Chadema lazima mtunze kumbukumbu za waliosika na kesi ya Mbowe Kama walivyofanya ANC

Palikuwepo na reconcilliatuon baada ya ANC kushika hatamu Mandela akiwa kiongozi wake, sasa nyie mnaotaka kulipa visasi siku mwenyekiti wa CCM akiruhusu uwepo wa Katiba Mpya, hiyo ndoto itachukua muda sana kutimia.

Sasa sijui ni bora kuendelea kuota, au kutafuta njia nyingine itakayorahisisha upatikanaji wa Katiba Mpya huku kila mmoja akiwa na hamu ya uwepo wake, badala ya wengine walioshika makali sasa kuogopa kuumizwa siku itakapopatikana.
 
Yaani uumizwe, uteswe, uminywe pumbu ufilisiwe, ufungwe, uchukuliwe mke wako afu husilipe kisasi never,,, retaliation lazima iyo ni lazima
 
Chama Cha ANC kili-document wale wote waliohusika kwenye kesi ya mchongo ya Mandela, kuanzia mashaidi, mawakili Hadi majaji

Wazo la kutunza kumbukumbu za waliohusika kusuka kesi hii lazima lizingatiwe na chama.

Mashahidi waliohusika kwenye kesi ya Mbowe, kina Kingai, Mahita, Kaaya, mama muuza Mbege, mze wa ballistic, lazima tutunze kumbukumbu hizo, kwenye vitabu, wanakoishi na ushaidi walioutoa.

Majaji wote kina Tingatinga, Felesi na yule mwingine wawe documented

Mawakili wote wa serikali waliohusika na hii kesi lazima tuwatunze kwenye kumbukumbu zetu kwa majina na wanakoishi.

Askari wote waliohusika na hii kesi kina Jumanne, Swira, Urio na Kingai lazima tuwa documents.

Hii itasaidia vizazi na vizazi kujua waliotenda hawa watu kwa Mbowe na wenzake.

Chadema tengeneza documents au report inayousu watu waliotumika kupindisha haki za watanzania wenzetu.

This is a classic example of terroristic behavior!
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom