CHADEMA kuzindua umoja wa wanafunzi Wa Shule Za sekondari ambao Ni Wafuasi Wa CHADEMA

Kabwena

Senior Member
Jun 17, 2013
104
195
Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo CHADEMA kupitia baraza la vijana, kinatarajia kuendelea kujiimarisha zaidi kwa kuzindua umoja wa wanafunzi wa shule za sekondari ambao ni wanachama wa chama hicho..
uzinduzi huo utafanyika jumamosi ya januari 25/1/2014 katika ukumbi wa landmark hotel -ubungo..
umoja huo utakaowaunganisha wanafunzi wote wa shule za sekondari utajulikana kwa jina la chadema secondary students organization CHASESO utazinduliwa dar es salaam na kisha arusha, mwanza, mbeya na mikoa mingine.
hii itakuwa ni jumuiya ya pili ndani ya baraza la vijana chadema baada ya ile jumuiya ya wanafunzi wa vyuo vikuu ambao ni wanachama wa chadema- CHASO Na mgeni rasmi katika uzinduzi huo anatarajiwa kuwa katibu mkuu dk. wilbroad peter slaa na atakabidhi kadi za chama kwa vijana mbalimbali wa shule za sekondari waliotimiza miaka 18 na wale ambao bado watabaki kuwa wafuasi wa chama kama ambavyo katiba ya bavicha inavyoelekeza kuhusu umri wa wanachama wa BAVICHA.
'UR WARMLY WELCOME'
 
mpk

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
3,120
2,000
Nadhani ni muhimu chama kutoa mwongozo jinsi ya kuunda umoja huo ili chama ngazi ya wilaya wachangamkie fursa! Chama changu kwa mipango, Ccm watakaa tu!
 
jogoolashamba

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
348
195
Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo CHADEMA kupitia baraza la vijana, kinatarajia kuendelea kujiimarisha zaidi kwa kuzindua umoja wa wanafunzi wa shule za sekondari ambao ni wanachama wa chama hicho..
uzinduzi huo utafanyika jumamosi ya januari 25/1/2014 katika ukumbi wa landmark hotel -ubungo..
umoja huo utakaowaunganisha wanafunzi wote wa shule za sekondari utajulikana kwa jina la chadema secondary students organization CHASESO utazinduliwa dar es salaam na kisha arusha, mwanza, mbeya na mikoa mingine.
hii itakuwa ni jumuiya ya pili ndani ya baraza la vijana chadema baada ya ile jumuiya ya wanafunzi wa vyuo vikuu ambao ni wanachama wa chadema- CHASO Na mgeni rasmi katika uzinduzi huo anatarajiwa kuwa katibu mkuu dk. wilbroad peter slaa na atakabidhi kadi za chama kwa vijana mbalimbali wa shule za sekondari waliotimiza miaka 18 na wale ambao bado watabaki kuwa wafuasi wa chama kama ambavyo katiba ya bavicha inavyoelekeza kuhusu umri wa wanachama wa BAVICHA.
'UR WARMLY WELCOME'

Wachaga, wako tele mashuleni huko. Kazindueni tu, kanchi kamekwishaingia dosari. Mtajiju!
 
Ng'wamapalala

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
6,761
2,000
Ccm wataiga sasa hivi chama kilichozeeka will never come up with new ideas
Kuiga mbona ni kitu cha kawaida kabisa katika dunia ya sasa!.

Kuja na idea ni kitu kimoja na kuiendeleza hiyo idea ni kitu kingine.

Kitu cha muhimu ni kuendeleza hiyo idea kivitendo.

Hata tunachokifanya hapa kwa sasa tunaiga kutoka nchi za magharibi achilia mbali uendeshaji wa maisha yetu ya kila siku na hii haina maana kuwa tumechoka.

Kwa hiyo usiwashangae CCM kwa kuiga idea bali unatakiwa uwashangae CHADEMA pale idea yao nzuri watakaposhindwa kuiendeleza vizuri kwa manufaa ya ukuaji wa chama.
 
Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,861
2,000
Naomba serika katika hili muingilie kati maana chadema wanataka kuwaaribu kabisa hawa wanafunzi.

Katika hili chadema ndio watachangia kwa kuongezeka kwa zero.

Hivi chadema mmeshindwa kwenda huko vijijini kutafuta wanachama sasa mmeanza kuwaingiza hata wanafunzi?
 
masanjasb

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
2,364
1,195
Wanaosemaga kuwa wanafunzi wa elimu ya juu ndiyo wanayoipenda cdm wanakosea,shule karibia zote nchini hasa za umoja wa wazazi wa ccm,wanafunzi wao wengi ni makada wazuri wa chadema na huko ndiko kuna fukoto la upinzani kuliko hata vyuo vikuu.

Hapa cdm imefunga na kufungua mwaka kwa issue za maana sana,ngoja tuone chama za mizengo kama kitaitua mizgo yake
 
Fenento

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
320
225

Inaonesha imekuumiza kwa kiwango fulani. Hiyo organization itaundwa na wanafunzi wenye umri wa zaidi ya miaka 18 kwani kikatiba wanahaki ya kupiga kula hata kuchaguliwa wakipenda. Mimi naona ni wazo zuri la kuondeleza vipaji vya uongozi. Aluta continuaaaaaaaaaaaaaa
 
masanjasb

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
2,364
1,195
Naomba serika katika hili muingilie kati maana chadema wanataka kuwaaribu kabisa hawa wanafunzi.

Katika hili chadema ndio watachangia kwa kuongezeka kwa zero.

Hivi chadema mmeshindwa kwenda huko vijijini kutafuta wanachama sasa mmeanza kuwaingiza hata wanafunzi?

Mkifanya nyie ni sawa ila wakifanya chadema ni kosa? mnamiliki shule za ccm na tofauti na masomo ya kawaida kuna masomo ya ziada nayo ni sera za chama cha mpinduzi, kunya anye kuku akinya bata?
 
mjepo

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
4,917
1,225
Hiki chama sasa nimeamini gongo iliyopitishwa na cha imewaathiri wanafunzi waache kusoma wafanye siasa kwani mshauri wa chadema ni nani hizi ni aibu kweli.
 
mjepo

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
4,917
1,225
Mkifanya nyie ni sawa ila wakifanya chadema ni kosa? mnamiliki shule za ccm na tofauti na masomo ya kawaida kuna masomo ya ziada nayo ni sera za chama cha mpinduzi, kunya anye kuku akinya bata?
Nani kafanya wewe mzima kweli acha mawazo ya kibavicha mkuu.
 
mjepo

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
4,917
1,225
Wanaosemaga kuwa wanafunzi wa elimu ya juu ndiyo wanayoipenda cdm wanakosea,shule karibia zote nchini hasa za umoja wa wazazi wa ccm,wanafunzi wao wengi ni makada wazuri wa chadema na huko ndiko kuna fukoto la upinzani kuliko hata vyuo vikuu.

Hapa cdm imefunga na kufungua mwaka kwa issue za maana sana,ngoja tuone chama za mizengo kama kitaitua mizgo yake
Ninkweli mkuu hata zile za chekechea za machame na rombo.
 
masanjasb

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
2,364
1,195
Kuiga mbona ni kitu cha kawaida kabisa katika dunia ya sasa!.

Kuja na idea ni kitu kimoja na kuiendeleza hiyo idea ni kitu kingine.

Kitu cha muhimu ni kuendeleza hiyo idea kivitendo.

Hata tunachokifanya hapa kwa sasa tunaiga kutoka nchi za magharibi achilia mbali uendeshaji wa maisha yetu ya kila siku na hii haina maana kuwa tumechoka.

Kwa hiyo usiwashangae CCM kwa kuiga idea bali unatakiwa uwashangae CHADEMA pale idea yao nzuri watakaposhindwa kuiendeleza vizuri kwa manufaa ya ukuaji wa chama.

Idea gani ya cdm iliyoshindwa kuendelea? nyingi mnazicmamisha nyie kwa mabomu yenu ya kichina,kwa sasa m4c inafanyika kote nchini kimya kimya bila promo ili msiendelee kutuulia raia wasiokuwa na hatia labda kwa vile nimekupa siri hapa bs mwambie savimbi kabisa kuwa m4c kumbe bado inachanja mbunga japo mwenzie kibarua kimeota nyasi ila najua hashindwi kutumia uzoefu wake
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom