Elections 2010 Chadema kwa kuanzia kesi zianze kurindima ktk majimbo haya

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
View attachment Book1.pdf

From the attached na NyongezaKibaha Mjini,Segerea,Kilombero mnaweza kuongezea.
Sababu kuu ikiwa tofauti ndogo ya kura ikiambatana na uchelweshaji wa kutoa matokeo.
Bila kusahau ushaidi wa wale waliotaka kupewa rushwa
 
Tuko pamoko maana CCM ni wezi mbyaaaaaaaaaaaaaaa na evidence tunazo kwani form za matokeo ya kila kata sisi tunayo na tuna uhakika wa kushinda hizo kesi.
 
Nafikili wazo la wapinzani kuungana ni muda muafaka sana; hawa majambazi hatutawatoa kwa syle hii ya kudonoa majimbo, kuna baadhi ya majimbo wapinzani wamenyang'anyana ushindi; kura zao zingejumuishwa pamoja hakika majambazi wangekuwa wana haha kukimbia nchi sasa.
 
Back
Top Bottom