Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 46,994
- 144,329
Ni imani yangu viongozi wa CHADEMA leo wataweka mbele heshima ya chama kwa kulinda katiba ya chama hicho pale watapowafukuza wasaliti 19 kwa mpigo na kuweka historia ya kufukuza Wanachama Waandamizi 19 kwa mpigo ili kulinda Katiba ya chama.
Hakika leo itakuwa ni siku ya historia kwa CHADEMA na pigo kwa watu wa chama fulani na mamluki wao pamoja na taasisi zote zilizohusika katika hujuma hii iwapo CHADEMA watafanya maamuzi hayo ya kuwafukuza wasaliti hawa katika kikao chao cha leo tarehe 27/11/2020.
Tarehe 27/11/2020, itakuwa ni siku ya kukumbukwa. Kazi kwenu CHADEMA.