Chadema kutoka bungeni:na nderemo za ccm

Plato

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
420
94
Wakitoka nje jana wabunge wa chadema,waliobaki walikuwa wakiimba wote ccm.maana yake hawakujua kuwa kulikuwa kulikuwa na cuf, nccr, udp, na tlp au wamethibitisha kwa hao ni ccm b.mimi naamini hivo.so wajue kuwa watatumika kama tule tuvifaa.
 
Back
Top Bottom