CHADEMA kuwasilisha barua rasmi ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake kwa Spika

Spika wa binge ndyo nan bwashee?????
Chadema kesho watawasilisha barua rasmi ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake 18 kwa Spika wa binge na Msajili wa vyama vya siasa

Aidha Halima Mdee na wenzake wanayo haki ya kuiomba mahakama irejee maamuzi ya baraza kuu

Mkurugenzi wa kituo cha haki za binadamu mama Henga amesema lilipoishia baraza kuu la Chadema ndipo Mahakama kuu itakapoanzia

Source BBC
 
Don't be negative, barua ya Chadema kuwafuta uanachama itapokelewa na Bunge kwa mikono miwili. Kama hawakwenda mahakamani, then Spika atawavua Ubunge na kuiarifu NEC nafasi hizo ziko wazi na Chadema wapeleke majina mengine 19.
P
Kwa mujibu wa andiko lako nimeliona sehemu huu ndio muda wa vimada na watoto kutinga bungeni si ndio?
 
Don't be negative, barua ya Chadema kuwafuta uanachama itapokelewa na Bunge kwa mikono miwili. Kama hawakwenda mahakamani, then Spika atawavua Ubunge na kuiarifu NEC nafasi hizo ziko wazi na Chadema wapeleke majina mengine 19.
P
Wakienda Mahakama I wataruhusiwa kuendelea " kuingia" bungeni?
 
Walikata rufaa Baraza Kuu hivyo ilibidi wapewe haki ya kusikilizwa kwanza. Baraza kuu limekaa na kutupilia mbali rufaa yao. Muwage mnafatilia mambo
Hujaelewa swali langu mkuu,
Mimi nilitaka kujua kua wakati wao wamekata rufaa na kusubiri hukumu ya Baraza kuu,kwa muda huo waliokua wanasubiri rufaa yao ina maana walivyokua bungeni ilikua ni halali kwao kua bungeni?
 
Chadema kesho watawasilisha barua rasmi ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake 18 kwa Spika wa binge na Msajili wa vyama vya siasa

Aidha Halima Mdee na wenzake wanayo haki ya kuiomba mahakama irejee maamuzi ya baraza kuu

Mkurugenzi wa kituo cha haki za binadamu mama Henga amesema lilipoishia baraza kuu la Chadema ndipo Mahakama kuu itakapoanzia

Source BBC
Umeamka na bapa
 
Mimi ninawashauri wasiende Mahakama Kuu hapo ndo watapata aibu zaidi. Wakili Msomi Kibatala, Mtobesya, Mallya watapiga chali.
 
Chadema kesho watawasilisha barua rasmi ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake 18 kwa Spika wa binge na Msajili wa vyama vya siasa

Aidha Halima Mdee na wenzake wanayo haki ya kuiomba mahakama irejee maamuzi ya baraza kuu

Mkurugenzi wa kituo cha haki za binadamu mama Henga amesema lilipoishia baraza kuu la Chadema ndipo Mahakama kuu itakapoanzia

Source BBC
Mahakama, hata siku moja haishughuliki na masuala ya uwanachama wa chama cha siasa ya mtu yeyote.

Kitu pekee mahakama itakachofanya kwanza ni kutoa hukumu juu ya 'je, mahakama ina haki ya kutamka mtu fulani ni mwananchama au siyo mwanachama wa chama chochote cha siasa?". Hapo ndiyo itakuwa mwisho wa kesi.

Zito Kabwe alipoona mwelekeo wa kumvua uwanachama wake, alienda mahakamani kwenda kuzuia. Alipogundua kuwa mahakamani hakuna kitu kipya kitakachotumika zaidi ya katiba ya CHADEMA, ambayo inatamka wazi kuwa hakuna mwanachama au kiongozi wa chama atakayepeleka shauri mahakamani kuhusiana na uwanachama, aliamua kuondoa shauri mahakamani, na yeye ili isiwekwe kwenye rekodi kuwa alifukuzwa uwanachama, aliamua kujitoa.
 
Kwahiyo siku zote hizo walikua Bungeni kihalali mpaka hiyo kesho itakapo pelekwa hiyo barua rasmi ya kuwavua uanachama kwa Spika?
Sidhani kama tafsiri hiyo ni sahihi. Kiuhalisia maana yake wanapeleka barua hiyo ya kuwavua uwanachama kwa mara ya pili ili kuweka kumbukumbu sawia namna Tanzania tunavyokiuka sheria na katiba yetu. Japo katiba ni mbovu, lakini ukiukwaji ndio tatizo kubwa kuliko ubaya wa katiba.
 
Hujaelewa swali langu mkuu,
Mimi nilitaka kujua kua wakati wao wamekata rufaa na kusubiri hukumu ya Baraza kuu,kwa muda huo waliokua wanasubiri rufaa yao ina maana walivyokua bungeni ilikua ni halali kwao kua bungeni?
Haikuwa halali ila kwa sababu tulikuwa kwenye utawala dhalimu, iliwezekana hilo.

Ni sawa na hata hao wahuni wanaoitwa wabunge, waliweza kuapishwa na kutamkwa kuwa wabunge, kwa sababu dhalimu alikuwa ameamua iwe hivyo, na hakukuwa na wa kunyanyuka kumpinga kichaa mwenye panga mkononi huku wewe ukiwa huna chochote.
 
Back
Top Bottom