Maka Kassimoto
Member
- May 26, 2008
- 34
- 6
Umeshapata ulichokitaka, "Rais wa tume". Waache wenye mapenzi mema wajadili mustakabali wa chama chao.kosa la mwaka, chadema kumuondoa naibu kambi ya upinzani ZItto. sisi watz tutahoji kulikoni?tutapapasa kunanini. na mwishowe tutao kauli sio bure, na mwishowe ni pigo kwa Chadema
Ati sio mdini ni muislam!!!! Nani kakuuliza? Wasio wadini hawaongelei dini zao wala za wenzao. Walio wadini hawaishi kuzungumzia udini katika kila jambo, mara ooh, baraza la mawaziri lina mabudha wangapi? Mara, mbona makatibu wakuu wengi ni wahindu? Dini ni imani ya mtu iachwe kama ilivyo. Kwa wenye kudhani dini ndio usawa, utu na udugu kama wengi wenu, mbona watu wa dini moja wanabaguana na kuuana. Mbona hakuna waarabu weusi, licha ya watu weusi wengi kuchukuliwa utumwani huko?
Acheni kueneza chuki za kibaguzi kwa maslahi binafsi. Mlaaniwe na kizazi chenu enyi mnaolifanya taifa kuwa lenye machafuko ya kibaguzi.