Mwasita Moja
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,903
- 2,580
Wadau amani ya bwana.
Tangu mwaka 2008 Chadema iligeuka speaker ya wanyonge na kimbilio la wasio na sauti. Hiki chama kilitetea wanyonge kwa maneno na matendo.
Ghafla mwezi wa 9/2015 ,Chadema ikauzwa kwa Lowasa na Katibu mkuu Slaa akatangaza kuacha siasa. Tangu siku hiyo chadema kimekuwa chama cha kulialia ,kutetea mafisadi na maovu yote ya nchi hii ikiwemo mashoga na madawa ya kulevya!!!!
Chadema ya leo wanapinga elimu bure, kuhamia Dodoma, ujenzi wa reli, ununuzi wa ndege, unununuzi wa madawati!!!!
Vita zidi ya madawa ya kulevya wanapinga!!!
Hivi sababu ya chadema kugeuka chaka la kutetea maovu na kupinga maendelo ya wananchi ni nini??