CHADEMA kwanini msiende Mahakamani kupinga zuio hili linalopingana na Katiba ya nchi?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
Kwa mujibu wa gazeti moja la leo,aliekuwa mgombea uraisi kwa ticket ya CHADEMA, bwana Edward Lowassa,jana alizuia na Polisi wa mkoa wa Tanga kufanya mkutano wa hadhara kuwashukuru wananchi waliompigia kura kwenye Uchaguzi Mkuu uliopita kwa kile kilichoelezwa ni serikali kupiga marufuko mikutano ya siasa.

Habari hii kwangu bado ni vigumu kuiamini ila kama kweli tumefikia hatua hii huku tukisema nchi yetu ni nchi ya kidemokrasia, basi sisi tutaku watu wa ajabu sana!

Sasa wadau,kweli amri hii ni sahihi na halali?

Kwanini CHADEMA msiende Mahakamani kutafuta haki?

Hii haikubaliki hata kidogo!
 
Kuna Siku Niliwahi Kuuliza Humu Kuwa Hivi Lowassa Hana MSHAURI au WASHAURI? Ipo Wapi Ile Ahadi Yake Aliyoitoa BBC Mbele Ya Mtangazaji Zuhura Yunus Kuwa Akishindwa Tu Urais Atarudi MONDULI Kuchunga Ng'ombe Zake? Tunajua Kuwa Hii Ni Mbinu Mpya Tu Ya Lowassa Ya Kutaka KUPIMA Utendaji Wa Rais Dr. MAGUFULI Na Pia KUMPIMA Na Yeye Ili Aone Atafanywa Nini Bahati Nzuri Juzi ALIBIPU Jana Watu ( WANAMUME ) Wametoa MAAMUZI Na Kaufyata!

UPUUZI Mwingine Anaojaribu Kuufanya Huyu Mgombea Wenu Ni Kuhakikisha Kuwa At Least Kila Wiki Asikosekane Ktk Media Kwa Jambo au Taarifa Yoyote Ili Tu ASIPOTEE MASIKIONI Mwa MAPOPOMA Wenzie Na Bahati Mbaya Amesahau Kwamba Kila Anachojaribu Kufanya Kipo Monitored Na Wenye KAZI Yao Huku Humo Humo Alipo Watu Wakiwa Seconded Na Penetrated Hivyo Kuweza Kurahisisha Kazi Ya Kujua NYENDO Zake Zote.

Kama Wale Vijana Wake Kutoka Malaysia, Israel, Nigeria, Kenya Na China Aliowaleta Kumrahisishia USHINDI Kwa Mbinu CHAFU Za KIMTANDAO Waliweza Kukamatwa Kama KUKU Tena Kwa Mbinu Za KISASA Kabisa Na ZILIZOTUKUKA Ndiyo Itakuwa NGUMU Kuzidi KUMDHIBITI?

CHADEMA Nawakubali Watu Wawili Tu MBOWE Na Mtani Wangu TUNDU LISSU Na Laiti CHADEMA Ingekuwa Na Akina Mbowe Na Lissu Wengi Hata Mimi Ningeshawishika Kuhamia UPINZANI Ila Tatizo Ni Kwamba Huku Kwetu CCM Tuna Akina Mbowe Na Lissu Kama Milioni 15 Hivi Kunakopelekea Chama Changu Kipenzi Cha CCM Siku Zote Kuwa Juu Tu Huku Kikiwa Bado Na Uwezo Wa KUWATAWALA Watanzania Miaka 5000 Ijayo.
 
ushindi wa magumashi ndio tatizo
kwa mtindo huu na laana za wa africa kung'ang'ania madaraka
sioni demokrasia africa
 
Kweli Chadema wanahitaji ufafanuzi wa kisheria kuhusu marufuku za kukurupuka.
 
Wewe Gentamycin ni huna tofauti na wale akina Borafya wa Kisonge kule Zanzibar. **** siku hao unaowaita wanaume watakuja mlangoni kwako wakushughulikie na ufisadi wako wa kikada. Nyinyi watu wenye umimi na usisi ndio mtaoangamia hata mbele ya Mungu siku ya mapambazuko makuu siku hata viungo vyako vitakukana na maouvu yako
 
Baada ya uchaguzi kumalizika Lowasa ni nani ndani ya CHADEMA hadi awe anaendesha harakati za siasa na kuhutubia?
Biashara ya mgombea uraisi iliishia octoba 25 baada ya hapo yeye ni mwanachama wa kawaida tu.Hawezi itisha mkutano wowote kama mwanachama wa Kawaida.Polisi wasiruhusu mwanachama wa Kawaida awe wa CCM au chama chochote kuitisha mkutano wa kisiasa.Lowasa is nobody in CHADEMA.Hawezi ita watu kuhutubia LOLOTE
 
JF ni moja ya sehemu nzuri sana kuitumia kupima IQ za watanzania.
 
Kuna Siku Niliwahi Kuuliza Humu Kuwa Hivi Lowassa Hana MSHAURI au WASHAURI? Ipo Wapi Ile Ahadi Yake Aliyoitoa BBC Mbele Ya Mtangazaji Zuhura Yunus Kuwa Akishindwa Tu Urais Atarudi MONDULI Kuchunga Ng'ombe Zake? Tunajua Kuwa Hii Ni Mbinu Mpya Tu Ya Lowassa Ya Kutaka KUPIMA Utendaji Wa Rais Dr. MAGUFULI Na Pia KUMPIMA Na Yeye Ili Aone Atafanywa Nini Bahati Nzuri Juzi ALIBIPU Jana Watu ( WANAMUME ) Wametoa MAAMUZI Na Kaufyata!

UPUUZI Mwingine Anaojaribu Kuufanya Huyu Mgombea Wenu Ni Kuhakikisha Kuwa At Least Kila Wiki Asikosekane Ktk Media Kwa Jambo au Taarifa Yoyote Ili Tu ASIPOTEE MASIKIONI Mwa MAPOPOMA Wenzie Na Bahati Mbaya Amesahau Kwamba Kila Anachojaribu Kufanya Kipo Monitored Na Wenye KAZI Yao Huku Humo Humo Alipo Watu Wakiwa Seconded Na Penetrated Hivyo Kuweza Kurahisisha Kazi Ya Kujua NYENDO Zake Zote.

Kama Wale Vijana Wake Kutoka Malaysia, Israel, Nigeria, Kenya Na China Aliowaleta Kumrahisishia USHINDI Kwa Mbinu CHAFU Za KIMTANDAO Waliweza Kukamatwa Kama KUKU Tena Kwa Mbinu Za KISASA Kabisa Na ZILIZOTUKUKA Ndiyo Itakuwa NGUMU Kuzidi KUMDHIBITI?

CHADEMA Nawakubali Watu Wawili Tu MBOWE Na Mtani Wangu TUNDU LISSU Na Laiti CHADEMA Ingekuwa Na Akina Mbowe Na Lissu Wengi Hata Mimi Ningeshawishika Kuhamia UPINZANI Ila Tatizo Ni Kwamba Huku Kwetu CCM Tuna Akina Mbowe Na Lissu Kama Milioni 15 Hivi Kunakopelekea Chama Changu Kipenzi Cha CCM Siku Zote Kuwa Juu Tu Huku Kikiwa Bado Na Uwezo Wa KUWATAWALA Watanzania Miaka 5000 Ijayo.

Hivi jumla ni Halmashauri ngapi vile zinatawaliwa na CHADEMA / UKAWA uchaguzi huu uliopita wa Awamu ya Tano!!!!!!!!!!!

na ni ngapi zilikuwa zinatawaliwa na CHADEMA katika uchaguzi wa mwaka 2010!!!

NA wabunge wangapoi walikuwa CHADEMA uchaguzi wa 2010!!!!!

na pia wabunge wangapi wapo CHADEMA / UKAWA uchguzi wa 2015!!!!

Tukipata majibu ya maswali hapo juu, Kisha tulinganishe kama CCM inapanda au inashuka.
 
Ukawashukuru wananchi kivipi? Watu tupo makazini mambo ya kumsikiliza jambazi na. Fisadi huo mda hatuna na ndo maan chini ya magufuli mikutano hamna yeye anataka kazi tuu....na huyo mbwa hata ikiwezekana apigwe boom la matako aache kujinyeanyea
 
ila kweli Lowasa ni nani sasa hivi ktk chama ikiwa keshakosa urais??
 
Tofauti nA kampeni wakati wa chaguzi, mikutano yoyote ya kisiasa hufanyika kwenye vikao vya vyama. Baada ya uchaguzi ni nafasi ya waliochaguliwa na watawala kusimamia maendeleo. Mikutano huwa ya kuhamasisha wananchi au kufanya marejesho kuhusu shughuli za maendeleo. Lowasa kweli amekosea kwa mpango wake huo. Ni aina fulani ya uchokozi.

TAFAKARI CHUKUA HATUA.
 
Kuna Siku Niliwahi Kuuliza Humu Kuwa Hivi Lowassa Hana MSHAURI au WASHAURI? Ipo Wapi Ile Ahadi Yake Aliyoitoa BBC Mbele Ya Mtangazaji Zuhura Yunus Kuwa Akishindwa Tu Urais Atarudi MONDULI Kuchunga Ng'ombe Zake? Tunajua Kuwa Hii Ni Mbinu Mpya Tu Ya Lowassa Ya Kutaka KUPIMA Utendaji Wa Rais Dr. MAGUFULI Na Pia KUMPIMA Na Yeye Ili Aone Atafanywa Nini Bahati Nzuri Juzi ALIBIPU Jana Watu ( WANAMUME ) Wametoa MAAMUZI Na Kaufyata!

UPUUZI Mwingine Anaojaribu Kuufanya Huyu Mgombea Wenu Ni Kuhakikisha Kuwa At Least Kila Wiki Asikosekane Ktk Media Kwa Jambo au Taarifa Yoyote Ili Tu ASIPOTEE MASIKIONI Mwa MAPOPOMA Wenzie Na Bahati Mbaya Amesahau Kwamba Kila Anachojaribu Kufanya Kipo Monitored Na Wenye KAZI Yao Huku Humo Humo Alipo Watu Wakiwa Seconded Na Penetrated Hivyo Kuweza Kurahisisha Kazi Ya Kujua NYENDO Zake Zote.

Kama Wale Vijana Wake Kutoka Malaysia, Israel, Nigeria, Kenya Na China Aliowaleta Kumrahisishia USHINDI Kwa Mbinu CHAFU Za KIMTANDAO Waliweza Kukamatwa Kama KUKU Tena Kwa Mbinu Za KISASA Kabisa Na ZILIZOTUKUKA Ndiyo Itakuwa NGUMU Kuzidi KUMDHIBITI?

CHADEMA Nawakubali Watu Wawili Tu MBOWE Na Mtani Wangu TUNDU LISSU Na Laiti CHADEMA Ingekuwa Na Akina Mbowe Na Lissu Wengi Hata Mimi Ningeshawishika Kuhamia UPINZANI Ila Tatizo Ni Kwamba Huku Kwetu CCM Tuna Akina Mbowe Na Lissu Kama Milioni 15 Hivi Kunakopelekea Chama Changu Kipenzi Cha CCM Siku Zote Kuwa Juu Tu Huku Kikiwa Bado Na Uwezo Wa KUWATAWALA Watanzania Miaka 5000 Ijayo.
Eti waisrael unawataja ili kuongezea nguvu kuwa tumewathibiti waisrael.kwa jinsi ninavyowajua waisrael unajifurahisha tu kuwataja
 
Back
Top Bottom