Uchaguzi 2020 CHADEMA Kyela tunasubiri kwa hamu kumdhamini Lissu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,178
217,131
Kyela ndio mwanzo wa nchi yetu kutokea Malawi na ndio mwisho wa Nchi hii ukitokea Dar es Salaam , unapotokea Malawi bendera ya kwanza ya chama cha siasa unayoiona unapovuka boda tu ni bendera ya Chadema , hii ndio bendera ya mwisho ya chama unayoweza kuiona pale boda kabla hujavuka kwenda Malawi .

Kwa wasifu huu mzito natoa wito kwa viongozi wa CHADEMA kanda ya Nyasa akiwemo Mchungaji Msigwa kuhakikisha kwamba ratiba ya "Mfufuka" Lissu inajumuisha jimbo la Kyela , kuna wadhamini wasio na idadi wanamsubiri .

Mungu ibariki Chadema
 
giphy.gif
 
Safi Sana..... Mimi nilishamdhamini Shinyanga hapa
 
Mkimdhamini mmpigie na kuara, maana udhamini hautamfanya kuwa rais.
 
Lissu ulimiminiwa risasi mwilini 16 na zilizokukosa takribani 16 zingine.

Hii ni maajabu kabisa mtu kupona, viongozi wa dini badala ya kusema huu ni unabii wao wanakusanyika kusifu na kuabudu...

Anyway, maneno ya Yesu Mwenyewe alivyoulizwa na mwanafunzi wake kwamba Je anaweza kwenda kumzika babake then arudi...Yesu akamjibu...Waache wafu wawazike wao ..wewe nenda katangaze ufalme wa Mungu...

Lissu, I stand for you...!! Hakuna wa kukuzuia nchi hii ni yako.

Kwa nini wewe upone na risasi 16 mwilini kwako.?..mpango wa Mungu upo juu yako..!!

Ni maono na wewe umebeba unabii...mbaya zaidi baadhi ya wazee wa dini wanakudhihaki ...hawajui kwamba unabii upo ndani yako!!

Sauti ya Mungu hakuna wa kuipinga!!

Naona mkono wa bwana ukisismama juu yako kwa ajili ya taifa la Tanzania.
 
Lissu alpina risasi mwilini 16 na zilizomkosa takribani 16 zingine.

Hii ni maajabu kabisa, viongozi wa dini badalanya kusema huu ni unabii wao wanakusanyika kusifu na kuabudu...

Anyway, maneno ya Yesu Mwenyewe alivyoulinzwa na mwanafunzi wake kwamba Je anaweza kwe.da kumzika babake then arudi...Yesu akamjibu...Waache wafu wawazike wao wao..wewe India katangaze flame wa Mungu...

Lissu, I stand for you...!! Hakuna wa kukuzuia nchi hii ji yako.

Kama kesi wanaongea risasi majanga mguu wanakufa, kwa nini wewe upone na risasi 16 mwilini kwako.?

Ni maono na wewe ubebebabunabii...mbaya zaidi baadhi ya wazee wa dini wanakudhihaki ...hawajui kwamba umesema unabii...

Sauti ya Mungu hakuna wa kuipinga!!

Naona mkono wa bwana ukisismama juu yako kwa ajili ya taifa la Tanzania.
Amina
 
Back
Top Bottom