Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo CHADEMA kupitia baraza la vijana, kinatarajia kuendelea kujiimarisha zaidi kwa kuzindua umoja wa wanafunzi wa shule za sekondari ambao ni wanachama wa chama hicho..
uzinduzi huo utafanyika jumamosi ya januari 25/1/2014 katika ukumbi wa landmark hotel -ubungo..
umoja huo utakaowaunganisha wanafunzi wote wa shule za sekondari utajulikana kwa jina la chadema secondary students organization CHASESO utazinduliwa dar es salaam na kisha arusha, mwanza, mbeya na mikoa mingine.
hii itakuwa ni jumuiya ya pili ndani ya baraza la vijana chadema baada ya ile jumuiya ya wanafunzi wa vyuo vikuu ambao ni wanachama wa chadema- CHASO Na mgeni rasmi katika uzinduzi huo anatarajiwa kuwa katibu mkuu dk. wilbroad peter slaa na atakabidhi kadi za chama kwa vijana mbalimbali wa shule za sekondari waliotimiza miaka 18 na wale ambao bado watabaki kuwa wafuasi wa chama kama ambavyo katiba ya bavicha inavyoelekeza kuhusu umri wa wanachama wa BAVICHA.
'UR WARMLY WELCOME'