DITOPILE WAPILI
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 376
- 256
Chadema iliyofanya operesheni SANGARA ya kupinga ufisadi kwa sauti kali, sasa kimekuwa chama kulalamika tu, hakuna hoja za msingi, Sasa hivi wanalalamika utendaji kazi wa MKUU WA MKOA WA DSM - PAUL MAKONDA pamoja na KESI YA LEMA.
Umefika muda sasa CHADEMA kujenga hoja zenye mashiko, badala ya kukimbilia kukosoa utendaji kazi wa SERIKALI YA JPM, ukweli kuna mambo yanakosolewa kwa hoja nyepesi kabisa, huu ni wakati wa kujipanga upya CHADEMA.