CHADEMA kuweni makini sana, kilicho nyuma ya pazia hiki hapa!

Anaweza, tena vizuri sana, Hataki shida yule ni muoga sana.

Na uoga huo huo unaweza kuwa sababu ya yeye kutokubali kujiweka pembeni kwa kuhofia maadui zake kupata upenyo Serikalini na kuanza kumnyanyasa...
 
Na hiyo state department inajua kuna wananchi wa Tanzania ambao hawatakubali ujinga tena wa kuibia ardhi,madini,samaki,wanyama na wahuni wa CCM na wao wapo na wanauwezo wakuamua cha kufanya piga kura linda kura itafanya kazi la sivyo patachimbika
 
Anything in this planet can happen, however, the author of this thread has chosen to go cold for the right and hard facts for wrong and soft target.

It is possible he has been asked to touch the tail of the snake so that the head can be raised and give chance for the snake hunter to determine the size of the snake before confrontation is engineered. The devil is always in the detail kindly read and work out the meaning between words.

The whistle blower has thrown the stone in the wrong direction the snake will not raise the head instead sensed the danger and i hope running away is an option viable, i mean refuse to corporate but remain alert.

i give you 5
 
Kwa ujumla tu hata bila filimbi ya Mkuu Hutaki Unaacha.....

Suala la CHADEMA kuwa makini zaidi ya sana huku wakishirikisha Miungu yote ya duniani na baharini pia kushirikisha akili zote ni muhimu sana kwa kipindi wanachokiendea.....

Kutokea miaka hii hadi 2015 ni kuna mengi sana... ya kweli na ya uongo!!
 
Last edited by a moderator:
Hii ni dalili tosha kuwa Kikwete keshauza nchi yetu kwa Wamarekani. Unaweza kuimagine wakati wa Mzanaki analetewa ripoti ya CIA kutoka state department ya Marekani?

Tiss imegawanyika katika makundi 7 na kila moja linafanya kazi kwa maslahi ya mtu flan lakini wanalipwa na serikali...kundi linalofanya kazi kwa maslahi ya nchi linapingwa vibaya sana na wengi wanapotea kwa formula ya costra nostra ...tangu 2008 kazi za kichunguzi zimekuwa zikifanywa na mashirika ya nje ya kijasus...
 
Wanasiasa wa namna hii ni Janga la Taifa, badala wawaze namna ya kumkomboa mtanzania wa kawaida toka lindi la umaskini wao wanawaza urais 2015. Eee Mungu tunusuru na haya majizi.
The unseen is illustrated by the seen.
 
Tiss imegawanyika katika makundi 7 na kila moja linafanya kazi kwa maslahi ya mtu flan lakini wanalipwa na serikali...kundi linalofanya kazi kwa maslahi ya nchi linapingwa vibaya sana na wengi wanapotea kwa formula ya costra nostra ...tangu 2008 kazi za kichunguzi zimekuwa zikifanywa na mashirika ya nje ya kijasus...
Basi hatuna nchi tena. We are worse than a banana republic.
 
Id ya mtoa mada ni bonge la disclaimer...'Hutaki unaacha'. You can't demand for the source kwa sababu kama hutaki then unaacha...very tricky.
 
Mkuu Hutaki Unaacha kwa kweli leo sitaki na naacha! Part 1 na part 2 niliona kama kuna kitu ila hii mhhhhh! Mbona vyote ulivyosema haviingii akilini?

Safari njema huko ueandako, tumia muda huo kujipanga na kuja kivingine ya leo nimekataa na sitaki naaacha.
 
Ninaweza kuamini mengi lakini la jk kuachia ngazi, hapana na nadiriki kusema haiwezekani tena kabisaaa!! Ni jambo la kusadikika.
 
Ni kiasi cha kusubiri na kuona!..ila..tuwe macho! Sio rahisi kihiiiiivyo!
 
Aaaaah....aaaah.The so called ''Hutaki Unaacha'' amefanikiwa sana ku confuse jamvi hapa.Kweli Tanzania bado kuna kazi mbele, kwa hivi vichwa vya panzi! ''Not yet Uhuru''.Stori hizi hazina tofauti na zile ninazozipata kwenye kakijiwe kangu ka kahawa na kashata pale Msimbazi-Kariakoo.
 
Back
Top Bottom