CHADEMA less 15% ya uwakilishi bungeni wabinafsi Jee 60 % itakuwaje ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA less 15% ya uwakilishi bungeni wabinafsi Jee 60 % itakuwaje ?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtu wa Pwani, Feb 9, 2011.

 1. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  kwa kweli hawa Chadema wana kazi, kwa mpango huu kweli wataweza alau kuresist nayao majimbo walionayo?


  Kafulila alisema wachache wanaopinga suala hilo, kimsingi hawana hoja zaidi ya ubinafsi wao na ubaguzi. "Wachache ambao wanapinga azimio la mabadiliko haya, sioni kama wana hoja zaidi ya ubaguzi. Kama leo wapinzani tumepata asilimia 20 ya viti tunapingana, je itakuwaje tukipata asilimia 60?," alihoji Kafulila huku akipigiwa makofi na wabunge wengi wakiwa ni wale wa CCM.


  na hizi Dharau za chadema kwa Zanzibar wanajua mazara yake? wao wanaamini vipi juu ya masuali ya MUUNgano, au hawajui kuwa zanzibar ni partner sawa na tanganyika kwen
  ye muungano?


  "Hapa inaonyesha kuwa tunataka kufungishwa ndoa ya lazima kama walivyofanya kule ng'ambo ya bahari (Zanzibar), hivi kuna maana gani kwa mbunge anayetoka chama chenye mbunge mmoja katika nchi akapewa jukumu la kusimamia fedha za umma au mbunge kutoka Zanzibar ambaye wapiga kura wote wa wabunge hao hawafikii idadi ya wapiga kura wa mbunge mmoja tu John Mnyika wa Ubungo," alihoji Lisu na kuongeza: "....Kamwe haitawezekana, watu tunaotaka kuwaondoa madarakani, leo hii tuwape madaraka ya kutuundia kambi ya upinzani bungeni.
   
 2. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Na mimi kwa kuwa sijaelewa ulichokusudia kutufahamisha hapa natoka nje ya hii thread.....nasusa kabisa
   
 3. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,679
  Likes Received: 21,911
  Trophy Points: 280
  Ikipata 60% itakuwa ndio chama tawala. Ulikuwa ni mfano wa kijinga.
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  wewe ni mwehu, tena mwehu wa Pwani.

  siyo suala la ku-resist.

  ni kwamba 2015 CCM watatafuta ushindi kwa tochi.
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Akili ya kuambiwa changanya na yako! Kama huna akili basi azima.
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,806
  Likes Received: 83,184
  Trophy Points: 280
  Kujibizana na huyu jamaa aliyetumwa na Chama Cha Mafisadi kuja kumwaga sumu hapa dhidi ya CHADEMA ni kupoteza wakati wako Mkuu.

   
 7. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Kwa hiyo Mkuu wa Pwani Ndg Tundu LISU anatoa uelekeo gani, ikiwa hata Bwn Kafulira tuliye mtegemea kwa hoja za nguvu ameanza kuyumba. Nadhani wakati huu kwa hawa kina Mr Mbowe ni wakati wa kujiimalisha kwenye hoja ili wasipoteze msimamo. Yote hii ni tibua tibua ya SISIEM, wewe ulitegemea nini kumtosa SIX kwenye uspika, maana yake ni kupreempty nguvu ya upinzani!!!!!!!!!!.
  Watulie wafanye kazi tuliyo watuma, waonyeshe uozo na ufisadi wa hawa watu hata kama watazimwa watu ni waelewa mwisho wa siku walete hizo hoja kwa watu.Aluta continua!!!!!!!!
   
 8. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  :A S-confused1::A S-confused1::blah:
   
 9. K

  KISOSORA Member

  #9
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vipi bro mbona matusi?
   
 10. N

  Nanu JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Tatizo la mleta hoja ni kwamba anatumia macho mawili kuangalia mambo!
  Inabidi kwanza aelewe kuwa Spika Makinda, wiki moja iliyopita, alisema hakutakuwa na kambi mbili za upinzani na kwa mujibu wa kanuni Chadema wanaweza kuunda kambi hiyo bila hata kushirikisha vyama vingine.
  Kimya kimya kupitia CCM wakaleta hoja ya jinsi ya kuwa accommodate watu wao hasa Hamad Rashid na wengine wa CUF. Pia wameogopa kuwa wenyeviti wa Kamati nyeti za bunge watatoka Chadema na hilo wao linawapa joto sana! Na kwa mantiki hiyo wakati tafuta faulu ya jinsi ya kulikwepa hilo na kupitia kwa Spika wao wametimiza azma yao!
  Nadhani tunahitaji chama kama Chadema kiendelee kuwa na nguvu ili hawa CCM waamke usingizini kwa faida ya taifa letu tukufu!
   
 11. m

  mzee wa inshu Member

  #11
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu ni dhahiri kuwa hujui unachoongea.

  Naomba tyafakari kabla ya kuongea, Jenga hoja ya msingi badala ya kubwabwaja. Huu ni mtandao wa watu makini na sio wahuni.  'NO EVIDENCE NO RIGHT TO SAY'
   
 12. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,728
  Likes Received: 1,636
  Trophy Points: 280
  Aliyemjibu kuwa wakifika 60% watakuwa wamefanikiwa kuwa chama tawala wala sio Pinzani, itakuwa kama kenya na KANU, au Zambia na ZANU, kitakuwa ni chama chenye mafanikio makubwa kwani kitakuwa na damu changa, sio cha mafisadi, haki sawa na akimilikiwi na watu wachache kama CCM inavyomilikiwa na Rostam na EDU Lowa
   
 13. BULLDOZZER

  BULLDOZZER Senior Member

  #13
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sumu ya ukabila na udini itawasumbua sana chadema. i think to ignore voters even if is single is to abuse democracy. why when someone won over 2votes.
   
Loading...