CHADEMA leaders you have let us down in grooming EALA Candidates, a lot of credit to NCCR MAGEUZI

Yaan ata cdm wangemsimamisha nan ndugu magamba wasingeweza kuachia kabisa naomba kabla ujatoa thread jaribu kufikirisha halimashauri yako ya ubongo magamba wamenajis demokrasia.
 
Mtu awaye yote ambaye angegombea kwa tiketi ya CDM asingeshinda. Hata binti yangu wa std 4 amenambia hivyo. Watu wengine sijui wamesoma wapi?
 
Hivi kwa akili yako kuna mbunge wa CCM anaweza kuwapigia kura chadema!?

Chadema na CCM ni kama Sudan na Sudan Kusini na huo ndo upinzani usio wa kinafki!
 
Hii tabia ya watu kuongelea ukaskizini ni tabia ya kijinga sana..........Mbona hata huyo aliyeshinda NCCR-Mageuzi(Ms,Kessy) katoka kaskazini

Tuangalie uwezo wa mtu tuache majungu.Siasa za aina hii ni maji taka period!
 
Kwa namna yeyote ccm wasingekubali chadema washinde hata angekuwa ni mtu mzuri kiasi gani!!! Wala hakuna la kulaumiana!

Tulijua tu hata angesimama Milya kwa CDM asingepata ubunge wa Afr mashariki,ni sawa na ccm pale A TOWN hata wamsimamishe JK hawapati ubunge.MCHEZA KWAO HUTUNZWA.TUNAJIANDAA KUMSINDIKIZA MILYA SIMANJIRO KWENYE M4C.
 
Maneno ya mkosaji...mm najua huwezi simama nilipo..kwanza upo mbali sana na jicho langu lilipo juu ya siasa za chama changu cha cdm.
CDM hawawezi kuwa na Mwanachama Makalio kama wewe, labda uniambie kwamba wewe ni pandikizi ndani ya CDM. Si Komu tu, hata CDM wangemsimamisha Obama, mbele ya CCM asingepenya! Anza kutumia akili za kichwani kufikiri, Pandikizi wee!!!
 
Baada ya kusoma thread ya Lazima ukae kwa kweli nimepata hasira ila nimefarijika baada ya kumsifia huyo anayeaminika ni mrembo kwa sura. Nimetambua huyo ni magamba.

Kwa kuwa muumini wa hilo li chama sitarajii kama angesema tofauti na aliyoandika.

Kwangu naumia kwa kutumia Jf kutoa hoja za kitoto kiasi hicho. Mbowe ni mwenyekiti kwenye taasisi kubwa sana katika nchi hii yaani PEOPLES' POWER angewezaje kuamua pekee yake? Acheni uchochezi.
 
Hii tabia ya watu kuongelea ukaskizini ni tabia ya kijinga sana..........Mbona hata huyo aliyeshinda NCCR-Mageuzi(Ms,Kessy) katoka kaskazini

Tuangalie uwezo wa mtu tuache majungu.Siasa za aina hii ni maji taka period!
Kwanini CDM walipeleka mgombea mmoja tu?
 
Kwa akili zenu
mbovu hata cdm
wangemweka
slaa asingeshinda
kama hamjui ccm muache unafki. Juzi tumewapora arumeru leo watupigie kura! Acheni kuchangia kama hamjui siasa.cdm na ccm ni kama simba na yanga.
 
Hoja ya kishenzi kabisa!

Tambua kwamba ccm ndio wanaotuchagulia wabunge wa upinzani. NCCR na CUF ni partner wa ccm ungetegemea nini?
Akili za matope nenda chooni
 
Jamani hili jambo la kuwa na mgombea mmoja tu nami lilinipa mashaka sana, hata hivyo hupaswi kutoa kauli za matusi wala kejeli kwa kiongozi wetu wa kitaifa mhe mbowe although kama una mambo ya kushauri ni vema hekima na busara zikakuongoza katika hili!
 
kama Hawatampa BAN kiumbe huyu watakuwa wameinajisi jf.

Sasa kwa akili ya kawaida huyu mtoa mada anatofauti gani na TUNTEMEKE?
Ni utoto kuchangia mada ya mtu aliyepigwa bani.
 
Tuntemeke apewe msamaha!
Komu hakuwa na sifa na ameboa aibu leo,
Yaani katudhalilisha chama

acha ushabiki we magamba tangu lini ukawa cdm mchawi wewe,YAANI CDM LEO I_MAKE HEADLINES KWA MILLYA AFU CCM WATOE NAFASI YA UBUNGE WAMEK HEADLINES KESHO! Thubutu..ccm ingekuwa UDP INGEPEWA FASTA UBUNGE HATA ANGEGOMBEA ****.kwanza wy UDP ina rekodi nzuri EALA kuliko chama chochote nchini kwa kuwa hawana madhara.ACHENI UKANDA NA UDINI.IVI MWIGAMBA NA SAANANE SI M2LIE.kwani lazima wote 2we wanasiasa? Wengine mkavue bwawa la mtera
 
leo tumeshindwa vibaya sana jamani vita hii ya kuipindua ccm si lelemama na si ya kujaribujaribu ni kushambulia kwa siraha nzito nzito
 
Back
Top Bottom