CHADEMA Makao Makuu hakikisheni wote waliokamatwa Kwenye uchaguzi wa Ukonga wanapata msaada wa Kisheria

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,212
217,168
Ninazo taarifa kwamba kuna makamanda wetu wengi sana wamekamatwa na kuwekwa rumande kwa amri za viongozi wa ccm na Paulo Makonda , wengi wamenyimwa dhamana na wanateswa sana huko selo , miongoni mwao wamo mawakala wetu .

Naomba sana viongozi wa kanda na wale wa Makao Makuu kuhakikisha kila mhanga anatetewa na kusaidiwa kwa hali na mali , binafsi nipo tayari kuchangia pesa taslimu ili kujazia palipopungua .

Mungu ibariki Chadema

UPDATES
...................
Makamanda wote waliokamatwa kinyume cha sheria kwenye uchaguzi hewa wa Ukonga wameachiwa baada ya wanasheria wa Chadema kulizidi hoja jeshi la polisi , hongera makamanda

A dreamer be the one  A winner be the one  A fighter be the one.jpg
 
Ninazo taarifa kwamba kuna makamanda wetu wengi sana wamekamatwa na kuwekwa rumande kwa amri za viongozi wa ccm na Paulo Makonda , wengi wamenyimwa dhamana na wanateswa sana huko selo , miongoni mwao wamo mawakala wetu .

Naomba sana viongozi wa kanda na wale wa Makao Makuu kuhakikisha kila mhanga anatetewa na kusaidiwa kwa hali na mali , binafsi nipo tayari kuchangia pesa taslimu ili kujazia palipopungua .

Mungu ibariki Chadema

View attachment 869378
Kwa nini wewe mwenyewe usitafute mawakili na kuwalipa kwanza?
 
Ninazo taarifa kwamba kuna makamanda wetu wengi sana wamekamatwa na kuwekwa rumande kwa amri za viongozi wa ccm na Paulo Makonda , wengi wamenyimwa dhamana na wanateswa sana huko selo , miongoni mwao wamo mawakala wetu .

Naomba sana viongozi wa kanda na wale wa Makao Makuu kuhakikisha kila mhanga anatetewa na kusaidiwa kwa hali na mali , binafsi nipo tayari kuchangia pesa taslimu ili kujazia palipopungua .

Mungu ibariki Chadema

View attachment 869378
Amen brother.
 
Back
Top Bottom