Mhonzuyadilu
Senior Member
- Oct 28, 2012
- 156
- 53
1.kutumia vizuri wabunge wake inje na ndani yA Bunge katika kuibua hoja na kuzisimamia vizuri kamda bado kapo kidogo, miezi kama 17 hivi.
2.kuingia vijijini kwenda kuhamasisha harakati na kuwajulisha wananchi namna ambavyo serikali ya CCM inawakandamiza kwenye bei za mazao yao, shida yA kodi kwenye bidhaa, matatizo ya ardhi vijijini, afya na elimu duni kwa vijana wetu.
3..Makanda kurudi jukwaani kwa nguvu kubwa kupiga mikutano na wanainchi kuwakumbusha shida iliyopo kwa kuendelea kuwa na CCM mfano tunamatatizo lukuki kwenye uwekazi kagika nishati na madini sera haijawekwa wazi na watawala, Elimu yetu imekufa kabisa, Madawa ya kulevya ni tatizo kubwa hapa inchini, Ubovu wa miundombinu mahospitalini, ugumu wa maisha kwA ujumla n.k
4.kumfukuza kabisa bwana ZITO and his company, itakuwa msaada sana.kubali usikubale huhu sasa ni kirusi katika harakati haaminiki tena.
.