CHADEMA kweli Mkombozi Tanzania- Akina mama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA kweli Mkombozi Tanzania- Akina mama

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MTWA, Oct 29, 2010.

 1. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Katika hali inayoonesha watanzania kuchoshwa na ubabaishaji wa Chama Tawala CCM, Watu mbalimbali mitaa ya Tanga wameendelea kukumbuka machungu waliyofanyiwa na CCM hasa kipindi cha miaka hii mitano ya JK.
  Nimwakuta akina mama wakimzodoa mwenzao kuwa "hana lolote, anakuwa kama hajawahi kwenda sokoni, deci nayo yeye alikula nini" ni baada ya huyo mama kuvaa scafu ya ccm. alilazimika kushuka kabla ya kufika.
  waliendelea kusimulia machungu mengi sana. Nimefurahi kuona kuwa wanaelewa nchi inakwenda wapi.
  Kimsingi Chadema imeonesha kuwa itawaletea tumaini jipwa.

  SLAA WAHI IKULU LETA MAENDELEO:israel:
   
 2. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ushindi kwa Dr. Slaa Jumapili hii ni wa Sunami. Huko kijijini kwetu kama nilivyosema jana wana mwamko ambao sikutegemea. Kaka yangu aliyeko huko aliniambia kuwa hata huko interior kabisa jina la Dr. Slaa linang'aa. Wameichoka CCM si kawaida.
   
Loading...