CHADEMA kuweni makini na Nyalandu, soon ataunga juhudi

Mleta mada nikukumbyshe kitu
Lazaro hakuja cdm kufuata ubunge au madaraka yoyote kama Lowassa, Sumaye na Bulaya.
Lazaro alijiuzulu ubunge wqke alioupata akiwa ccm baada ya tukio la Lissu kupigwa risasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyeyakaribisha mafuriko haongelewi wala hakosolewi (mbowe) kama msababisha tatizo. Matokeo yake linaongelewa tatizo bila kumhusisha alielisababisha. Wanachama wa Chadema aliyewaroga amekufa. Dk. Slaa alitahadharisha mapema sana haya yanayotokea leo, akaishia kutukanwa matusi ya nguoni na kuitwa msaliti.

Sent using Jamii Forums mobile app
huyo Dr mihogo mtu wa ajabu kweli , miaka yote anaikataa ccm , Leo hii mwanaccm mmoja anatubu na kujiunga na cdm yeye Dr mihogo anaamua kumkwepa na kujiunga na ccm . maajabu ya kenge kukimbia matone ya mvua kwa kukimbilia mtoni .
 
Mleta mada nikukumbyshe kitu
Lazaro hakuja cdm kufuata ubunge au madaraka yoyote kama Lowassa, Sumaye na Bulaya.
Lazaro alijiuzulu ubunge wqke alioupata akiwa ccm baada ya tukio la Lissu kupigwa risasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Bulaya pia si wakumwamini!

Akiukosa ubunge mwaka huu atarudi huko alikokuwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waberoya,
Slaa alihitaji nini zaidi wakati mpaka cheo cha juu alipata?

Kura ambazo Lowasa ameleta chadema Dr slaa asingeweza never so kwa wakati ule Lowasa alikuwa chaguo sahihi
Lowasa hakuwa chaguo sahihi. Issue sio kura bali identity ya chama. Huwezi kuuza identity ya chama kwa idadi ya kura ukabaki salama. Hayo ni maoni yako tu kusema Dr Slaa asingeweza kuleta kura hizo.
 
Yaani hata wewe huelewi! Chakaza kaeleza vizuri sana kwa nini kuhama kwake ni tofauti na wale wengine. Yaani Nyalandu alifanya ubinadamu wakati shetani anawazuia wabunge na wanaCCM kutokwenda kumuona Lissu hospitali. Ukishindwa kuelewa basi "munio wakho"
Wewe😀😀😀
 
Lowasa hakuwa chaguo sahihi. Issue sio kura bali identity ya chama. Huwezi kuuza identity ya chama kwa idadi ya kura ukabaki salama. Hayo ni maoni yako tu kusema Dr Slaa asingeweza kuleta kura hizo.

Nambie chama gani cha upinzani ambacho mpaka leo kina identity yake ile ile kama ambavyo kilianzishwa hapa Tanzania

Na je kina wabunge wangapi? Na walipata kura ngapi ktk urais
 
pia unafahamu kuwa ni Dr slaa mwenyewe ndiye aliyemleta lowassa Chadema? Kama hoja yako ni Dr slaa alikuwa na mchango mkubwa ndani ya chadema , ni kwanini alimleta lowassa ambaye yy anaamini alikuwa mchafu?
Hii umeongopa mkuu. Chanzo cha Dr Slaa kuhama cdm alilitolea mfano kuwa hawazi kuwa ndani ya nyumba yenye choo cha tundu ndani ya nyumba hiyo. Hivyo Dr Slaa alimlinganisha Lowasa na choo. Kama alimleta why amkashifu kiasi hicho?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii umeongopa mkuu. Chanzo cha Dr Slaa kuhama cdm alilitolea mfano kuwa hawazi kuwa ndani ya nyumba yenye choo cha tundu ndani ya nyumba hiyo. Hivyo Dr Slaa alimlinganisha Lowasa na choo. Kama alimleta why amkashifu kiasi hicho?

Sent using Jamii Forums mobile app
kama alimkimbia lowassa alipokuja chadema, mbona lowassa amerudi tena ccm na Dr slaa mbona hajakikimbia choo kwa Mara nyingine?
 
Nambie chama gani cha upinzani ambacho mpaka leo kina identity yake ile ile kama ambavyo kilianzishwa hapa Tanzania

Na je kina wabunge wangapi? Na walipata kura ngapi ktk urais
Mie nazungumzia CHADEMA. Tangu CHADEMA wamweke Lowasa Kama mgombea urais kikapoteza kabisa identity yake, na naamini hasara iliyopata ni zaidi ya kura na wabunge iliyopata. Vita juu ya mafisadi ndo ikafika kikomo na kujinadi kwake kama chama makini kukaisha.
 
kama alimkimbia lowassa alipokuja chadema, mbona lowassa amerudi tena ccm na Dr slaa mbona hajakikimbia choo kwa Mara nyingine?
Nafikiri kwa sasa Slaa ni mwajiriwa wa serikali ya CCM na sio mwanasiasa au kiongozi wa CCM kwani kuna waajiriwa wengi tu wa serikali ambao sio CCM. Kwa hiyo hana haja ya kukimbia.
 
Mie nazungumzia CHADEMA. Tangu CHADEMA wamweke Lowasa Kama mgombea urais kikapoteza kabisa identity yake, na naamini hasara iliyopata ni zaidi ya kura na wabunge iliyopata. Vita juu ya mafisadi ndo ikafika kikomo na kujinadi kwake kama chama makini kukaisha.

Kaka siasa ni upepo na sio kuendelea kutunza identity yako

Kwa awamu hii kelele za ufisadi zitasaidia nn? Kwanza wangesemea kwenye mikutano gani?

Chadema wametumia akili sana hayo maajenda ya ufisadi hayana tija kwa sasa
 
CDM was firm, strong and well established na ilikuwa focused na agenda zake kila mtu alijua IDENTITY ya CDM ilijulikana hata bila Lowassa kuwepo

Mbowe na wewe mliwaza kubeba urais, ndoto ambazo hata Lowassa alijua haziwezi kuja. Mbowe akauza uttu wa CDM, Identity ya CDM, na akaua kila kilichopandwa na CDM, mafuriko ya kura ya LOWASSA yalikuwa na mlengo wa kibiashara wa kupiga hela za ubunge na ruzuku, haukuwa na na mitazomo/mtizamo wa ku focus kwenye uchaguzi wa 2020. Infact ni kama malaya ana danga anunue Range Rover au Maserati kwa kusimama na kuwa malaya pale Ohio, wakati wangezichanga kwa kazi yake halali angenunua bila kuvua utu wake

Ile ID ya chadema, imekufa.
Lowasa yuko wapi sasa?? ile CDM ya mwaka 2007-2014 iko wapi??? CDM imekufa, na imekufa kwa maamuzi mabovu,

wewe kama una mtoto wa kike utaruhusu akawe malaya upate hela na mafanikio ya haraka haraka, naomba isiwe ndivyo ulivyopatikana mkuu!!!
Well said!!!.👊👊👊
 
Kaka siasa ni upepo na sio kuendelea kutunza identity yako

Kwa awamu hii kelele za ufisadi zitasaidia nn? Kwanza wangesemea kwenye mikutano gani?

Chadema wametumia akili sana hayo maajenda ya ufisadi hayana tija kwa sasa
No. Siasa haitakiwi kuwa upepo. Kuna misingi ya Chama ambayo inasimamia nacho na haitakiwi kubadilika ovyo ovyo kama upepo. Kuna watu wameiingiza nchi hii hasara kubwa ila kwa kuwa wapo CCM, hawatachukuliwa hatua. Kama CHADEMA walitumia akili, ipo wapi sasa?
 
Kaka siasa ni upepo na sio kuendelea kutunza identity yako

Kwa awamu hii kelele za ufisadi zitasaidia nn? Kwanza wangesemea kwenye mikutano gani?

Chadema wametumia akili sana hayo maajenda ya ufisadi hayana tija kwa sasa
Watumie akili katika hili wamuondoe nyalandu chamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.wimbi la kuhamia CCM kwa wabunge kutoka 2018... Hawakuwa CHADEMA asilia?

2.CHADEMA wana machinery ya vetting? Kuepuka kuchukua 'wasio'

3.chadema asili wote wazee hapo mwanzo walikuwa CCM

4.unaweza washauri CHADEMA wakasikia? Wewe kwa CHADEMA ni kidudu, kisisimizi, takataka kabisa... CDM huwa haishauriki, unapata wapi guts hizo? Au unafikiri wanaokupa like humu ni CHADEMA? Hauijui CHADEMA acha kujipendekeza.... Kamuulize mfia chama Slaa, alichokipata , muuulize mtafuta wanachama wengi na kupeleka chama hatua ya juu bwana zitto, muulize mwanakijiji!!.. washauri wote wa CHADEMA waliokipenda waliitwa wasaliti,!!! Wewe usiye na jina halisi unakishauri kuanzia wapi?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom