CHADEMA kutoa msimamo mzito leo; Ni baada ya rais kusaini muswada wa upatikanaji wa katiba mpya

Msimamo mzito?? acheni ushabiki bana...

Wanaoweza kutishia serikali ikasikiliza wanajulikana siyo watu ambao bei zao zinajulikana..

Hakuna msimamo mzito kutoka cdm, we know your price tag

Na nani wa kumpa..Mbowe (EL), Slaa (sobodo), Zitto (RA) ok

wengine bendera fuata upepo hawana bei..
 
Haya matusi makubwa lakini subiri usije saga meno.....
 
Haya matusi makubwa lakini subiri usije saga meno.....

Unapenda vibaya mkuu..

Wasiseme msimamo mzito..hakuna kitu hapo..

Badilisheni viongozi hapo ndio mtakuwa na chama, as of now ni wachumia tumbo wazuri sana mkuu..

Napenda siasa lakini siwezi kudanganywa na wanasiasa..
 
Msimamo mzito?? acheni ushabiki bana...

Wanaoweza kutishia serikali ikasikiliza wanajulikana siyo watu ambao bei zao zinajulikana..

Hakuna msimamo mzito kutoka cdm, we know your price tag

Na nani wa kumpa..Mbowe (EL), Slaa (sobodo), Zitto (RA) ok

wengine bendera fuata upepo hawana bei..

Topical. Kuna haja pale tunapozungumzia issues nyeti katika Taifa letu kama hii ya Katiba kuondoa mizaha ya kitoto na ushabiki wa kijinga. Ama mwenzetu siyo Mtanzania?
 
Topical. Kuna haja pale tunapozungumzia issues nyeti katika Taifa letu kama hii ya Katiba kuondoa mizaha ya kitoto na ushabiki wa kijinga. Ama mwenzetu siyo Mtanzania?

Twendeni kwenye tume tupeleka hoja nzito na za maana, tuangalie kama tume itatekeleza au la wakishindwa twendeni barabarani hapo tutakuwa pamoja..

Lakini kuwasikiliza chadema ambao walienda kuomba upendeleo kwenye tume itakayoundwa na rais (ulaji) si mambo ya kitaifa ni mambo binafsi ya viongozi wa chadema ok...
 
Unapenda vibaya mkuu..

Wasiseme msimamo mzito..hakuna kitu hapo..

Badilisheni viongozi hapo ndio mtakuwa na chama, as of now ni wachumia tumbo wazuri sana mkuu..

Napenda siasa lakini siwezi kudanganywa na wanasiasa..
Hapana mkuu wangu sina mapenzi ya hivyo, isipokuwa mimi naelewa kilichofanyika na kutafakari bila kutafuta mchawi. tatizo lako wewe ni ushabiki. Kweli CDM wamepeleka viongozi wa chama na kwa mtazamo wangu kulikuwa na makosa kwa sababu hata CCM wanataka ku deal na hii issue Kisiasa hivyo majibu yao CDM yalilenga Siasa wanazozipinga kama chama.

Zuri ambalo Chadema wamelifanya ni kutaka muswada huu urudi kwa wananchi, and that was their main point - lakini hapo hapo nashindwa kuelewa kwa nini Mnyika aliweka saini ktk makubaliano yanayosema SHERIA na sio Muswada..Hata hivyo, interllectuals ndio hu solve matatizo kama haya na sidhani kama tumechelewa hapa tulipo.

I hope tena kama nilivyoweka hope mara ya kwanza kwamba JK atasikiliza ushauri wa watu na hasa kuwasiliana na wasomi ambao wanaweza kumpa ushauri ulokuwa mzuri zaidi. CCM walikuwa na makosa na Chadema wamezungumzia makosa wanayoyaona wao kama chama cha siasa. Chadema sio chuo ama kundi la wasomi bali ni chama cha siasa..Chadema haiwakilishi wananchi wote nchini na zaidi ya hapo haijawahi kukusanya mawazo ya watu ulitegemea watoe ushauri gani?. Hii ni busara tu mkuu wangu kuweza kutazama picha kwa kuumiza ubongo na sio kuchagua njia rahisi.
 
Twendeni kwenye tume tupeleke mapendekezo yetu kwa nguvu (tubakize na ushahidi) kuwa tuliwashauri hili na lile liwepo kwenye katiba..

Wakifanya usanii watu wakwenda barabani ni wengi akiwemo mimi lakini ni vigumu sana kuwakubali chadema sasa kwani katika mapendekezo yao "waliomba chama chao kiongezewa idadi ya wajumbe eti wa CUF na zanzibar wamekuwa wengi" ulaji tu hamna kitu..
 
Alaaa tumeshauri kwenye Muswada tu na wala sio sheria, tumepigwa chini sasa huko kwenye sheria ndio kweli mnatupa tumaini?..Acheni kamba za mchana mchana bado kiza hakijaingia..
Hilo sio swala la ulaji kuomba kuwa na wajumbe wengi zaidi ya CUF, kwa sababu CDM ni maadui wenu wa kutengenezwa. Lakini lazima ukubali ndicho chama cha Upinzani. Kisiasa hii inawapa nguvu zaidi ya CUF na ndio maana hata bungeni CDM hupewa nafasi ya kwanza ktk maswal mengi ya kibunge.

Kwa hiyo hayo ni mapendekezo yao, wewe unaweza kukataa CDM inapopewa nafasi ya kuchagua wawakilishi wawili lakini wenzako wametazama ujumbe mzima kwa maana kwamba CUF itakuwa na mjumbe mmoja, lakini kutokana na wajumbe kutoka visiwani tayari watakuwa na wajumbe zaidi ya CDM ambao hawana mbunge hata mmoja ZnZ. Hivyo ktk hizo nafasi mbili moja wataiwakilisha chama kwa serikali ya Zanzibar na mwingine bara.
Nitarudia tena kusema usitazame vitu kwa ushabiki wa rangi, hiyo kijani inawatia upofu jamani,,
 
Hukuona hii?

Keyword...Ungepotezea tu,wasababu tafsiri yangu ni kwamba huwezi,tena ukizingatia nilitanguliza shukrani.

Ndo shida ya ku talk shit that you cant back it up!

Kwanini ujibu kitu unachokiita 'shit'? this show how STUPID you are.

Sasa ndo nimekuuliza swali, kwamba kwanini nikujibu..it is an independent question na siezi kwenda unavotaka wewe, hunilipi kujibu post.

ANY TIME.
 
After Chadema's apparent failure to dissuade JK from endorsing the controversial Constitution Bill, people's faith in the party's elite has eventually started to shrink. Everyone was made to believe that Chadema delegation was capable of preventing the Bill from being signed but the outcome was disappointing. That Chadema has failed to take an advantage of a rare Presidential meeting to convince him not approve the Bill means that its leaders do not have postulated abilities necessary for a political leader.

Ndugu Mwita our incumbet constitution renders much powers to the president to the extent of being termed imperial presidency. CDM have no power nor capability to syphon even an iota of such powers however briant and eloquent their leaders are. They used the channel at their own disposal to table their views and opinions to the president albeit the latter possessing qualifications of lies, manipulations and double standards. He might be poor upstairs but he's good at walking under the carpet. You may think CDM are the losers in the game you are wrong. If I may quote Dedan Kimath "when the hunted has leant how to hunt the hunter the hunting game is no more" Peoples' power has never failed in history. CDM will appeal to the public and the latter has the verdict
 
Sarakasi za Chademu..

Season 01 Episode 02
--Kura zimechakachuliwa...(koh koh, eer, lakini wameshindwa kudhihirisha hilo kwene court of law huku wakijinadi wanazijua sana sheria)
 
Sarakasi za Chademu..

Season 01 Episode 03
-- Inaoneakana sasa wanamtambua Mh. Rais kinyemela (gigantic lolz)
 
Sarakasi za Chademu..

Season 01 Episode 04
-- Wanategemea kwamba baada ya kukutana na Rais eti 'mawazo' yao yange-overrule muswada wa bunge (ambalo Ironically walikimbia badala ya kupambana kwa hoja), how funny.
 
Back
Top Bottom