CHADEMA kusimamisha mgombea jimbo la Kinondoni?

Dec 22, 2017
51
18
Mimi ni mkazi wa jimbo la kinondoni nakaa Kata ya tandale maeneo ya mtogole

Jana usiku maeneo haya ninapoishi mida ya saa tano mpaka saa sita usiku kulikuwa na kikao cha chadema kilichofanyika kwenye nyumba ya jirani yangu,mwanzoni sikujua kama ni kikao cha chadema,lakini leo jioni wakati natoka kwa job nilipomuuliza mshikaji wangu ambae ndio kwenye nyumba aliniambia kuwa ni kikao cha chama na wako kwenye mchakato wakujipanga kusimamisha mgombea jimbo la kinondoni

Wakati ananijibu hivyo, kichwani nikawa najiuliza maswali kadhaa!!

Chadema walisema hawatoshiriki uchaguzi mpaka wakae kikao na tume ya uchaguzi,je ! Kikao hicho kimeshakalika ?

Na kama kimekalika mbona mrejesho wake hatujaiona ama kuusikia ?
 
CHADEMA si mlisusa Uchaguzi acheni sisi wanaCCM tuendelee kutawala, itapendeza mkisusa na serikali za mitaa mwakani 2019
 
Kushiriki uchaguzi sio lazima waweke mgombea, wanaweza hata kuandaa kura za Maruhani nako ni kushiriki.
 
CHADEMA si mlisusa Uchaguzi acheni sisi wanaCCM tuendelee kutawala, itapendeza mkisusa na serikali za mitaa mwakani 2019
Ndiyo hayo anayowasema Donald halafu kwa unafiki mnasema anawatukana. Ubinafsi na uroho wa madaraka umewajaa mnataka mtawale ninyi tu na kwa kuwa hamtosheki mmeanza kuwatumia wajinga walete hoja ya miaka 7
 
Afadhali hao wanajua maana ya demokrasia na upinzani, kuliko wa yule mfalme wa chama anayedhani maamuzi yake peke yake bila kuwashirikisha wanachama ndo kauli ya chama.
 
Mimi ni mkazi wa jimbo la kinondoni nakaa Kata ya tandale maeneo ya mtogole

Jana usiku maeneo haya ninapoishi mida ya saa tano mpaka saa sita usiku kulikuwa na kikao cha chadema kilichofanyika kwenye nyumba ya jirani yangu,mwanzoni sikujua kama ni kikao cha chadema,lakini leo jioni wakati natoka kwa job nilipomuuliza mshikaji wangu ambae ndio kwenye nyumba aliniambia kuwa ni kikao cha chama na wako kwenye mchakato wakujipanga kusimamisha mgombea jimbo la kinondoni

Wakati ananijibu hivyo, kichwani nikawa najiuliza maswali kadhaa!!

Chadema walisema hawatoshiriki uchaguzi mpaka wakae kikao na tume ya uchaguzi,je ! Kikao hicho kimeshakalika ?

Na kama kimekalika mbona mrejesho wake hatujaiona ama kuusikia ?

‘Here is what my [HASHTAG]#shithole[/HASHTAG] looks like’: African countries and Haiti react to Trump’s remark

'We're not shitholes. We're people': Global responses to Trump's remarks

Here's how the world responded to President Trump's Jan. 11 remarks about immigrants from "shithole countries," including El Salvador, Haiti and all of Africa. (Joyce Lee/The Washington Post)
 
Kwani chadema hawana ofisi mpaka wafanyie kikao katika nyumba ya mtu? Na lau kama ingekuwa kweli basi huyo mwenye nyumba asingekwambia kuwa ni chadema tena eti kakufungukia kabisa kuwa wanapanga mikakati ya kusimamisha mgombea!!
Fikra huru haiendeshwi kwa shilingi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom