CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

sihitaji Kukumbushwa Na Wewe, Mkumbushe Mbowe Na Kamati Kuu Ya Chadema Iliyojaa Wahafidhina Wasio Na Vision.

Unasema Kuwa Wangwe Alikuwasumbua Nccr Kwanini Mlimchukua? Wako Wengi Waliokuwa Nccr Mmoja Wapo Kitila Mkumbo Nae Anawasumbua?

Naona Huna Hoja Na Sasa Unakimbilia Sheria Ya Jf,tunachojadili Ni Wangwe Chacha Na Mbowe,dawa Ya Jipu Ni Kulikamua Sio Kuliacha Hadi Mkono Au Mguu Uoze.

Kitila Mkumbo Hajawahi Kuwa Nccr Ila Alikuwa Mwanachama Wa Ccm Wakati Ikiwa Na Muelekeo ,alipoona Haina Muelekeo Akajiunga Na Chama Chenye Muelekeo Wa Kutetea Wanyonge Na Kulinda Rasilimali Za Taifa Hili Kwa Manufaa Ya Wote.
 
Sihitaji kukumbushwa na wewe, Mkumbushe Mbowe na kamati kuu ya Chadema iliyojaa wahafidhina wasio na vision.

Unasema kuwa Wangwe alikuwasumbua NccR kwanini mlimchukua? wako wengi waliokuwa NCCR mmoja wapo Kitila Mkumbo nae anawasumbua?

Naona huna hoja na sasa unakimbilia sheria ya JF,tunachojadili ni Wangwe Chacha na Mbowe,dawa ya jipu ni kulikamua sio kuliacha hadi mkono au mguu uoze.

Kama hujagundua hiki unachosema ndicho kinaendelea hapa. Hayo mengine ya kufungiwa ilikuwa ni kwa nia njema. Endeleza mapambano mwenzangu na wakati huo ukijua sheria za jamvi. Si vyema ukifungiwa na namba ya watetezi wa ccm tukapungua hapa.

Kidumu chama cha mapinduzi
 
Ahaaa,

Kumbe sasa hauikani tena ccm. Good job.

Nilikuona umeanza kukana kuwa wewe si mwana ccm ndio nikakukumbusha kuwa usione aibu. Mengine yote tuko pamoja. Kazi nzuri sana, wapinzani sasa wanaumbuliwa.

Kidumu chama cha mapinduzi na usalama wa taifa kwa kazi nzuri.
Wapi niliikana CCM na wapi nilisema mimi MwanaCCM? kama huna cha kuandika kaa kimya kama Mpaka kieleweke ambaye nimemuuliza swali la aliowachagua Ngaiza na Baregu kama sio Mbowe anipe jibu, kakimbia hadi sasa.
ndugu kwa hili la Wangwe naomba usiseme kitu kadri unavyotetea ndio unaharibu na kukipaka mavi chama chako, Kwa maandishi haya na michango ya wapembuzi yakinifu kama Mtanzania inamsaidia sana Wangwe kujenga hoja.

Kama ana mwanasheria mzuri anaweza kuyavunja maamuzi ya yeye kufukuzwa kwa kutumia sheria ya Utawala,kwani wajumbe walioshiriki kutoa maamuzi ya kumfukuza yeye,waliwekwa na Mbowe ambaye ni hasimu wake kwa muda mrefu,wajumbe hao ni Ngaiza,Baregu,Mtei(baba mkwe wake Mbowe),Ndesamburo ni family friend wa Mbowe na Mtei,Bob Makani walikuwa wote BOT na Mbowe na alikuwa msaidizi wa karibu wa baba mkwe wake Mbowe(Mtei).

Kundi kama hilo lazima maamuzi yao yatakuwa na upendeleo wa upande mmoja ni ngumu kuwa wakweli au kutoa haki.Mbowe alikuwa na maGOD Fathers ambao wamecheza vizuri karata zao.
 
Kazi nzuri,

Sasa tuko pamoja.
 
Kitila Mkumbo Hajawahi Kuwa Nccr Ila Alikuwa Mwanachama Wa Ccm Wakati Ikiwa Na Muelekeo ,alipoona Haina Muelekeo Akajiunga Na Chama Chenye Muelekeo Wa Kutetea Wanyonge Na Kulinda Rasilimali Za Taifa Hili Kwa Manufaa Ya Wote.

Mpaka Kielewe.

Umeamua kusema uongo kama ulivyosema kuwa Mbowe sio aliowachagua kina Ngaiza kwenye nafasi walizopo.

Kitila Mkumbo aliomba uenyikiti wa vijana mkoa wa Dar-es-salaam akakosa kuchaguliwa ndio akaenda NCCR,TLP na sasa Chadema. Kilichomtoa CCM ni kukosa madaraka sio sera kama alivyoondoka Kabouru kwako baada ya kuukosa ubunge au Tambwe Hizza baada ya kuvuliwa madaraka ya ukurugenzi CUF.

kuna Frank Magoba wa Cuf alipokosa ubunge Kigamboni kwa tiketi ya Cuf akaenda ccm, mwenye yupo hapa kama nasema uongo atasema. Jitahidini mumpe uongozi kwenye uchaguzi ujao kwani akikosa uongozi anaondoka labda this Time atakwenda CUF au Tadea.

watu wanaohamahama kwenye vyama wana jina lao kisiasa lakini kwa kuwa jina lenyewe ni zito siwezi kulitamka kama lilivyo nitafupisha wanaitwa ...... wa kisiasa.
 
Mwenzangu unajua mengi, haya umeyapata lini?
 
Nafuatilia siasa na wanasiasa, mfano wakati Sumaye kautaka urais kwa udi na uvumba alipoukosa angejiunga na NCCR halafu aseme' sera za CCM mbovu ndio maana nimeondoka',kwa weredi wangejua nini kilichompeleka huko NCCR,kuna hadithi kama sizitaki mbivu hizi na kuna siasa za frustration.

Seif Shariff Hamad ndoto yake urais wa Zanzibar alipoona hakuna dalili kupitia tiketi ya CCM akaenda kufungua njia nyingine itakayotimiza ndoto yake, vizuri uwe unafanya utafiti wa kina kabla ya kufuata kitu kibubusa na nimesema sana huko nyuma mijadala hii inasaidia kuvijua vyama na wanasiasa sio kuvipinga kama wengi wanavyoamini kuwa hatuna nia navyo njema.

Asante nawaachia wengine labda kuwe na jambo mtu anataka niweke masahihisho au ufafanunuzi.

Kwaheri MK ukumbi wako.
 
Last edited:
Mpaka Kielewe.

Kitila Mkumbo aliomba uenyikiti wa vijana mkoa wa Dar-es-salaam akakosa kuchaguliwa ndio akaenda NCCR,TLP na sasa Chadema. Kilichomtoa CCM ni kukosa madaraka sio sera kama alivyoondoka Kabouru kwako baada ya kuukosa ubunge au Tambwe Hizza baada ya kuvuliwa madaraka ya ukurugenzi CUF.

Wewe kijana acha uzushi usije ukatandikwa viboko vile! Mimi sijawahi kuwa mwanachama wa NCCR wala TLP. Uanasiasa wa vyama nilianzia CCM na sasa nipo chama kinachowanyima usingizi mafisadi wa CCM na serikali yake CHADEMA. Haya zusha lingine ujibiwe.
 
Kwani na CUF nayo si ilishakufwaa???? Simsikii Seif wala Lipumba!!!!!

Haya ya CHADEMA yan-sikitisha sanaa!!!

Kweli Heri ya Mussa kuliko firauni!!!!

Karibia tutasema CCM oyeee!!!!
 
Bw. Wangwe alisema kufukuzwa kwenye wadhifa huo ni mpango mahususi uliopangwa na agenda kubwa iliyo nyuma yake ni uchaguzi mkuu ndani ya chama hicho unaofanyika mwaka huu.

" Mwenyekiti alitamka wazi (wakati wa kikao cha Kamati Kuu) kuwa siwezi wala sitaki kufanya kazi na makamu mimi, najiuzulu au yeye ajiuzulu" alisema Bw. wangwe na kueleza kuwa msimamo huo uliwashinikiza wajumbe wa Kamati Kuu kumng'oa madarakani.

Bw. Wangwe alisema anaumia kutokana na msimamo wake wa kutekeleza matakwa ya wanachama walio wengi kwa kufuatilia kero zao za msingi ndani ya chama ndio maana anaonekana kikwazo kwa viongozi wenzake na kuandaa mikakati ya kumng'oa.

source :http://www.majira.co.tz/kurasa.php?soma=tanzania&habariNamba=7095

hichi ndio chama makini kinavyojiita

wananyonga mchana tena kwa meno duh

someni demokrasia ndani ya ccm. kumbe bwana mkuu ndio mwenye chama na yeye ndio mwenye sauti nani afanye nae kazi na nani awe nje.

chadema povu la soda huja juu mara hilo hunywea sasa ile ahadi tuliokwambieni kuwa 2010 majimbo yote tunarejesha mkatafute la kufaanya.

kazi kuu tunaelekeza pemba huku mshajimaliza wenyewe.

anaekufa kwa sukari usimpe sumu mwache afe huku akijiramba

Kama madai haya ni kweli, inabidi CHADEMA ijichunge sana kwa vile sasa hivi ndiyo imekuwa inaaminiwa sana na wananchi kufuatia mapambano ya dr Slaa na Mhe Zitto dhidi ya ufisadi. Jambo dogo kama hili la mgogoro wa kiungozi ndani ya chama linaweza kuondoa kabisa ile trust ambayo wameshajijengea kutoka kwa wanachi; baadaye wataonekana kama nao ni wababaishaji wenye uroho wa madaraka tu.
 
Hukugombea Uenyekiti wa mkoa wa Dsm? na ukaukosa?

swali la nyongeza at any time hukuwa mfuasi wa Mrema alipokuwa NCCR na ukahama nae kwenda TLP?

Nina ushahidi mkubwa sana wa jambo hili na unajua unasema uongo,kwani kuna kosa gani wewe kuwa NCCR? KITILA wewe ni public figure maisha yako huwezi kuyaficha hasa hapa JF kila siku watu wanaumbuka.
 
leta uthibitisho mwenzangu, nakuaminia na ninasubiria uthibitisho wako kwenye hili.
 
Simuoni KItila Hapa......! Yu Wapi....!
Wewe Kabila La Wenzake Bulicheka Mbona Umemkimbiza Mwenzako....?
 
leta uthibitisho mwenzangu, nakuaminia na ninasubiria uthibitisho wako kwenye hili.

Nimemuuliza Kitila mwache ajibu yeye na tuzihifadhi rekodi zake, Nitumie email yako kwenye PM yangu nikupe ushahidi zaidi, hapa naweza kuwaumbua watu ikaonekane tumekuja kukivuruga chama na tukatoa nje ya mada ya Chacha na Mbowe.
Kitila hawezi kubisha kwani anaongozwa na jazba kwenye mjadala huu lakini moyo wake unamsuta. inawezekana ana jutia uamuzi wake wa kupita kila chama lakini sio yeye wa kwanza yupo Zubeir Mtemvu ambaye ni Mbunge wa Temeke nae alikuwa kama Kitila Mkumbo kamaliza vyama vyote kusaka madaraka.
 
weka tu mambo hapa, JF hakuna kificho mwenzangu
 
mgagagigikoko...una maana aliwahi kuwa na kadi ya NCCR na TLP au alionekana kwenye mikutano yao na kuonekana katika kampani ya Mrema? Maana kama kuonekana kwenye kundi la simba kunamfanya paka ajione simba, basi wengi tuna hatia ya mambo mengi sana.
 
Kama madai haya ni kweli, inabidi CHADEMA ijichunge sana kwa vile sasa hivi ndiyo imekuwa inaaminiwa sana na wananchi kufuatia mapambano ya dr Slaa na Mhe Zitto dhidi ya ufisadi. Jambo dogo kama hili la mgogoro wa kiungozi ndani ya chama linaweza kuondoa kabisa ile trust ambayo wameshajijengea kutoka kwa wanachi; baadaye wataonekana kama nao ni wababaishaji wenye uroho wa madaraka tu.

Ndio haya nayapigania hapa.uwajibikaji na uwazi kwa vyama vyetu,haiwezekani mtu aliyechaguliwa na wanachama kwenye mkutano leo aitwe Mzigo mzito na Kitila Mkumbo.
 
mgagagigikoko...una maana aliwahi kuwa na kadi ya NCCR na TLP au alionekana kwenye mikutano yao na kuonekana katika kampani ya Mrema? Maana kama kuonekana kwenye kundi la simba kunamfanya paka ajione simba, basi wengi tuna hatia ya mambo mengi sana.

Alikuwa mwanachama mwanadamizi NCCR hadi mwaka 2000 akahamia TLP.nasema kwa hili ataumbuka sana bora anyamaze.Mheshimiwa Mwanakijiji vyama vina rekodi za wanachama wao.inapotokea Mtu anaficha sehemu ya CV yake lazima tumuogope kwani si mkweli.
kwa hili Mwanakijiji ukicheki na Lyatonga Mrema atakupa,najua kutofautisha kuwa kocha wa timu ya Taifa ni mbrazil hamfanyi awe mtanzania ,Kuku kuzaliwa kwenye ziziz la ng'ombe hamfanyi kuwa ng'ombe. Mbowe alihudhuria sherehe za rais JK kuapishwa sio CCM.
Kitila Tumekuwa nae Daruso alikuwa rais wetu tunamjua vizuri sana.
 
Back
Top Bottom