CHADEMA liangalieni hili linawashushia imani kwa wananchi

Nina mashaka makubwa na uraia wa huyu anayejiita D.M,wewe ni mtanzania kweli ama wewe una uraia wa CCM?
 
we ulitaka washerekee ujinga huo alafu ukiona mtu au watu wanesherekea x2 hasa kwenye taifa lenye shida na matatizo mengi yanayo mgusa kila mwananchi ujue huyo mtu anamatatizo ya akili
 
]

Huyu jamaa mgeni humu JF na kwenye siasa pia. Subiri ujifunze jinsi ya kuanzisha thread kwa wenzako sio kuandika ***** tu. Au umetumwa?
 
Haja ya kusheherekea ipo ila there is no need to yearly. We could do that every 5 yrs and save a lot of money, money that could be used to improve infrastructure. Magamba lazima wakubali kuwa Tanzania ni nchi maskini ingawa tuna rasilimali nyingi kidogo tulichonacho tutumie wisely sio kila siku kutegemea investors ambao wanatuexploit.
 
Mtoa hoja umezeeka kifikra!Na mko wengi sana wa namna yako,na ndo mnaotuwekea kiwingu!Muungano unakunufaisha nn wewe binafsi?
 
Back
Top Bottom