Uchaguzi 2020 CHADEMA kutumia kalamu maalum kupiga kura?

Kwa hali hii kalamu maalum ya nini?
 
Umeolewa ama bado unapuyanga?

(Mbona hunijibu hili swali kila siku unalikimbia?)
 
Hata wakiagiza za Amsterdam watapigwa tu
Mbona uoga mwingi,achane CHADEMA ifanye inayo yataka as long as mnajua kwa vyovyote vile mtashinda!Kama mnaaamini Chadema itapigwa mbona mnapiga magoti?mbona wasanii weng?mbona malori ya kubeba watu
 
Lissu anajua hawezi kushinda kila siku anazua uongo mtupu, alishamtukana Nyerere na akaenda Butiama kimyakimya kuomba radhi bila hata kusema kwa waandishi kwamba ameenda kuomba radhi kwa kashfa zile, kifupi Lissu ni chizi tu
Ninyi mlisema Chadema kimeshakufa sasa HAPO VIPI?
Lissu hana kashfa
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Tundu ataendelea kuwa Tundu akivuja
Lissu anajua hawezi kushinda kila siku anazua uongo mtupu, alishamtukana Nyerere na akaenda Butiama kimyakimya kuomba radhi bila hata kusema kwa waandishi kwamba ameenda kuomba radhi kwa kashfa zile, kifupi Lissu ni chizi tu
 
Lissu anajua hawezi kushinda kila siku anazua uongo mtupu, alishamtukana Nyerere na akaenda Butiama kimyakimya kuomba radhi bila hata kusema kwa waandishi kwamba ameenda kuomba radhi kwa kashfa zile, kifupi Lissu ni chizi tu
Lakini kuna chizi mkuu amepokea mahari ya mamake mzazi

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Chadema hawana hoja zinazoweza kuwashawishi wapiga kura kuwachagua.

Watanzania wako huru, wao wanaenda kuwaambia watawaletea uhuru! CCM inawaambia vitu specific ilivyofanya na inavyopanga kufanya. Wasilaumu kalamu,obviously CCM itashinda...
Ila kikubwa ukumbuke mgombea wenu ameanza kuomba kura kwa kupiga magoti.sijajua nini kinamsukuma afanye hivyo.
 
Back
Top Bottom