STEIN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2010
- 1,770
- 553
kosa la mwaka, chadema kumuondoa naibu kambi ya upinzani ZItto. sisi watz tutahoji kulikoni?tutapapasa kunanini. na mwishowe tutao kauli sio bure, na mwishowe ni pigo kwa Chadema
Mtahoji wew na CCM au na nani maana wadau wa siasa za tanzania has wasomi wapo humu JF na ambao wapo nje ya JF hawatofautiani na mawazo ya walioko JF.
Kwa hiyo kuwa specific mtahoji wewe na nani? maana tulishazoea wewe na CCM hata wakati wa Zito kupinga Walk out, mlimtetea au kwa sababu mnampoteza.
Wako wapi kina Lamwai, Kabur, Tambwe etc. mwambieni zito ndo anapotea maana suppoters wake wengi ni watu wenye elimu ambao huwezi kuwapumbaza kirahisi maana wanaujua ukweli.
Peoples Power