CHADEMA leo wana nafasi ya kuweka historia ya kusimamia maadili ya chama kwa kuwafukuza Wanachama wake 19 kwa mpigo

Wewe sema hivi. Leo ni siku ya historia ambayo KATIBU MKUU wa chama cha Chadema kung'atuka baada ya kuona viongozi wenzake wamempuuzia kutokana na ujinga wake wa kutaka kukikosesha chama RUZUKU ya angalau at least MILION 40 ya kila mwezi. Hapo nani akubali ujinga huo. Mbowe timua huyo kikaragosi anataka kuua chama chetu pendwa

Chama kina wanachama milion 6 hivi hizo milioni 40 ni pesa kiasi gani kwa mwezi kwa kila mwanachama ndo wale matapishi sababu ya ruzuku mbona mabeberu wamesema bora wasaidie vyama vinavyotetea demokrasia kuliko kutoa mssada kwa serikali za kidikteta sasa wana shida gani na hizo ruzuku za kuuza utu wao pamoja na heshima yao. Hiyo aibu haiwezi kunyamaziwa ni kuwafukuza tu hakuna haja ya hiyo ruzuku
 
Then wewe unapata faida gani?
Watu wengine sijui uwa mnawaza kitu gani

Michango na mapambano ya Hao wadada kwa chadema unaijua?

Unajua mambo waliopitia Mpaka chama kimefika hapo?

Hata mkiwavua bado wanakuwa wabunge Sasa chama kinakuwa kimepata nn kama sio ujinga?
Yaani uvuliwe uanachama kwa kufuata kanuni na taratibu halafu bado uendelee kuwa mwanachama?

Au sheria ilibadilishwa namimi ndo sipo updated?
 
Chama hakihitaji kufaidika na hao wasaliti ni kiwafukuza tu hakuna njia nyingine tena wakifukuzwa watawachagua wanawake wengine kushika hizo nyadhifa na kuhamasisha wengine wengi kukikubali CHADEMA. Hakuna uamuzi mwengine ni kufukuza tu ndo linakuwa pita kwa wote walijiingiza kwa huo uchafuzi.
Wewe kama nani mkuu unaongea na kusema chama hakihitaji kufaidika na wasaliti? kama chama kiliweza kufaidika na mtu kama Lowassa kitashindwa vp na kufaidika na hao wasaliti?
 
Back
Top Bottom