CHADEMA maandamano v/s CHADEMA muafaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA maandamano v/s CHADEMA muafaka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by lebadudumizi, Aug 12, 2011.

 1. l

  lebadudumizi Senior Member

  #1
  Aug 12, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CDM imeketika vipande vipande.Yapo makundi mawili makubwa moja likifahamika CHADEMA maandamano na lingine CHADEMA muafaka.CHADEMA maandamano linaongozwa na mwenyekiti taifa akisaidiwa na wabunge wapenda fujo Lema,Lissu na katibu mkuu Slaa.CHADEMA muafaka inaongozwa na Zitto Kabwe,Halima Mdee,John Mnyika na madiwani waliowekwa kando na kamati kuu ya CDM.

  Kundi la CHADEMA muafaka halipendi fujo wafuasi wake wengi ni wasomi wanataka amani,utulivu na ustawi wa uchumi wa Tanzania uenziwe.CHADEMA muafaka ni kundi linalopenda kuenzi demokrasia ndani ya chama na nchi.

  Kundi la CHADEMA maandamano linapenda siasa za fujo,viongozi wake hawajali amani na utulivu.Hawajali sheria za nchi wako tayari kuvamia na kuchoma moto ofisi ya mkurugenzi wa jiji la Arusha kwa visingizio hewa.wanadai wamedhulumiwa umeya lakini hawasemi kweli CCM ina madiwani 16 CDM 14 na TLP 2 watashindaje umeya ?.Kundi la CHADEMA maandamano linaongozwa na viongozi wanafiki,waongo,warushi,wazushi na majambazi.

  Haijulikani kundi gani litashinda na kushika hatamu za chama.CHADEMA maandamano likishinda Tanzania itakumbwa na maandamano kama ya Syria,CHADEMA muafaka ikishinda Tanzania itasalimika na umwagaji wa damu.
   
 2. Mark Francis

  Mark Francis Verified User

  #2
  Aug 12, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 605
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Huna hoja, CDM ni kitu kimoja muda wowote.
  Kaa na maneno yako ya kizushi... 2015, utaujua ukweli!?
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  Naunga hoja mkono! Na la nyongeza ni kwmb labda ndiyo jamaa ameshtuka muda huu.
   
 4. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Makalio mengine bana..!
   
 5. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  We we ndugu ongelea matatizo ya watanzania achana na CDM yenye matumaini kwa watanzania.

  Acha kutunga uongo ili kiuigawa CDM.

  Matatizo ya watanzania yapo mengi, washauri Sicm waache kuchezea akili za watanzania kwa hadaa za kuvuana magamba, mbona magamba hayavuliki.

  Umeme hakuna, mafuta hakuna - vijana na akina mama wameathirika sana. Salon za kunyoa, Salon za wanaume, mafundi welding.

  Mbaya zaidi mafuta taa yamepanda, watu wa vijijini wameathirika sana. na Sicm wanategemea watu wa vijijini kwa kura sijui safari hii Magamba watahonga na nini...

  Igunga CDM wakawaeleze wananchi kuhusu uhuni wa Sicm wa kupandisha bei ya mafuta taa.

  Hakuna reli, hakuna shirika la ndege, hakuna bandari ya Tanga, KIA imekufa ---- Sicm bado mnahangaika na CDM

  Sicm mnaendelea kufikiria kwa makalio????? Think twice
   
 6. DCONSCIOUS

  DCONSCIOUS JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,272
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Zitto ,mdee na Mnyika wote hawa walikuwepo kwenye maandamano ya Mbeya .Na walisisitiza hawata acha ku andamana .
   
 7. l

  lebadudumizi Senior Member

  #7
  Aug 12, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nani kakudanganya CHADEMA ni kitu kimoja.Mbona mlimzuia Zito asigombee ukigoda wa chama , Demokrasia iwapi ? Umeasahau mwenyekiti wa wakina mama alitimkia NCCR sababu ya mizengwe au umesahau Zitto aliwekewa sumu.Vipi uchaguzi wa BAVICHA ? Bado unadai CHADEMA ni wamoja.

   
 8. l

  lebadudumizi Senior Member

  #8
  Aug 12, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We huna makalio au umechutama na mkeyboard wa kichina.

   
 9. l

  lebadudumizi Senior Member

  #9
  Aug 12, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Matatizo ya Tanzania ni uchochezi,vurugu na maandamano ya vibaka na machokora.

   
 10. l

  lebadudumizi Senior Member

  #10
  Aug 12, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zito ni machine nyingine hawezi vamia ofisi za serekali.

   
 11. l

  lebadudumizi Senior Member

  #11
  Aug 12, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mpaka sasa CHADEMA muafaka wanaongoza bao moja bila majibu.Madiwani walioondolewa wanaudhuria vikao kama kawaida.madiwani maandamano viherehere wanazidi kula vumbi mtindo mmoja wanajuuuta kutii amri batili ya CC ya CHADEMA.
   
 12. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #12
  Aug 12, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Chadema haijawahi kudai imedhulumiwa chadema inakata sheria, haki na kanuni zifutwe hata kama tuna madiwani wa 2.
  kama tatizo la namba mbona CCM mbungeni mko zaidi ya 200 lakini siku ya kuchagua Spika mlifanya uchaguzi..kuhusu makundi, CCM ndiyo inayoongoza kwa kuwa na makundi

  1. CCM mafisadi...Kikwete, Lowasa, Chenge...
  2. CCM -CCJ...Sitta, Nape, Mwakyembe.....
  3. CCM-wanafiki/waoga....Pinda.....
  4. CCM - Ndiyo....hawa wako wengi
   
 13. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #13
  Aug 12, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Endeleeni kuwatambua lakini watnzania wana jua nani anavunja sheria za nchi hii, na kutumia kodi ya watanzania vibaya tutakuja kuzidai hizo posho mtakazo walipa...
   
 14. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #14
  Aug 12, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kumbuka hata fisadi Lowasa aliwashauri nini....
   
 15. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #15
  Aug 12, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mbona nyie Shibunda mlimzuia kugombea kupitia sheikh Yahaya eti atakufa..hahahahahahah
   
 16. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #16
  Aug 12, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  No retreat, no surrender. Maandamano kwa kwenda mbele!
   
 17. l

  lebadudumizi Senior Member

  #17
  Aug 12, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kukodisha muiga sauti Steven Nyerere ndiyo kutii sheria ?

  Kutishia kuvamia ofisi za serekali ndiyo utii wa sheria ?.

  Kuwatimua madiwani bila kuwasikiliza ndiyo utii wa sheria ?

  Kukodisha boda boda ndiyo matumizi sahihi ya ruzuku ?

  Kutamka maneno yenye kuatarisha uvunjifu wa amani ndiyo utii wa sheria ?

  Kumtetea mbunge kibaka (mwizi wa magari)ndiyo utii wa sheria ?

  Kuuzia chama malori chakavu na mabovu ndiyo utii wa sheria ?

   
 18. l

  lebadudumizi Senior Member

  #18
  Aug 12, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utawadai kwani zako.

   
 19. l

  lebadudumizi Senior Member

  #19
  Aug 12, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lowassa angekuwa fisadi gazeti la mwenyekiti wako lingemtetea ?

   
 20. l

  lebadudumizi Senior Member

  #20
  Aug 12, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona nyie mlimzuia Zitto asigombee kigoda cha taifa au sheikh Yahaya aliwashauri ?.

   
Loading...