Chadema kwa tabia hii mnakera!!

Ghosryder

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
10,302
4,286
Kila mnapopata mkusanyiko iwe wa msiba, dini, nyie mnaenda kupiga siasa tu! Leo kwenye CH 10 nimemuona Meya wa Ubungo Boniface anaongelea mapambano yake na Mh Dc kwenye kufuturisha kulikoandaliwa na Lowasa!!

Hivi ni sahihi kweli!! Tena kavaa kanzu na kibaraghashia na koti ni aibu sana, mtu unatoka kula kitimoto, unavaa kanzu na unakula na waislam, halafu unaeneza chuki na mifarakano! Kweli chadema hakina dira.
 
Muhoji rais wako bwanaa!
Unajitoaje ufahamu kiasi hiki, Rais anaagiza "watoe bungeni kwenye kinga waje huku nje nitapambana nao" (kwa ile sauti ya harara)

Au ulitamani ile futari ya mihogo?
 
e78a0d266dfe7fe8cb48e50aa6b61a2d.jpg
 
Back
Top Bottom