CHADEMA kuwa na mgombea urais wa kudumu?

Kutangaza nia sio mbaya pia kuna taratibu za chama katika kumsimamisha mgombea wa ngazi husika ...hata msimu uliopita taratibu zilifuatwa
Uchaguzi 2020 ....... Kutangaza nia 2017 .... naomba Mungu anipe uzima na afya njema
 
Kwetu huku, kugombea urais ni kudumu na mwenyekiti ni wa kudumu.
16711977_10206681252908262_8080622556719525945_n.jpg
16711977_10206681252908262_8080622556719525945_n.jpg
 
lowasa ameshikwa masikio jamaa wanamdanganya eti ni presdential material kumbe busness material
 
Kuna kautaratibu kanaanza kuzoeleka hivi sasa kwenye vyama vya siasa ka kuwa na mgombea urais wa kudumu. jambo hili ni hatari sana na ni tishio kwa ustawi na ukuaji wa demokrasia.

CUF ina mgombea wake wa kudumu prof Haruna Lipumba na sasa CHADEMA nayo inaonekana kuwa na utaratibu huo ambapo mh Edward Lowassa ndio mteule wa kudumu wa urais wa chama hicho.

Nimekaa nikitafakari na kujiuliza bila kupata jibu la wapi Tunaipeleka demokrasia kama Taifa.
Hivi karibuni, akiwa Kenya kushiriki mazishi ya waziri mmoja mwenye asili ya kimasai, Aliyekuwa mgombea urais mwaka 2015 kwa tiketi ya chadema Edward Lowassa alieleza kuwa atagombea tena urais kwa tiketi ya chama hicho hali inayoashiria kuwa hii ni style mpya kwa nchi yetu ambapo tunakuwa na wagombea urais wa kudumu.

Maswali ya kufikirisha.
1. je hakuna vikao rasmi ambavyo vinahusika kuchakata wagombea wa urais na nafasi zingine za kisiasa kwenye vyama hivi? mfano kamati kuu ya chadema, baraza kuu la cuf, na mkutano mkuu wa vyama hivyo? unashauriwa na mkeo usiku asubuhi yake unatekeleza?
2. katiba za vyama hivi zinasemaje kuhusu suala la hili?
3. ndio aina ya demokrasia mpya kwa nchi yetu?
4. hizi kelele za kunyooshea wengine kuwa madikteta, kwanini tusingeondoa mabanzi kwenye macho yetu kwanza ndio tuwanyooshee wengine?

karibuni kwa mjadala. matusi NOOO
Lowassa kasema atajitosa kugombea,lakini kwa JPM ni tofauti,yeye ndiye atagombea,hakuna mjadala!!Yaani marufuku mtu mwingine kuchukua form!
 
Mkuu.kuna Demo krasia na domo krasia.Domo krasia ni uhuru wa kuongea chochote sababu domo ni jumba la maneno.Chadema ni chama cha Domo krasia sio Demo krasia.Usiwaamini wakiongea.Lowasa anajitangaza mgombea wa Ukawa bila kujali kuwa vikao vya.Ukawa vya vyama tofauti waweza kubaliana kuwa 2020 mgombea uraisi wa Ukawa atoke chama kingine
Amesema atagombea,sasa kama atapitishwa au kutopitishwa hilo ni suala jingine!Tofauti na kwa JPM ambapo ni marufuku mtu mwingine kuchukua form 2020!Yaani JPM lazima awe mgombea japo katiba ya ccm inatoa fursa kwa mtu yeyote kuchukua form na kugombea!
 
Kweli mkuu! Eti mzee wa chato anatamani kabadili katiba atawale milele hadi kifo kimkute?

brain is the beautiful part of the body.
Mwinyi na Lema wamekuwa wazee wa CHATO?
Maana hao ndio pekee waliosema hadharani kuwa wana HOFU kama atapatikana MALAIKA mwingine baada 2025.
JPM alisema anatamani kazi hii aiache hata kesho. Ila kwa kuwa kakabidhiwa na Mungu ni lazima amtumikie kwa nguvu zake zote!!!
 
Nahisi kunielewa inahitajika nguvu ya ziada!

Lema na Mwinyi lini wakawa na mtizamo mmoja mkuu?

Jiongeze jinsi ya kuunganisha dot utaelewa matamshi ya hao watu.

brain is the beautiful part of the body.
 
Mkuu.kuna Demo krasia na domo krasia.Domo krasia ni uhuru wa kuongea chochote sababu domo ni jumba la maneno.Chadema ni chama cha Domo krasia sio Demo krasia.Usiwaamini wakiongea.Lowasa anajitangaza mgombea wa Ukawa bila kujali kuwa vikao vya.Ukawa vya vyama tofauti waweza kubaliana kuwa 2020 mgombea uraisi wa Ukawa atoke chama kingine
So mda utatolewa posa na uhakika,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom