Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 741
Wandugu, hivi JK kikwete alikuwa anatoa ujumbe gani jana wakati wa hotuba yake? alisema hivi: Hao kina chadema (waliotoka), watatoka na watarudi, mimi ndiye rais wao, wakitaka kitu chochote kifanyike ni mimi wataniomba niwafanyie"
kwa kifupi alikuwa anamaanisha kuwa, chadema kwenye majimbo yao, wasipopiga goti kwake hatawasaidia, kwasababu lazima wakapige goti kwake ili wafanikiwe kwenye majimbo yao, that means kama hawafanyi hivyo, HATATUMA MAENDELEO KWENYE MAJIMBO YOTE YA CHADEMA. Hii ina maana gani? kwani yeye amewekwa pale ili awe mfalme? kwamba bila kikwete hakuna maendeleo yoyote yatakayofanyika kwenye majimbo yetu?, na, hivi aliongea akiwa anajua au alipitiwa....kwamba wakitaka chochote kifanikiwe ktk majimbo yao lazima waje kwake....kwahiyo kikwete ndo mwamuzi wa mambo yote hapa tz, hakuna mfumo au organ yoyote itakayofanya hivyo....ametoa msg gani hapa kwa majimbo ya chadema?
hivi rais anayo madaraka makubwa kiasi hiki?