE 2 ~5.8
4. EINOTH LAIZER 1 ~2.9%
5. MARIETH MWALONGO 0 ~0%

Msimamizi.
Leonce Marto
2020/16/07


MATOKEO YA KURA YA MAONI - JIMBO LA ROMBO

A: Ubunge (Jimbo)
1. HUGHO S. KIMARYO = 22 = 8.9%

2. PATRICK J. ASENGA = 221 = 89.8%

JUMLA = 243

B. Ubunge (VM)
1. BEATRICE K GERALD = 39 = 52%

JUMLA = 75

MATOKEO YA KURA YA MAONI - JIMBO LA ROMBO

A: Ubunge (Jimbo)
1. HUGHO S. KIMARYO = 22 = 8.9%

2. PATRICK J. ASENGA = 221 = 89.8%

JUMLA = 243

B. Ubunge (VM)
1. BEATRICE K GERALD = 39 = 52%

JUMLA = 75

Jimbo la Mikumi

Joseph Haule.

Idadi ya waliosajiliwa 147
Waliopiga kura 137

Ndiyo 137
Hapana 0


Barnabasi Okola.

Msimaizi wa Uchaguzi

MATOKEO JIMBO LA IGUNGA

Anna Nyarobi kura 45

Vincent Kamanga Kura 29

Francis Nyamiti Kura 04

Sauti ya Igunga-Tabora

MATOKEO YA UCHAGUZI KURA ZA MAONI JIMBO LA LINDI MJINI.

Mgombea alikuwa mmoja HEMED ALI ,
Mgombea mwenza mhe. SALUM KHALFANI BARUAN alijitoa.

Kura zilizopigwa 87
Kura halali 82
Kura zilizoharibika 5
Kura za hapana 3
Kura za ndio 79 sawa na asilimia 96.3%

MATOKEO JIMBO LA KAHAMA MJINI

Thadeus Mwati 54=37%

Juma Ntahimpera 49=34%

Bukango Bukango 41=28.4%

Matokeo Jimbo La Ushetu

Mgombea Alikuwa Mmoja

Emmanuel Magema Kura za Ndiyo 86

Hapana Kura 01

Matokeo kura za maoni Nyamagana

1. John J. Pambalu 67=40.6%

2. Seleman A. Khalid 44=26.7%

3. Charles M. Chichibela 19=11.5%

4. Patrick Masagati 16=9.7%

5. Mwakihaba M. Alinane 15=9.1%

6. Jemima O. Abwao 3=1.8%

7. Jackline R. Kisanga 1=0.6%

KURA ZA MAONI JIMBO LA SUMVE (CHADEMA)

Jumla ya kura: 157
Hakuna kura iliyoharibika.

1. Boaz Simon Maningu -- 55
2. Sangalali Shija Masanja -- 102 ✅
IMG-20200717-WA0014.jpg
 
Susan Lyimo ameshinda katika Kura za Maoni za kumteua mgombea wa Chadema Jimbo la Kinondoni. Amepata kura 71 kati ya 113. Sawa na asilimia 62.8. Amewashinda Moza Ally (Makamo Mwenyekiti Bavicha), Rose Moshi diwani Viti Maalum na Mbezi Mwombeki
 
Halafu mbona wanawake wanashinda sana kura za maoni hapo Dar kwa CHADEMA, naona kwa leo tu kuna Agness Lambart ameshinda Segerea, Susan Lymo Kinondoni, na Lucy Magereri huko kigamboni, bado hatujaongelea kawe ambapo mdee lazima atachukua, kuna ukonga alishindaga Asia Msangi dhidi ya Waitara na najua hata this time atashinda. Wanaume wa Dar wa CHADEMA mnakwama wapi?
 
Nafhani hoja sio jinsia, ila ni ushawishi wa mgombea na namna anavyokubalika mbele za wapiga kura
Halafu mbona wanawake wanashinda sana kura za maoni hapo Dar kwa CHADEMA, naona kwa leo tu kuna Agness Lambart ameshinda Segerea, Susan Lymo Kinondoni, na Lucy Magereri huko kigamboni, bado hatujaongelea kawe ambapo mdee lazima atachukua, kuna ukonga alishindaga Asia Msangi dhidi ya Waitara na najua hata this time atashinda. Wanaume wa Dar wa CHADEMA mnakwama wapi?
 
Back
Top Bottom