CHADEMA maandamano v/s CHADEMA muafaka

CDM imeketika vipande vipande.Yapo makundi mawili makubwa moja likifahamika CHADEMA maandamano na lingine CHADEMA muafaka.CHADEMA maandamano linaongozwa na mwenyekiti taifa akisaidiwa na wabunge wapenda fujo Lema,Lissu na katibu mkuu Slaa.CHADEMA muafaka inaongozwa na Zitto Kabwe,Halima Mdee,John Mnyika na madiwani waliowekwa kando na kamati kuu ya CDM.

Kundi la CHADEMA muafaka halipendi fujo wafuasi wake wengi ni wasomi wanataka amani,utulivu na ustawi wa uchumi wa Tanzania uenziwe.CHADEMA muafaka ni kundi linalopenda kuenzi demokrasia ndani ya chama na nchi.

Kundi la CHADEMA maandamano linapenda siasa za fujo,viongozi wake hawajali amani na utulivu.Hawajali sheria za nchi wako tayari kuvamia na kuchoma moto ofisi ya mkurugenzi wa jiji la Arusha kwa visingizio hewa.wanadai wamedhulumiwa umeya lakini hawasemi kweli CCM ina madiwani 16 CDM 14 na TLP 2 watashindaje umeya ?.Kundi la CHADEMA maandamano linaongozwa na viongozi wanafiki,waongo,warushi,wazushi na majambazi.

Haijulikani kundi gani litashinda na kushika hatamu za chama.CHADEMA maandamano likishinda Tanzania itakumbwa na maandamano kama ya Syria,CHADEMA muafaka ikishinda Tanzania itasalimika na umwagaji wa damu.

Baada ya CCM kulundika makundi zaidi ya matatu ndani ya chama umekuja na idology ya kuzusha eti na CDM ina makundi. Inaonyesha utotoni mwako ulikua unatabia ya kupiganisha kuku. Izi story kajidili facebook na wenzako wenye upeo mfupi.
 
Chadema wamekua watu wa vurugu muda wote! Sijui ni mdudu gani unawasumbua hawa jamaa!
 
Anzisha thread ya makundi CCM nitachangia hapa nazungumzia makundi magwanda acha uvivu wa kufikiri.

Baada ya CCM kulundika makundi zaidi ya matatu ndani ya chama umekuja na idology ya kuzusha eti na CDM ina makundi. Inaonyesha utotoni mwako ulikua unatabia ya kupiganisha kuku. Izi story kajidili facebook na wenzako wenye upeo mfupi.
 
Watu wenye akili zenu timamu mnapoteza muda wenu kubishana na huyu mwendawazimu kwa nini? Kama hamna habari hii ID ya "Lebadudumuzi" ni ID mbadala ya NAPE.
 
Matatizo ya Tanzania ni uchochezi,vurugu na maandamano ya vibaka na machokora.

Matatizo ya watanzania yanatokana na ufisadi, uzururaji wa Vasco Dagama II Tz, upoyoyo na wabonge wa Sicm kufikiri kwa makalio na kuchumia tumbo.

Hao vijana unaoona ni vibaka na machokoraa ni zao la miaka 50 ya sera mbovu (kufikiri kwa makalio aka kuchumia tumbo) ya sicm.

Vijana wasio na ajira kutokana na sera mbovu za serikali lege lege ya Vasco Da gama (gamba kuu) refer list of shame

Wewe ledudumizi hebu nitajie list of shame hapa, ndo wanao vuana magamba
 
nyerere alisema vyama vya siasa japo vibovu lakini vipooo!!!!!! Enzi zile...sasa vimekuwa na vinaonekana....mtanzania mwenye akili timamu ya kufikiria kama mimi na ajue siasa ndiyo maendeleo ya taifa....yeyote mwenye akili na akadharau siasa inaonekana ana dhambi ya asili yaani ufisadi, wizi, tamaa, ubinafsi, na wengi wanajitenga na maskini wa kawaida kwa kujikweza....tulikula majani kwa lazima ndege ya rais ambayo ni ya pili kuuzwa kwa tanzania baada ya israel ikaja..leo tunaona wengiiiiiiii walidhaniwa ndio sasa wanajulikana wezi wa asili...sijui watu wengine mnafikiria je maana siasa...? Tutakuwa watumwa wa watu mafisadi kwa ujinga wetu wenyewe....nini hiii?????
 
Chadema wamekua watu wa vurugu muda wote! Sijui ni mdudu gani unawasumbua hawa jamaa!
Sheikh ubwabwa katika ile sikukuu yenu ya kuadhimisha kushinda njaa kwa mwezi mzima tunafanya mpango tukuchinjie yule mwanakondoo wa maajabu mwenye baka leupe ubavuni.
 
Watu wenye akili zenu timamu mnapoteza muda wenu kubishana na huyu mwendawazimu kwa nini? Kama hamna habari hii ID ya "Lebadudumuzi" ni ID mbadala ya NAPE.
atuambie ccj imekufa au wanajipanga kupata usajiri wa kudumu ndiyo wagoke ccm..
 
<font size="4"><span style="font-family: comic sans ms">Sheikh ubwabwa katika ile sikukuu yenu ya kuadhimisha kushinda njaa kwa mwezi mzima tunafanya mpango tukuchinjie yule mwanakondoo wa maajabu mwenye baka leupe ubavuni.</span></font>
Huna cha maana unachoandika huku! Bora ungejikalia tu kimya! Utabaki na fikra hizo hizo!
Mijitu mingine bana!
 
Wanataka kuharibu nchi halafu watimkie ulaya.
<br />
<br />
Zimidudubale (lebadudumizi) muda mwingi nimejaribu kupitia maoni yako na mwishowe nimelaumu muda wangu wa bure nilio2mia kupitia ID zako kwa kweli humu jamvini yaelekea ni m2mishi fulani ila 2najua kikomo yako c mbali hata kidogo. We nitakufananisha na kijike fulani cha nguruwe anayeanza kutaka kukanyagwa hakika ndivyo! We endelea tuone.! Nyambavu sana!!
 
cdm imeketika vipande vipande.yapo makundi mawili makubwa moja likifahamika chadema maandamano na lingine chadema muafaka.chadema maandamano linaongozwa na mwenyekiti taifa akisaidiwa na wabunge wapenda fujo lema,lissu na katibu mkuu slaa.chadema muafaka inaongozwa na zitto kabwe,halima mdee,john mnyika na madiwani waliowekwa kando na kamati kuu ya cdm.

Kundi la chadema muafaka halipendi fujo wafuasi wake wengi ni wasomi wanataka amani,utulivu na ustawi wa uchumi wa tanzania uenziwe.chadema muafaka ni kundi linalopenda kuenzi demokrasia ndani ya chama na nchi.

Kundi la chadema maandamano linapenda siasa za fujo,viongozi wake hawajali amani na utulivu.hawajali sheria za nchi wako tayari kuvamia na kuchoma moto ofisi ya mkurugenzi wa jiji la arusha kwa visingizio hewa.wanadai wamedhulumiwa umeya lakini hawasemi kweli ccm ina madiwani 16 cdm 14 na tlp 2 watashindaje umeya ?.kundi la chadema maandamano linaongozwa na viongozi wanafiki,waongo,warushi,wazushi na majambazi.

Haijulikani kundi gani litashinda na kushika hatamu za chama.chadema maandamano likishinda tanzania itakumbwa na maandamano kama ya syria,chadema muafaka ikishinda tanzania itasalimika na umwagaji wa damu.
huo mgawanyiko wa cdm wewe ndio umeuanzisha akili mwako na unataka na unataka kueneza uongo wako humu jf pia kama cdm wasingeweza kuuchukua umea kwanini ccm uchaguzi walifanya bila kuwashirikisha cdm? Na kwanini wafanye kukimbilia kutumia vyombo vya dola kuliko kutumia busara mpaka kusababisha wenzetu wa3? Na muafaka kwanini wautafute kwa hongo?
 
Back
Top Bottom