CHADEMA Kyela kumekucha, kunyakua kata ya Mwanganyanga

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,599
217,991
Wakuu , Wahenga walishasema KIZURI KULA NA NDUGUYO , Hakika Chadema Kyela kumekucha !

Muda huu uzinduzi wa kumnadi Mgombea udiwani Kata ya Mwanganyanga Kamanda Alfred Kaniki ndio umepamba moto , umati ni mkubwa mno kuliko matarajio na kuna kila dalili uwanja kuzidiwa , labda nitoe siri tu kwamba Mh Kaniki ndiye diwani mtarajiwa wa kata hii .

Shukrani kuu iende kwa Chadema kanda ya Nyasa kwa kuwezesha uzinduzi wa kishindo na kumtuma Katibu wa Kanda Mh Masonga kuhudhuria .

Mungu ibariki Chadema .
 
Tuma picha pls
 
Hongereni sana wana wa kyela kwa kuonyesha mwamko ila dukuduku langu kwenye kutangaza hayo matokeo idadi ya vifaru inawezekana ikawa kubwa sana
 
Back
Top Bottom