CHADEMA, kwanini mnacheza ngoma ya CCM Igunga? Achaneni na DC!

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
Chadema inawezekana mmewingia mtego wa CCM walioundaa kwa kumtumia DC wao kwa kuacha kitchen tables issue za maji, umeme,sukari
kupanda kwa gharama za maisha, elimu na ajira
na kuanza kujadili issue za DC ambazo hazimsaidii mwana igunga kwa lolote lile. CCM inapata wakati mgumu sana kuzungumzia issue hizo hapo juu hasa kumwambia mtanzania maskini pale kijijini Igunga ambaye hajui atakula nini leo yeye na familia kuwa CCM imemletea maendeleo wakati hana uhakika wa kula leo hii. CCM wanataka muache issues hizo mkimbilie issue za DC ambazo hamzimsaidii mwana igunga kupata elimu bora, kupata umeme wala chakula cha kula na watoto wake.

Nini cha kufanya kuanzia sasa.

achaneni na swala la DC liacheni chini ya timu ya wanasheria wenu na muongeze nguvu kwenye kampeni ktk issues nilizozitaja hapo juu ambapo CCM haina majawabu yake swala la DC mtakuwa na muda mwingi tu wakulijadili mara baada ya kampeni kwisha otherwise mtakuwa mnacheza mdundiko wa CCM.

Ilikuwa ni muhimu sana kwa chadema kuishughulikia kwa nguvu zote issue ya dc katika hatua za mwanzo.

Bila shaka sasa Tundu lisu ataendelea kushughulika na polisi huku timu ya kampeni ikiimarishwa na makamanda wengine,chadema iko vizuri silaha za maangamizi zipo za kutosha.

Sawa kabisa mkuu. Na ikiwezekana wawe na timu kadhaa za kampeni ili kuhakikisha wanawafikia watu wengi zaidi ili wajue kwamba ugumu wa maisha na matatizo yote waliyo nayo ni kwa sababu ya CCM.

umeongea ukweli na nadhani watakua wameshakuwa na mawazo kama yako na watayafanyia kazi as soon as possible

Peoples Power....CHADEMAAAAA VEMAAAA Sasa watanzania wenyamgu hali ilivyo sasa hawa cCm wana hard tyme sana na bila wao kufanya visa mara Dc kabakwa,mara Mukama katongozwa,mara Nape kakonyezwa ili mradi tuu wawe na chakuongea.Hii yote inaonyesha walivyoishiwa na mambo ya msingi yakuwaeleza Watanzania.Hawa cCm wamebakiwa na kutoa kafara tuu.

Kwanini waiache wakati wao wanasisitiza kuwa walifanya jambo la msingi?.Tuache unafiki kwa hili CHADEMA wameshikwa pabaya na CCM.Na hadi sasa CDM has proved failure in Igunga.Kwanza kuonekana Rostam igunga akikiunga mkono CCM ndo ulikuwa mwisho wa kampeni.Kinachofanyika sasa ni cdm kujionesha mbele ya watz kuwa chama cha wabakaji na wasioheshimu haki za wanawake kwa kuwavua nguo na kuwaburuta kama mbuzi.

ww naona fara utakuja kuuza utu wako kwa makande.

Suala la DC haliwezi kuwa kizuizi cha kupiga kampeni, wacha CCM washikwe kotekote, wakitaka kuhujumu wanashikwa na kwenye nguvu ya hoja wanashikwa.

Mkuu swala lako nila msingi sana,ni vema wafanye hvyo ili kutokujikita katika swala zima la Dc na hizi zilikua mbinu za Magamba kumleta huyo Dc wakati wakijua Cdm walikua na Kampeni eneo hilo

mtoa mada kazungumza vizuri sana nilitegemea viongozi walio katika kampeni wa cdm wangeliona hilo mapema hasa ukizingatia kuwa uelewa wa watu wengi vijijini ni mdogo sana watajua cdm kweli ni chama cha vurugu

Kwanini waiache wakati wao wanasisitiza kuwa walifanya jambo la msingi?.Tuache unafiki kwa hili CHADEMA wameshikwa pabaya na CCM.Na hadi sasa CDM has proved failure in Igunga.Kwanza kuonekana Rostam igunga akikiunga mkono CCM ndo ulikuwa mwisho wa kampeni.Kinachofanyika sasa ni cdm kujionesha mbele ya watz kuwa chama cha wabakaji na wasioheshimu haki za wanawake kwa kuwavua nguo na kuwaburuta kama mbuzi.

Wewe ni mtu ulie oza kabisa, kama mwanamke ni mwizi eti asile kibano kisa mwanamke.wewe mpuuzi sana hata president akileta za kuleta adhabu inatembea tu

Kwanini waiache wakati wao wanasisitiza kuwa walifanya jambo la msingi?.Tuache unafiki kwa hili CHADEMA wameshikwa pabaya na CCM.Na hadi sasa CDM has proved failure in Igunga.Kwanza kuonekana Rostam igunga akikiunga mkono CCM ndo ulikuwa mwisho wa kampeni.Kinachofanyika sasa ni cdm kujionesha mbele ya watz kuwa chama cha wabakaji na wasioheshimu haki za wanawake kwa kuwavua nguo na kuwaburuta kama mbuzi.

Wewe una hakika unacho kinena?  Or you are a pumpus one of Nepi's family?

Ilikuwa ni muhimu sana kwa chadema kuishughulikia kwa nguvu zote issue ya dc katika hatua za mwanzo.

Bila shaka sasa Tundu lisu ataendelea kushughulika na polisi huku timu ya kampeni ikiimarishwa na makamanda wengine,chadema iko vizuri silaha za maangamizi zipo za kutosha.

Yes nakubaliana nawe Mura Maranya.

Kuwa issue ya DC Ikunga ilitakiwa iwe dealt seriously and perpendicurarly. Kila siku tunasema kuna POLISI JAMII, na hicho ndicho walicho fanya CDM kwa DC Igunga!

Kama Polisi hawapo kwenye eneo la uhalifu RAIA wanatakiwa kuchukua hatua za kumkamata mtuhumiwa na kumpeleka kwenye vyombo vya dola. Polisi kwa makusudi kabisa hawakuwepo siku ile kwasababu ni jambo lililopangwa kati ya DC,Polisi na Watendaji(CCM).

DC kama M/kiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya alipaswa kusimamia hali ya Usalama wa Mkutano wa kampeniza CDM na si kwenda kufanya mikutano ya ndani eneo hilo. Huu ulikuwa ni uchokozi wa wazi kabisa wa kutaka kuvuruga kampeni za CDM. Nakumbuka ALIPOKAMATWA NA KUBANWA MBAVU ALIKIRI KUWA KATIKA AGENDA ZA KIKAO CHAKE,AGENDA MOJAWAPO ILIKUWA NI KUHUSU UCHAGUZI IGUNGA.

Kwa hiyo huyu DC anajua kabisa nini alikuwa anafanya pale na hakika alistahili kukamatwa na kushughulikiwa.

Chadema inawezekana mmewingia mtego wa CCM walioundaa kwa kumtumia DC wao kwa kuacha kitchen tables issue za maji, umeme,sukari
kupanda kwa gharama za maisha, elimu na ajira
na kuanza kujadili issue za DC ambazo hazimsaidii mwana igunga kwa lolote lile. CCM inapata wakati mgumu sana kuzungumzia issue hizo hapo juu hasa kumwambia mtanzania maskini pale kijijini Igunga ambaye hajui atakula nini leo yeye na familia kuwa CCM imemletea maendeleo wakati hana uhakika wa kula leo hii. CCM wanataka muache issues hizo mkimbilie issue za DC ambazo hamzimsaidii mwana igunga kupata elimu bora, kupata umeme wala chakula cha kula na watoto wake.

Nini cha kufanya kuanzia sasa.

achaneni na swala la DC liacheni chini ya timu ya wanasheria wenu na muongeze nguvu kwenye kampeni ktk issues nilizozitaja hapo juu ambapo CCM haina majawabu yake swala la DC mtakuwa na muda mwingi tu wakulijadili mara baada ya kampeni kwisha otherwise mtakuwa mnacheza mdundiko wa CCM.

Mpaka kwanza sheria ichukue mkondo wake kwa wale wahalifu waliomdhalilisha binadamu mwenzao.

Wazo zuri sana. Si lazma chadema wote wahamishe mawazo yao kwa dc. Hilo ni swala la kisheria wamwachie mwanasheria, wengine waendelee na mapambano Igunga.

Mpaka kwanza sheria ichukue mkondo wake kwa wale wahalifu waliomdhalilisha binadamu mwenzao.

Yeye yule pashkuna kajitafutia matatizo mwenyewe, tena wale vijana ni wapole sana ningekuwepo hivi sasa angekuwa yupo MOI mguu mmoja umetundikwa na POP kichwani

Back
Top Bottom