CHADEMA (magwanda) kama Asenali vile; wanashangilia ushindi kipindi cha kwanza!

President Elect

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
689
210
Ndugu zangu wa 'magwanda' wanajua sana kushangilia ushindi kabla mchezo haujesha. Utakuta mashabiki wa asernal timu yao iko mbele kipindi cha kwanza kwa 3-0, wanashangilia sana tu. Maskini kipindi cha pili timu inarudisha bao zote na kuongeza nyingine mbili.

Refa anapuliza kipenga kumaliza mchezo CDM 3 - 5 CCM. Kuweni makini magwanda, matokeo ya Igunga ndiyo hayo!
 

Panga La Shaba

JF-Expert Member
Dec 24, 2009
209
68
Kijeba karibu jamvini,wenzako wanabisha hodi kwanza,sio unakimbilia kuropoka kama umekunywa maji ya chooni...
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom